Jua Majina na Maana zake, Unyerere Ujamaaa, Umwinyi (hehheheh ruksa) Umkapa (ukapa).....

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
haya baada yakutafakari muelekeo wa siasa za nchi yetu ninahisi kuwa kuna uwezekano wa uhusiano wa Jina la kiongozi na hali ya nchi, kwa mfano Nyerere na swala zima la ujamaa jina likiwa na asili ya nyenyere wale wadudu wadogo. Vile vile Mwinyi alivyokuwa kuwa mzee wa ruksa kama umwinyi unavyo fahamika, Mkapa yeye alipo kuja na falisafa ya ukapa au kukosa....toka kapa...sasa huyu ndugu yangu Kikwete nadhani anaweza akaja na jina ambalo nashindwa kulitaja hi hi hi hi hi
 
haya baada yakutafakari muelekeo wa siasa za nchi yetu ninahisi kuwa kuna uwezekano wa uhusiano wa jina la kiongozi na hali ya nchi, kwa mfano nyerere na swala zima la ujamaa jina likiwa na asili ya nyenyere wale wadudu wadogo. Vile vile mwinyi alivyokuwa kuwa mzee wa ruksa kama umwinyi unavyo fahamika, mkapa yeye alipo kuja na falisafa ya ukapa au kukosa....toka kapa...sasa huyu ndugu yangu kikwete nadhani anaweza akaja na jina ambalo nashindwa kulitaja hi hi hi hi hi


si useme ufisadiiiiiiiiii.
 
Back
Top Bottom