Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
1590178953208.png

Pata kujua jinsi watu wanavyounlock modem unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa.

BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI
Wakuu Habarini!
Nimekwama Hapa Jinsi Ya Ku Unlock Hii Modem Ya Huawei E300 Ambayo Sasa Inatumia Laini Ya Tigo Tu! Nahitaji Itumie Laini Zote

Nishafanya Haya:

1. Nilidowload dc Unlocker Cracked Version!
Nikafollow Step Zote! Tabu Inakuja Kwenye Detection Ya Modem! Ujumbe Unaokuja Ni " Datacard Not Detected"

2. Nishajaribu Kubadili USB Port, Kubadili Laptop, Ku Unistall Na Ku Install Upya Modem Software Ila Bado Tatizo Linakuja Kweny Detection Wowote Anaeweza Kunisaidia???

Natanguliza Shukurani.
---
Msaada jinsi ya ku unlock modem hizi za airtel Wingle ili iweze kutumia mitandao yote
Huawei model; E8231s-1

Nimejaribu kuweka line ya mtandao husika inadai NO SIMCARD, Pia nikiweka line tofauti na mtandao husika inanipa ujumbe

The device has been locked. Contact your ISP to obtain the SIMLOCK code. Enter the correct SIMLOCK code to unlock the device. If the remaining number of unlock attempts is 0, the device will be permanently locked.

na nimeifungua mwenyewe kwenye box lake.
msaada wakuu.

View attachment 718460
---
Habari wakuu, natumia modem ya tigo lakini mara nyingi huwa siitumii kwa sababu tigo wako na gharama afu MBs ni ndogo Sana.

Hivyo nalazimika kutumia TTCL or HALOTEL, hivyo naomba msaada Kama Kuna app ya PC inayowezesha modem kutumia MTANDAO wowote kwenye internet Mana hii modem watu wameishindwa kuicrack.. wakuu
===

UFAFANUZI WA JUMLA WA NAMNA YA KUFANYA JAMBO HILI

1590176812346.png
A. Jinsi ya kuunlock modem ya E303s-1
Kwa njia hii utaweza kuunlock modem zote za E303s-1 ya mtandao wa Tigo na za mitandao mingine. Unlock Huawei e303s-1

Mahitaji
Download Universal MasterCode
Download E303SUpdate.21.157.31.00.850

Hatua za kufuata ili kufungua modem ya E303s-1 ya Tigo na zingine uweze kutumia mitandao mingine.

1. Chomeka modem yako kwenye computer, install na kisha ufunge dashboard ya modem yako. (weka laini tofauti na ya mtandao husika)

2. Fungua universal unlock, Bonyeza kitufe cha Huawei, weka IMEI namba ya Modem yako (funua mfuniko wa modem yako utaziona IMEI). Kisha bonyeza kitufe cha Calculate ili kupata flash code.

1589869089859.png

3. Extract E303SUpdate.21.157.31.00.850 na ui-run kwenye computer yako. Itakuomba password. weka za Flash code.

1589869172644.png
4. Subiri mpaka imalizike. Ikimalizika chomoa modem yako kwenye computer kisha chomeka tena. Mpaka hapo utaweza kutumia line ya mtandao wowote ule kwenye modem yako.
B. Kwa moderm za Tigo zinazotumia mtandao mmoja fuata hatua hizi:
Hii ni modem ya Tigo ambayo imefungwa ili uweze kutumia mtandao mmoja tu kwenye kifaa chako. Usitumie njia hii kufungua modem ya 303h-1 Hilink ambayo siyo ya mtandao wa Tigo. Hii njia ni kwa ajili ya Modem ya Tigo tu. Unlock e303h-1 Hilink

Mahitaji
Download Universal MasterCode
Download E303Hilink

Hatua kwa hatua namna ya kuunlock modem ya 303h-1 ya Tigo
1.
Chomeka modem yako kwenye computer, install na uifunge. Weka laini tofauti na ya mtandao husika

2. Fungua universal Master Code. Bonyeza kitufe cha Huawei, weka IMEI namba ya Modem yako (Funua mfuniko wa modem yako utaziona IMEI). Kisha bonyeza kitufe cha Calculate ili kupata flash code.

3. Extract 303H na ui-run kwenye computer yako. Itakuomba password. Weka za Flash code na kisha bonyeza OK.

4. Subiri mpaka imalizike. Usiiguse maana utaharibu modem yako. Kisha bonyeza Finish

Mpaka hapa utakuwa umshamaliza kuunlock modem yako
---
C. Namna ya kuunlock modem ya D-link 157 (DWM-157 Zantel) itumie laini ya mitandao yote
Kwa njia hii utaweza kufungua modem ya dlink 222 na kutumia laini ya mtandao wowote

Mahitaji
Download D-link 222 (DWM-222) Unlocked Firmware
SIM Card (laini) ya mtandao wowote
Modem ya Dlink 222

Maelezo
1. Download D-link 222 (DWM-222) Unlocked Firmware kisha extract kwenye computer yako. Tumia 7-zip au Winrar ku-extract firmware yako.

2. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na laini ya mtandao mwingine. Ikifunguka dashboard ya modem ifunge.

3. Run Dlink 222 (DWM 222) unlocked firmware as administrator.

4. Weka tiki kwenye "I accept the Agreement" kisha bonyeza NEXT. Iache modem yako mpaka imalize. Usiichome au kuitingisha. Baada ya kumaliza kuupdate firmware.

5. Chomoa modem yako kwenye computer.

6. Chomeka tena modem yako kwenye computer. Mpaka hapo utakuwa umemaliza zoezi zima la ku-unlock modem yako ya D-link 222
Gonga like kama zote.

Credit: McMahoon

===
MICHANGO NA UFAFANUZI ULIOTOLEWA NA WADAU
NA SASA nitaanza kukuelezea jinsi ya ku unlock modem zilizokuwa counter locked kama alivyosema CALVIN POWER apo juu kwanza nitaeleza process nzima tena ya kuunlock modem za huawei ambazo HAZIKO COUNTER locked na mwishowe ZILIZO COUNTER locked ata hvyo NJIA ya ku unlock tyari watu kibao washaeleza katika topic nyingi za nyuma lakini nitafanya kama kurudia hvyo.

1.Moderm zinakuwa locked na compuny ya simu ulioinunua na inakuwa locked na iyo compuny ya cmu na huwezi kutumia mtandao wowote mwingine sasa ili iweze kutumika una takiwa ku unlock kutumia program kadhaa ili iweze ikatumiaka; prog zake ni kwanza unatakiwa uwe na

huawei code writer- hii ni program ambayo ina send unlocking code kwenda kwny modem yako ili iweze ikafunguka

universal master code - hii ni program ambayo ina calculate unlocking code ya modem yako kwa kutumia (imei) ya modem hyo ambayo utaiona imeandikwa nyuma ya modem yako ambazo zinakuwa digit 15. link ya kudownload pack nzima ni hii apa- Hotfile.com: One click file hosting: Unlock Huawei Modem Tools.rar apo katika iyo web utaclik REGULAR DOWNLOAD na itattokea msg apo jua ya iyo button kwamba wait for 12 seconds au seconde kadha watakoa kupa ww subiri tu lakni usiclick click here mbele ya ujumbe ... baada itajiload tena na italeta CAPTCHA box ili uigize maneno yaliyo display apo ingiza na click DOWNLOAD FILE itajiload tena na utaclick click here to download na itaanza kudownloa SASA ilo file ni la RAR COMPRESSED file kama hauna WINRAR utabidi uidownload pia ili uweze extraxt ilo file zima... ili kuipata winrara itabidi uisearch kwenye google na uidownload ni kama mb 1 hv........ sasa ukishaiodownload utaiextract na utazikuta hzo prog na maelezo namna ya kuzitumia... lakini subiri nielezee briefly

1.kwanza iandike mahali imei ya modem yako ambayo iko nyuma ya modem (15 digits)

2.na fungua universal master code na uiandike pale kwny box la imei na utaclick calcualte..... itafanya ivyo na itakupa flash code na unlock code, icopy unlock code ambazo itakuwa ni namba 8

3.na ufungue HUAWEI code write na click pleae select com port na uta click detect na ita detect utaiselet modem yako na utaclick accpet sasa maelezo ya modem yako yataonekana apo sasa click unlock modem na itatokea box lingine lenye 8 blank digits yani ("00000000") sasa i paste unlockind code yako ulioi calculate kwny universal master code na uta click unlock modem utaona SEND OK!!! apo itakuwa imefunguka asilimia 100 sasa iyo ni kwa zile modem ambazo haziyawa counter locked TIGO NA VODA na HUAWEI ZINGINE....

SASA NITAELEZE NJIA YA KU UNLOCK MODEM AMBAZO ZKO COUNTER LOCKED KAMA YA AIRTEL NA ZINGENE
hz sasa ukitumia njia za juu coz ni jia zile zile kwenye kuuunlock kwny code writer inaonesha SEND "ERROR" badalaa SEND OK sasa kwann na utaiunlock vp nijia hz apa;-

1.kwanza kuwa counter locked maana yake nn kila modem ina limit ya kuunlock kama ukiwa ukekosea kuingiza code sasa kwa hz modem limit yake ni mara 10 ni ikiwa hvyo hautaweza kuunlock itumie mtamdao mwingine tofauti na uliokuwa locked nayo.... sasa kuna program ya kuiunlock ikiwa counter locked yani kureset tena ili uweze kuunlock na inaitwa HUAWEI DATACARD UNLOCKER na download link yake hii apa.

-"( hwe_datacard_unlocker.exe - 4shared.com - online file sharing and storage - download) utaidownload apo utaclick button ya blue iliyosema download now watakupa muda wa kusubiri hv sekunde kadha na itafika sifuri na itotokea button download na utaidownload hapo.

3.Ukisha download iyo prog ni kadogo tu kama kb kadhaa tu pia nawahakikihia sio kirus coz antivirus zingine itaiona kama kirus lakini sio kirus mm natumia kaspersky internet security 2011 najua ninachokiongelea so kama ukidownload na antivirus ikaidetect kama kirus na ikaidelete cha kufanya ni nzima antivirus idownload upia na uitumie kisha washa antivirus yako tena

4. sasa ushaidownload vzuri prog yako ina alama ya funguo hv kwanza kama kawaida connect modem yako ikiwa haina lyn yoyote kisha close iyo software yake ambayo inatokea automaticaly ya kukonnect modem yako na kisha fungua huawei datacard unlocker na click CONNECT TO DEVICE na itaanza kuiload na kuleta details zake zote na mpaka mwisho itaianlock yenyewe.

5.vitu vya kuzingatia ujue kuwa imekuwa counter unlocked pale kwny info amabazo zitatokea kuna sehemu itaonyesha kuwa (10tried, left0) hapo ujue kuwa bado haijakuwa unlocked lakni rudi iyo process mpaka utaona imebadilika na inasema(0tried ,10 left) na mwishowe hamna eror bali imeandikwa UNLOCK... coz kama imegoma italeta ERROR mwishoni jaribu tena na utaona ITALETA unlock... na iyo ifo apo juu ya (tried 0, left 10) sasa baada ya apo umefanikiwa ASAILIMIA 100 kuituwa counter lock yake sasa cha kufanya ni zile zile Process za mwanzo za kawaida tena ya Kuunlock moderm ambayo haijawa counter locked! ukiwa umekwama sehemu uliza na utasaidiwa
---
Counter blocked nilitoa maelezo yake siku nyingi sana labda hukuwa unafuatilia. na kama nilivyosema hizi modem mpya kama E153 ikishakuwa counter blocked haiwezi kufunguka. Yeye anacopy mahali na kuleta hapa ila hajajaribu. na kama kuna mtu hapa jamiiforum amefanikiwa ku-unlocked hizo za airtel athibitishe hapa.

kifupi hizo kama nilivyowahi kusema ni mpaka ufanye kitu kinaitwa patch. na iwe patch ya airtel. nataka nikuambie vilevile hizo ni customised firmware.

kama huamini nunua modem ya airtel halafu mpelekee uone atakachokujibu.
kunapost nyingi tulifundisha hapa na watu wengi walifanikiwa. ila zile ambazo zilishindikana tulisema ukweli kuwa ni customized firmware. kumbuka niliaza na code request halafu wengine wakachangia namna ya kuchakachua mwenyewe. na sikuishia hapo tu nikatengeneza software na kuiweka huku ili watu wafanye wenyewe
---
Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka
mwisho wa makala hii

Zamani ilizoeleka ku-unlock Modem hadi udownload Software kwenye Pc yako kisha ya watu ndo waweze kugenerate MODEM
UNLOCK CODE. Lakini kwa sasa imekuwa rahisi kwa sababu kuna tovuti kibao ambazo zinatoa MODEM UNLOCK CODE ambayo wewe unahitajika kutoa IMEI ya
MODEM tu.

Hatua za ku-unlock Modem

1.Angalia IMEI ya modem yako kisha iandike chini au kwenye karatasi

2.Fungua link hii A-ZGSM.COM - ONLINE UNLOCK CODE CALCULATOR

3.Baada ya kufungua hiyo link utaonasehemu ya iliyoachawa wazi hapo uwekaIMEI ya Modem kisha utabofya kwenyekitufe cha CALCULATE

4.Baada ya ku-calcute utapata Unlock Codezako, Mfano: Unlock: 37661250 or NCK =
37663240

Hatua zinazofuata

1.Baada ya yote unatakiwa kutoa Sim card
na Kuweka Sim Card tofauti kwa mfano
kama ulikuwa unatumai ya Tigo unatakiwauweke Airtel kisha chomeka kwenye PC
yako .
2.Subiri kidogo , utaona Pop Up imekujakisha itaku-request for Unlock Code, KishaUtaingiza Code ulizo Generate , mfano
37661250 alafu click kwenye OK.

3.Hongera!, Modem yako isha-unlockiwahapo utaweza kutumia kwenye Sim Card Yoyote!

Note:
Njia hii ni kwa Modem za Huawei tu

Kwa habari mbalimbali za teknolojia maujanja......Tembelea BONGO TECHNO
---
Kutokana na watu wengi kuhangaika sana jinsi ya kuunlock modem ya Zantel D-link 157. Leo nimewaletea solution bure. Hakuna gharama
Baada ya kuunlock modem yako. Utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule kama vile Vodacom, Airtel, Halotel n.k

Mahitaji

Maelezo
1. Download Unlocked Firmware ya Dlink 157 kisha extract kwenye computer yako kwa kutumia software inayoitwa Winrar au 7-zip (Google utazipata)
2. Chomeka modem yako ikiwa na laini ya mtandao mwingine tofauti na Zantel (unaweza kuweka halotel, Airtel, Tigo n.k)
Hakikisha umefunga dashboard ya modem yako kwasababu itashindwa kuunlock modem yako
3. Run unlocked firmware as administrator kwa ku-right click unlocked firmware kisha chagua run as administrator
4. Itakuletea kidashboard. Weka tiki kwenye "I accept the agreement) kisha bonyeza Next
Iache i-update mpaka iandike "update success"
5. Chomoa modem yako kwenye computer. KIsha chomeka tena. Mpaka hapa itakuwa tayari na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule.

Kumbuka
Kipindi una update firmware. Usichomoa modem au kuitikisa maana utabrick modem yako (sitahusika kwa hilo)
Usisahau kulike. Kazi njema
---
Download software inaitwa mobile partner fanya instillation kwenye pc yako ingiza modem yako kwa laini nyengine connect kwa kutumia mobile patner itakuomba unlock code yako ni 34377982 kula vitu kwa kutumia mobile partner software mimi nimefanikiwa kwa njia hiyo
---
Wakuu Habarini!
Nimekwama Hapa Jinsi Ya Ku Unlock Hii Modem Ya Huawei E300 Ambayo Sasa Inatumia Laini Ya Tigo Tu! Nahitaji Itumie Laini Zote

Nishafanya Haya:

1. Nilidowload dc Unlocker Cracked Version!
Nikafollow Step Zote! Tabu Inakuja Kwenye Detection Ya Modem! Ujumbe Unaokuja Ni " Datacard Not Detected"

2. Nishajaribu Kubadili USB Port, Kubadili Laptop, Ku Unistall Na Ku Install Upya Modem Software Ila Bado Tatizo Linakuja Kweny Detection Wowote Anaeweza Kunisaidia?

Natanguliza Shukurani.
 
Mshikaji vipi unataka tuulize nini wakati maarifa yenyewe hujatupa, toa maelekezo then tusipoelewa tutauliza maswali. We ungekuwa mwalimu watoto wote div ziro.
 
hapa nilipo natumia mordem ya tygo bado wiki moja, unataka kusema naweza endelea bila kutumia? haya nipe hatua za kufuata.

Naona mkaka hapo kashindwa kutoa majibu ya kuaminika sasa embu nitumie imei ya modem yako hiyo ya tigo nikupatie unlock code ukaichakachue mwenyewe.

Imei ina namba yaani tarakimu 15,zimeandikwa kwenye kiboksi chako cha hiyo modem ya tigo,nitumie hizo namba nikupatie unlock code yake!!
 
Tulizaneni bana mbona mna haraka sana mambo haya yanatakiwa yaende taratibu nilipost hii jana leo ndio nilikuwa niziweka hizo prog sawa na maelezo ya ku unlock.

Hizo modem ntaattach kila ktu msiwe na papara nyote mtasidiwa sema wakuu sasa hv umeme umekatika ukirudi nitaziweka hzo prog na maelezo naomba uvumilivu wenu.
 
nataka kuchakachua mordem za Airtel nifanyeje? naomba jibu
Sorry Fatma huyu jamaa alieanzisha hii thread hana uhakika, au hajui kama hii field ni kubwa sana kiasi kwamba kuna thread nyingi ambazo zinaelezea yote ambayo yeye anaanzisha thread nyingine.

Kama vile haitoshi pengine hajui kama modems za airtel zipo counter blocked hivyo hazifunguki kwa sasa.

Sasa sijajua ni kwanini amefungua thread mpya na ku-zi name aina za modems ambazo hataweza kuzichakachua achilia mbali kutufundisha.
 
Tumsamehe bure, naona alikuwa anaweka mguu mtoni kujaribu maji marefu ya JF.
 
sorry Fatma huyu jamaa alieanzisha hii thread hana uhakika, au hajui kama hii field ni kubwa sana kiasi kwamba kuna thread nyingi ambazo zinaelezea yote ambayo yeye anaanzisha thread nyingine...
Sasa mtu wangu mbona unakuwa unanijugde kabla ata sijaweka hzo info apa mbona ivyo hakuna lisilowezekana ndo maana pia nikakaribisha maswali coz nilijua kuwa kuna thread nyinigi zingine zinaeleza jinsi ya ku unlock hizi modem na nikasema useme wapi ulipokwama usaidiwe...

Na nilikuwa kimya na sija post maelezo coz uku umeme ulikuwa umekatika na umerudi sasa... DONT JUDGE A BOOK BY ITS COVER...
 
sasa mtu wangu mbona unakuwa unanijugde kabla ata sijaweka hzo info apa mbona ivyo hakuna lisilowezekana ndo maana pia nikakaribisha maswali coz nilijua kuwa kuna thread nyinigi zingine zinaeleza jinsi ya ku unlock hz modem na nikasema useme wapi ulipokwama usaidiwe... na nilikuwa kimya na sija post maelezo coz uku umeme ulikuwa umekatika na umerudi sasa... DONT JUDGE A BOOK BY ITS COVER...

sija judge a book by its cover mkuu bali so far airtel ambazo zipo counter blocked hazifunguki. sio airtel tu yaani modem mpya zenye customised firmware:

Found modem : E153
Model : Huawei E153 (AirTel)
IMEI : 352375041******
Serial NR. : KMA5TA10A2309937
Firmware : 11.609.16.00.272
Compile date / time : Aug 17 2010 17:32:08
Dashboard version : UTPS11.302.09.21.272_MAC11.301.06.15.272
Chipset : Qualcomm MSM6246
NAND Flash : hynix_128M_32M
Voice feature : enabled
SIM Lock status : Locked (customized firmware)
Wrong codes entered : 10 (unlock attempts left : 0)

anyway tusubiri tuone.
 
NA SASA nitaanza kukuelezea jinsi ya ku unlock modem zilizokuwa counter locked kama alivyosema CALVIN POWER apo juu kwanza nitaeleza process nzima tena ya kuunlock modem za huawei ambazo HAZIKO COUNTER locked na mwishowe ZILIZO COUNTER locked ata hvyo NJIA ya ku unlock tyari watu kibao washaeleza katika topic nyingi za nyuma lakini nitafanya kama kurudia hvyo.

1.Moderm zinakuwa locked na compuny ya simu ulioinunua na inakuwa locked na iyo compuny ya cmu na huwezi kutumia mtandao wowote mwingine sasa ili iweze kutumika una takiwa ku unlock kutumia program kadhaa ili iweze ikatumiaka; prog zake ni kwanza unatakiwa uwe na

huawei code writer- hii ni program ambayo ina send unlocking code kwenda kwny modem yako ili iweze ikafunguka

universal master code - hii ni program ambayo ina calculate unlocking code ya modem yako kwa kutumia (imei) ya modem hyo ambayo utaiona imeandikwa nyuma ya modem yako ambazo zinakuwa digit 15. link ya kudownload pack nzima ni hii apa- Hotfile.com: One click file hosting: Unlock Huawei Modem Tools.rar apo katika iyo web utaclik REGULAR DOWNLOAD na itattokea msg apo jua ya iyo button kwamba wait for 12 seconds au seconde kadha watakoa kupa ww subiri tu lakni usiclick click here mbele ya ujumbe.

Baada itajiload tena na italeta CAPTCHA box ili uigize maneno yaliyo display apo ingiza na click DOWNLOAD FILE itajiload tena na utaclick click here to download na itaanza kudownloa SASA ilo file ni la RAR COMPRESSED file kama hauna WINRAR utabidi uidownload pia ili uweze extraxt ilo file zima... ili kuipata winrara itabidi uisearch kwenye google na uidownload ni kama mb 1 hv sasa ukishaiodownload utaiextract na utazikuta hzo prog na maelezo namna ya kuzitumia... lakini subiri nielezee briefly

1. Kwanza iandike mahali imei ya modem yako ambayo iko nyuma ya modem (15 digits)

2. Na fungua universal master code na uiandike pale kwny box la imei na utaclick calcualte..... itafanya ivyo na itakupa flash code na unlock code, icopy unlock code ambazo itakuwa ni namba 8

3. Na ufungue HUAWEI code write na click pleae select com port na uta click detect na ita detect utaiselet modem yako na utaclick accpet sasa maelezo ya modem yako yataonekana apo sasa click unlock modem na itatokea box lingine lenye 8 blank digits yani ("00000000") sasa i paste unlockind code yako ulioi calculate kwny universal master code na uta click unlock modem utaona SEND OK! apo itakuwa imefunguka asilimia 100 sasa iyo ni kwa zile modem ambazo haziyawa counter locked TIGO NA VODA na HUAWEI ZINGINE.

SASA NITAELEZE NJIA YA KU UNLOCK MODEM AMBAZO ZKO COUNTER LOCKED KAMA YA AIRTEL NA ZINGENE
hz sasa ukitumia njia za juu coz ni jia zile zile kwenye kuuunlock kwny code writer inaonesha SEND "ERROR" badalaa SEND OK sasa kwann na utaiunlock vp nijia hz apa;-

1.Kwanza kuwa counter locked maana yake nn kila modem ina limit ya kuunlock kama ukiwa ukekosea kuingiza code sasa kwa hz modem limit yake ni mara 10 ni ikiwa hvyo hautaweza kuunlock itumie mtamdao mwingine tofauti na uliokuwa locked nayo.... sasa kuna program ya kuiunlock ikiwa counter locked yani kureset tena ili uweze kuunlock na inaitwa HUAWEI DATACARD UNLOCKER na download link yake hii apa.

-"( hwe_datacard_unlocker.exe - 4shared.com - online file sharing and storage - download) utaidownload apo utaclick button ya blue iliyosema download now watakupa muda wa kusubiri hv sekunde kadha na itafika sifuri na itotokea button download na utaidownload hapo.

3.Ukisha download iyo prog ni kadogo tu kama kb kadhaa tu pia nawahakikihia sio kirus coz antivirus zingine itaiona kama kirus lakini sio kirus mm natumia kaspersky internet security 2011 najua ninachokiongelea so kama ukidownload na antivirus ikaidetect kama kirus na ikaidelete cha kufanya ni nzima antivirus idownload upia na uitumie kisha washa antivirus yako tena

4. Sasa ushaidownload vzuri prog yako ina alama ya funguo hv kwanza kama kawaida connect modem yako ikiwa haina lyn yoyote kisha close iyo software yake ambayo inatokea automaticaly ya kukonnect modem yako na kisha fungua huawei datacard unlocker na click CONNECT TO DEVICE na itaanza kuiload na kuleta details zake zote na mpaka mwisho itaianlock yenyewe.

5. Vitu vya kuzingatia ujue kuwa imekuwa counter unlocked pale kwny info amabazo zitatokea kuna sehemu itaonyesha kuwa (10tried, left0) hapo ujue kuwa bado haijakuwa unlocked lakni rudi iyo process mpaka utaona imebadilika na inasema(0tried ,10 left) na mwishowe hamna eror bali imeandikwa UNLOCK coz kama imegoma italeta ERROR mwishoni jaribu tena na utaona ITALETA unlock na iyo ifo apo juu ya (tried 0, left 10) sasa baada ya apo umefanikiwa ASAILIMIA 100 kuituwa counter lock yake sasa cha kufanya ni zile zile PROCESS za MWANZO za KAWAIDA TENA YA KUUNLOCK MODEM AMBAYO HAJAWA COUNTER LOCKED!!! ukiwa umekwama sehemu uliza na utasaidiwa
 
Hongera kwa mkuu kutupa shule,ili tufanye wenyewe, sikama wanavyofanyaga wataalam wengine.
 
naona mkaka hapo kashindwa kutoa majibu ya kuaminika sasa embu nitumie imei ya modem yako hiyo ya tigo nikupatie unlock code ukaichakachue mwenyeweeeee. Imei ina namba yaani tarakimu 15,zimeandikwa kwenye kiboksi chako cha hiyo modem ya tigo,nitumie hizo namba nikupatie unlock code yake!!
Wewe usiwe muongo kama hakuna software ya kuandika unlock code uwezi kamwe,za o fimware kama ya safari com hauna ujanja
 
kila nikijaribu inaniletea error hii:
Found Phone, Phone Info:
- Manufacturer :huawei
- Model :E220
- Revision :11.117.09.05.00
- Phone IMEI :356635028233016


Send Unlock Command... ERROR
 
kila nikijaribu inaniletea error hii:
Found Phone, Phone Info:
- Manufacturer :huawei
- Model :E220
- Revision :11.117.09.05.00
- Phone IMEI :356635028233016
Send Unlock Command... ERROR


Okey nimeshakupata HYO hawei E220 ni tofauti njia zake za kuunlock coz nimodels za zamani kama cjakosea lakini nko kwny process ya kuziunlock HAWEI E220 na huwezi ukapata UNLOCk code kwa kutumia universal master code kuna njia yake ya kipekee ambazo unatumia progz tofauti kabisa ambazo ni;-

1.E220 firmware update
2.Hex editor XVi32
3.Qmat
4.E220 sim unlocking tool

Na ku unlock hii modem ni very complicated lakini nitakupa link ya kuweza kuana njia zake za kuunlock ambapo pia kuna pich ili iwe RAHISI kuelewa na download pack yake ya kudownload hzo PROGS juu.

LAKINI NI VERY COMPLICATED NA NGUMU NA MM BADO SIJA JARIBU HII KITU LAKINI NINAUHAKIKA ITAFUNGUKA NILIVYOSOMA HZO NJIA
link hii apa - Unlock Huawei E220 HSDPA Modem: Unlock E220 HSDPA Modem
na katika iyo site utaona kwenye STEp 1. kabisa kuna link imesema click here ili uidownload iyo SOFTWARE PACK yake!!! NI HAYO TU
 
Pata kujua jinsi watu wanavyo chakachua vituu na sio modem 2 bali vitu vinginevyo vinavyohusiana na computer na vitu vingine vya electronics unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa!!!


Mkuu hii kitu unayoleta hapa sio ngeni iko hapa muda sasa ni vema tukawa tunasoma wenzetu wamepost nini ili kama tuna hoja au wazo tofauti au kuongezea ujuzi tukawa tunaongezea huko kulikokuja na post mpya, hapo tutakuwa tunawapa kina Invisiblemzigo usio na sbb wa kuunganisha Topic, achilia mbali kumis-use space ya Server.... hizo unaschosema kiko hapa https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/110615-modem-za-tigo-zina-chakachulika.html na hapa https://www.jamiiforums.com/technol...ree-huawei-modem-unlocking-codes-request.html
 
Mkuu mi nadhani hii post yake ni tofauti na hizo zilizopo, huyu anfundisha jinsi ya kuchakachuwa yourself. wakati post zilizopo zintoa unlock code bila kuelimisha imepatikanaje.

halafu hii ya kuchakachua COUNTER locked wataalamu wetu hawajitolea maelezo ya kueleweka, walikuwa wanaishia kutwambia o hii ningumu sana, lakini huyu jamaa maelezo yake kuhusu COUNTER locked yametupa uelewa zaidi,
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mkuu mi nadhani hii post yake ni tofauti na hizo zilizopo, huyu anfundisha jinsi ya kuchakachuwa yourself. wakati post zilizopo zintoa unlock code bila kuelimisha imepatikanaje. halafu hii ya kuchakachua COUNTER locked wataalamu wetu hawajitolea maelezo ya kueleweka, walikuwa wanaishia kutwambia o hii ningumu sana, lakini huyu jamaa maelezo yake kuhusu COUNTER locked yametupa uelewa zaidi,
Counter blocked nilitoa maelezo yake siku nyingi sana labda hukuwa unafuatilia. na kama nilivyosema hizi modem mpya kama E153 ikishakuwa counter blocked haiwezi kufunguka. Yeye anacopy mahali na kuleta hapa ila hajajaribu. na kama kuna mtu hapa jamiiforum amefanikiwa ku-unlocked hizo za airtel athibitishe hapa.

Kifupi hizo kama nilivyowahi kusema ni mpaka ufanye kitu kinaitwa patch. na iwe patch ya airtel. nataka nikuambie vilevile hizo ni customised firmware.

Kama huamini nunua modem ya airtel halafu mpelekee uone atakachokujibu.
kunapost nyingi tulifundisha hapa na watu wengi walifanikiwa. ila zile ambazo zilishindikana tulisema ukweli kuwa ni customized firmware.

Kumbuka niliaza na code request halafu wengine wakachangia namna ya kuchakachua mwenyewe. na sikuishia hapo tu nikatengeneza software na kuiweka huku ili watu wafanye wenyewe
 
wewe usiwe muongo kama hakuna software ya kuandika unlock code uwezi kamwe,za o fimware kama ya safari com hauna ujanja

Mimi natumia hy Modem ya safaricom. Uongo wake upo wapi? Kuwa na uhakika na unacho-post. Kwa kifupi hakuna kinachoshindikana chini ya jua jomba!
 
Mimi natumia hy Modem ya safaricom. Uongo wake upo wapi? Kuwa na uhakika na unacho-post. Kwa kifupi hakuna kinachoshindikana chini ya jua jomba!


Ana uhakika na anachopost hiyo yako firmware yake sio customised na ndio maana uliweza kuichakachua ila customised firmware ya safari com hazifunguki.(e1750) zipo ambazo hazikuwa customised ila baadae zikaja ambazo ni customized firmware.

kuna mtandao ambao upo Russia MTS na mwingine upo India !dea ndo so far wana patch firmware za hizo modem mpya.

Ni kweli hakuna kinachoshindikana chini ya jua ila at the moment customised firmware ambazo zipo counter blocked hazifunguki.

Kifupi angeenda kununua modem moja ya airtel halafu ajaribu ku-unlock kama atafanikiwa then aje hapa atupe mawili matatu. akiwa na uhakika kweli amefungua basi nitamwamini.

E2themiza mimi sio kama nina ku-crash ila naomba ufanye utafiti kuhusu hizo customised firmware naamini utakubaliana na mimi kuwa kwasasa bado kazi ni ngumu. (hazifunguki) kesho nitajaribu kuweka maelezo kidogo kuhusu hizo customised firmware na kwanini zinakuwa ngumu kufunguka kwasasa.
 
CalvinPower,
Hizo zilizocouterblock ni hizo tu za E153 au kuna nyingine? na hizo modem za Airtel zilizo counterblock ni zipi, give me some model type?
 
Back
Top Bottom