J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

hahahahaaaaa
mtabaki kujipa moyo vibaraka wa mafisadi!

najua mmevimbiwa ila mmevimbiwa makombo, waliokula ni wengine!
 
Kamanda Shine usimsikilize huyu kipepeo anukaye!

Nimemwambia ataje sheria Lema aliyovunja, ameshindwa; kabaki kuongea kijujuu!

NASISITIZA:
Lema hajafanya chochote kinyume cha sheria; anayebisha anibainishie!
 
fafanua sheria ipi? CPA au ipi? kifungu gani?
acha kupotosha wanaJF.
Ni kosa kisheria kukataa dhamana na kama mahakama ikiamua inaweza kukuacha ndani kama adhabu kadri itakavyoona inafaa. wale wenzetu watatuambia ni mkono wa CCM
 
Alipokataa dhamana alijua anakwenda ndani siku 14 yaani hadi tarehe 14/11, hivyo hiyo juzi hakutaka atoke; aliombwa atoke!

Si uongoje tumbo lako la blid lipone; hujui unajibemenda unapokurupukia maongezi ya wanaume ukiwa kwenye hedhi?
 
Atatoka baada ya kuwa ndani kwa siku 14 hata baada ya mahakama inayoongozwa na serikali legelege kupigwa mkwara na chama strong kwamba lazima Kamanda Lema a.k.a Mandela, a.k.a Steve Biko, a.k.a Che Guevara, a.k.a Julius Nyerere, mpiganaji; atoke! Chama STRONG kimeshindwa kuishinikiza serikali LEGELEGE.....wait! wait! wait! nahisi kama nimechanganya mambo hapa!.....HIVI ni SERIKALI LEGELEGE dhidi ya CHAMA STRONG au ni serikali legelege iliyo-PROVE kwamba ni SERIKALI STRONG ISIYOTETEREKA dhidi ya CHAMA STRONG kilicho-prove kwamba ni CHAMA LEGELEGE!!!

Kumbe ni kweli serikali inaingilia uhuru wa mahakama.
 
Huyu jamaa si ndo alieropoka ndani ya mjengo kuwa milango ifungwe ili zipigwe? Aachwe kidogo hata miezi 2 akae hapo kisongo, ili apambane vzr na wababe wenzie huko. LIKIKUKERA LEAVE ME ALONE....
 
Pamoja n kutoka kwa prezda lema.pia kutakua na oparation safisha jiji wamachinga wote hawatakiwi mjini,sasa hapo ndipo watakapo ifahamu arachuga vizuri.nipo mahakamani kuanzia saa moja asubuhi hapo kesho,update za kutosha msijali,goodnight jf.
 
Wadau, zimebaki saa chache ambapo mbunge wa Arusha mjini Mh. Godbless Lema atoke kule lupango. Ikiwa Hakimu siku hiyo ameamka akiwa na "stress" akasema hakuna dhamana, kwamba arudi Kisongo au ipo.

Unadhani Lema atakubali kurudi lupango? Je unadhani Mh.Lema amebadilika? Unatazamia nini mapokezi yake?

Nawasilisha

Mimi natamani kamanda Lema akatae kutoka tuone watafanya nini.
 
Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wooote.

Lema kajidai mjanja kuwa anaweza kuingia na kutoka apendavyo, nasikia na kesho kama hajatimiza masharti ya dhamana ataendelea kusota ndani, akipenda asipende. Hapo ndipo tunapojuwa kuwa Serikali ipo.
 
Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wooote.

Lema kajidai mjanja kuwa anaweza kuingia na kutoka apendavyo, nasikia na kesho kama hajatimiza masharti ya dhamana ataendelea kusota ndani, akipenda asipende. Hapo ndipo tunapojuwa kuwa Serikali ipo.

Nimeongea na mkuu wa mkoa wa Arusha kesho wakwamishe tena dhamana yake mpaka mwaka mpya
 
kwahiyo mnataka kuniambia wajanja mtaani wamepakua mzigo wake kiulaini kabisa?? ayaaah! noumer sana mjini
 
mbunge wa Arusha mjini Godbless leo ataletwa mahakani kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili pamoja na wanachama wenzake 25 ambapo baadhi walipata dhamana lakini mh Lema aligomea dhamana yake na kudai kesi hiyo ifutwe, baadhi ya wanachama wa chadema walimfananisha na Mandela lakini mandela hakulilia dhamana kama Lema! yeye alisimamia Msimamo wake, je? ikiwa Lema atapewa dhamana leo bila kesi kufutwa itakuwa amesimamia Msimamo? au ameshindwa kuvumilia dhiki, shida, tabu, misukosuko, kulala saa 9, huko gereza la kisongo, je alikuwa na dhamira ya kweli kutaka kuwakomboa wanachama wake? au alikuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa? je Lema anaweza kufananishwa na Mandela hata chembe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom