Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
yule dada mpambanaji alimaarufu Joyce kiria ambaye kwasasa ameolewa na kupata mtoto wa kiume. Anatarajiwa kurudi na ujio tofauti kabisa kwenye luninga moja wapo za bongo ukiachilia mbali vipindi vyake vinavyoruka kwenye DSTV, *nilibahatika kulonga na mwanadada huyo alipokuja hapa Arusha kumtembelea na kumpa hongera kamanda Lema mbunge wetu wa A- town, alikuwa ameongoza na mume wake, tulikutana maeneo ya magereza walipokuwa wameenda kumtembelea Godbless lema huku wakiwa wameambana na mke wa mbunge wetu yaani Neema lema,

Tulitaka kujua ujio wake utakuwaje: na mnukuu, NIimejipanga kurudi kimapinduzi zaidi ilikumkomboa mwanamke katika mfumo dume, pili natarajia kujatofauti kabisa, naombeni muniunge mkono maana bila nyie sitoweza kufika ninapotaka kufika na kuwafikisha wanawake wenzangu.

Tukamuomba angalau picha za ujio wake mpya, akatutumia naweka moja kwanza.View attachment 41068
 
huyo dada habahatishi hata siku moja, na mkubali sana anajua anachokifanya yupo tofauti na wenzake wanaojiita mastaar. Anajichanganya kwenye kila kundi la jamii bila kujali ustaa wake.
 
yule dada mpambanaji alimaarufu Joyce kiria ambaye kwasasa ameolewa na kupata mtoto wa kiume. Anatarajiwa kurudi na ujio tofauti kabisa kwenye luninga moja wapo za bongo ukiachilia mbali vipindi vyake vinavyoruka kwenye DSTV, *nilibahatika kulonga na mwanadada huyo alipokuja hapa Arusha kumtembelea na kumpa hongera kamanda Lema mbunge wetu wa A- town, alikuwa ameongoza na mume wake, tulikutana maeneo ya magereza walipokuwa wameenda kumtembelea Godbless lema huku wakiwa wameambana na mke wa mbunge wetu yaani Neema lema,

Tulitaka kujua ujio wake utakuwaje: na mnukuu, NIimejipanga kurudi kimapinduzi zaidi ilikumkomboa mwanamke katika mfumo dume, pili natarajia kujatofauti kabisa, naombeni muniunge mkono maana bila nyie sitoweza kufika ninapotaka kufika na kuwafikisha wanawake wenzangu.

Tukamuomba angalau picha za ujio wake mpya, akatutumia naweka moja kwanza.View attachment 41068

Ngoja tusubiri tuone huwo ujio wake wa kishindo maana tunahamu naye sana. Vipi anarudi kwenye luninga ile ile ama kabadili? Vipi kuhusu bongo movies maana amekaa kimya na kumeyumba sana, huyu wa cloud kazi yake kuiga tu hana jipya alilo lileta kwenye tasnia hii
 
Ila huyu dada ukisoma historia yake utajua kuwa ni mtu wa aina gani, nilisoma juzi kwenye gazeti la babkubwa, nilimkubali sana hajafika maisha yake alipotoka na anapotaka kwenda.
 
Hana lolote huyo kujishaua tu !

Acha wivu wakijinga maana alichokifanya katika vipindi vyake hamna mtangazaji wa Talk show ambaye ameweza kufikia kiwango alichonacho Joyce. Amethubutu ameweza na sasa anasonga mbele, tutamuunga Joyce mkono kwa kila namna.
 
Naona kajichanganya na wadau mbali mbali huku akiwa na furaha ya kutosha, hongera sana sister joy usirudi nyuma tupo pamoja na wewe.
 
Kibacha namkubali sana huyo dada kwnye DSTv ana vpindi gani kwani? Share with us. Vp Bongo Movie nayenyewe vp?
 
Back
Top Bottom