jQUERY

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,437
jQuery ni libray ya script inayorahisisha na kumuondolea web designer au developer kazi ngumu ya kukumbuka mistari ya javascript. Nimekuwa na jaribu baadhi ya script na code za jQuery na kuona na kushudhudia vipi inaweza kusadia web developer na desinger kuzifanya tovuti ziwe.
  • na uhai na mvuto na ziwe toafuti na tovuti nyingine.
Mfano

katika kutengeza tovuti FAQ ( Frequently asked Question) Ni kipengele cha muhimu hasa kwa mashirtrika ya huduma na hata biashara. Sasa unaweza developer au desinger atatumiaje jqury kutegeneza FAQ yenye mvuto tofauti na page tu ya waida amaboz wengi tumezoea kuona.

Nimejaribu kutumia librayya jQury utengeza kitu kinachofanan na FAQ. unaweza kutazama hapa ICT Dokta - teknohama-Bongo . Je kuna tofauti kwa mtumiaji ningeweka maelezo hayo hayo kwenye static kwenye flat pag?

karibuni
  • tuelimishane ni vipi na mbinu mbali mbali nyingine na tunaweza kutumia jQuery kuongeza uhai na mvuto kwenye tovuti.
  • Pia kama kuna list ya libraries nzuri za jQuery tupeane link tuifanyie majaribio na kujifunza.
 
Unapotengenza tovuti iwe ni shirika la huduma , utangazaji, biashara, uwepo ya mrejesho. au feedback ni muhimu ili wasomaji na watembeleaji waweze kutoa maoni yao . Sasa Utatengenzaje feedback au contact us form nzuri?

JQuery sio tu inasadia kutengeza kutengeza form ya feedback/ contact us lakini inawezesha form ambayoyo inavutia na imedizainiwa vizuri pembeni ya screeen. Tazama mfano huu. Contactable | jQuery Plugin

Ukitaka kupata script za form hiyo unaweza kuziapata hapa Scrollable Feedback Form using JqueryDesign Guru | Design Guru. Nenda kwenye sehemu imenadikwa download. Then unaweza kuibadilisha iendane na mahitaji yako
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom