Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

C.T.U said:
still elimu bado ni muhimu...
kwa maelezo yake tu nimeshaona
kasoro Inayosababishwa na elimu
Hadi stage aliyofikia tunatakiwa tumpongeze ukilinganisha na elimu yake!! Ka ulishaangalia show zake hauwezi ukaamini ka ana hiyo elimu kwa jinsi anavyo host vizuri!? Kuna show nyingi za wengine tumeona zimefail pamoja ya huwa host wake wamesoma ka ile ya Mary Rose (ka sijakosea) ya Star tv kuna ile ya Sporah naona huwa ya kawaida sana..
 
Nionyeshe sehemu aliyotamka hayo maneno kwenye hìi thread??!
Hayo maneno ndo niliyoyaelewa mimi!!

Tatizo lako hasa nini!? We uliyesoma una nini cha ziada kumshinda yeye!? Mwenzako kwa sasa anaendesha familia za watu kwa kupitia fedha anazowalipa wafanyakazi wake kwenye hz kampuni!? Wewe je au ndo wivu wa kike!?

Si umeomba/unataka source hayo maneno aliyasema kwenye interview zake na mama huyu: MANGE KIMAMBI & DEVOTA ON WANAWAKE LIVE..ENJOYYYY....

siku nyingine umetetee mtu unayemjua sio otherwise
 
Si umeomba/unataka source hayo maneno aliyasema kwenye interview zake na mama huyu: MANGE KIMAMBI & DEVOTA ON WANAWAKE LIVE..ENJOYYYY....

siku nyingine umetetee mtu unayemjua sio otherwise

Hili hapa ndo lilikuwa swali
langu:
+255 said:
Nionyeshe sehemu aliyotamka hayo
maneno kwenye hìi thread??!
Hizo habari za Mange mi
nitazijulia wapi wakati
nilichokuuliza ni kuhusu hayo maneno aliyoyasema toka kwenye
THREAD?! ndo maana sijataka
kuhangaika kufungua hiyo link
yako!
 
Hili hapa ndo lilikuwa swali
langu:

Hizo habari za Mange mi
nitazijulia wapi wakati
nilichokuuliza ni kuhusu hayo maneno aliyoyasema toka kwenye
THREAD?! ndo maana sijataka
kuhangaika kufungua hiyo link
yako!

We boya kweli, umetaka ushahidi nimekuletea , kuusoma hutaki!! usaidiweje?? kwa taarifa yako hayo maneno aliyasemea kwenye kipindi cha wanawake live ambapo Mange na Devota ndo walikuwa wageni studio!! na yeye na ta.....bul....ara...sa mwenzake devota walikiri kwamba elimu haina maana yoyote kwa maisha ya binadamu....!!! Usitetee wajinga hata kama wewe ndo mumewe. Kwa taarifa yako pale umeoa tabula
 
Hivi mtu ana akili zake atasimama vipi kwenye media asema elimu haina umuhimu katika maisha ya mwanadamu alafu awekwe kwenye kundi la ma role model??? hapa sio swala la kupendana au kuchukiana....ila hana vigezo vya kupewa sifa mlizo mpa.
kwanza interview zenyewe anazo host kwenye kipindi chake full kuwa comand wageni wake.., na kuwapangia cha kusema (yani kinachomfurahisha yeye)...kwa kweli AKAJIPANGE UPYA, AJE KIVINGINE AKIWA ANA ELIMU LAKIN KWA PALE ALIPO SIDHANI KAMA ANA MIAKA 2 MBELE KUENDELEA KUMAINTAIN STATUS .... Kama amekutuma umpe promo mwambe hujatukuta
Hajanituma na haki ya nani simfahamau na hanifahamu kwa sikio wala ndwele, nilivutiwa sana na ushuhuda wake.........nadhani una inda tu na binti wa watu......
 
We boya kweli, umetaka ushahidi nimekuletea , kuusoma hutaki!! usaidiweje?? kwa taarifa yako hayo maneno aliyasemea kwenye kipindi cha wanawake live ambapo Mange na Devota ndo walikuwa wageni studio!! na yeye na ta.....bul....ara...sa mwenzake devota walikiri kwamba elimu haina maana yoyote kwa maisha ya binadamu....!!! Usitetee wajinga hata kama wewe ndo mumewe. Kwa taarifa yako pale umeoa tabula
Education without liberation is nothing......................unaweze kuwa umesoma lakini hujaelimika.....
 
Sometimes anaonekana kama upeo wa fikra zake pia haujakomaa, jamani shule muhimuuuu inakufungua mengi kiakili. Kuwa successful sio lazima uende shule wako waliozaliwa already success hawana haja na shule. Lakini inasaidia kuangalia vitu in different angle.
 
Ukweli kwamazungumzo yake mwenyewe amekiri kwamba shule ni muhimu sana na nimemsikia kwa masikio yangu, kama kuna mahali alitamka kwamba elimu haina umuhimu, sikatai yamkini pia kwa upeo wake mdogo au tu kwa kuwa alikuwa kwenye luninga na alikua anaji recall back yeye mwenyewe, lakini kilichomliza pale pale ni kuona kwamba anahitaji sana elimu lakini kwa mfumo uliopo anaona ni changamoto kuifikia kwa sababu kwa maneno yake aanasema akienda say QT na tayari ana vibiashara vyake maana yake ni kukwama maana zinahitaji closely monitoring na akamomba mh mbunge Angela Kairuki aangalie jinsi gani wanaweza kumsaidia binti kama yeye, hata mimi kuna vitu katika analysis yangu niligundua anahitaji shule kidogo...but ni kumpa moyo na kumsisitiza ajitahidi kusoma ili aongezee kitu kwenye kipaji chake....
 
We boya kweli, umetaka ushahidi nimekuletea , kuusoma hutaki!! usaidiweje?? kwa taarifa yako hayo maneno aliyasemea kwenye kipindi cha wanawake live ambapo Mange na Devota ndo walikuwa wageni studio!! na yeye na ta.....bul....ara...sa mwenzake devota walikiri kwamba elimu haina maana yoyote kwa maisha ya binadamu....!!! Usitetee wajinga hata kama wewe ndo mumewe. Kwa taarifa yako pale umeoa tabula
Haya hapa ndo maneno aliyoyasema, nimenukuu toka kwenye hy link yako:
saying that elimu ndio ina
umuhimu wake but its not
everything in life,
Sasa we tatizo lako lipo wapi!? Nioneshe tena aliposema elimu haina umuhimu!?
Mrembo by Nature said:
sa mwenzake
devota walikiri kwamba elimu
haina maana yoyote kwa maisha ya
binadamu....
Af hayo maneno kayasema Devotha, sasa kwa nini unasema alisema Joyce?
 
Yesi anajituma na anajitahidi lakini hayo mafanikio madogo yanamfanya wakati mwingine asione umuhimu wa elimu na hii inatokana na kutokuwa na elimu. Mie namshauri ajiendeleze kielimu na atapata mafanikio makuba zaidi ya hayo kwa kuwa amejaliwa kujiamini na moyo wa kuthubutu kufanya kila kitu.
 
Jamani tusitake kutetea ujinga....suala la elimu hasa kwa mwanamke ni muhimu...hasa ukizingatia mama ndo muendesha familia...hivi hao watoto wake atakao zaa atawaambia elimu si muhimu mkiishia darasa la 7 mfanye kazi za ndani then uolewe na mume wa kwanza ukiona hana mshiko, achana nae olewa na mwanaume atakaekuwezesha kukufikisha malengo fulani....hivi hayo ndo maendeleo anatakiwa atueleze kilichomfikisha mpaka kuwa na kampuni 2 ni kitu gani??? Mshahara wake, au kuna mtu nyuma yake kamuwezesha...?....kama ni hivyo mbona wanawake wengi wapo wanawezeshwa na mapeshee na wanakuwa na kampuni zao....mpongezeni kwa alipofikia lakin ni lazima mumshauri arudi shule...
 
Kitu kingine ina maana hata home work ya mtoto wake itamshinda kumsaidia ukizingatia darasa la 7 alosoma yeye ni za shule za kata na watoto wake nina uhakika kwa upeo mzuri wa mumewe itabidi watoto wapelekwe English medium sxhool..JE ATAWASAIDIA VIPI WATOTO KATIKA HOMEWORK AU CHOCHOTE???...Na ikiwa mama hajaipa umuhimu elimu hivi kweli hao watoto atawalea kwa mtazamo gani?...ELIMU NI MUHIMU BWANA ATAKE ASITAKE...MAENDELEO ANAYOYASEMA YEYE WANAWAKE WENGI WANAYO KWA STYLE AU NJIA ALOTUMIA YEYE YA KUHONGWA N.K...MSHAHARA WAKE NAJUA HAUWEZI MFIKISHA KWENYE HAYO MAFANIKIO MNAYOYASEMA
 
Jamani tusitake kutetea ujinga....suala la elimu hasa kwa mwanamke ni muhimu...hasa ukizingatia mama ndo muendesha familia...hivi hao watoto wake atakao zaa atawaambia elimu si muhimu mkiishia darasa la 7 mfanye kazi za ndani then uolewe na mume wa kwanza ukiona hana mshiko, achana nae olewa na mwanaume atakaekuwezesha kukufikisha malengo fulani....hivi hayo ndo maendeleo anatakiwa atueleze kilichomfikisha mpaka kuwa na kampuni 2 ni kitu gani??? Mshahara wake, au kuna mtu nyuma yake kamuwezesha...?....kama ni hivyo mbona wanawake wengi wapo wanawezeshwa na mapeshee na wanakuwa na kampuni zao....mpongezeni kwa alipofikia lakin ni lazima mumshauri arudi shule...
 
BAADA YA MIAKA 5 AMBAPO CHADEMA NDO ITAKUWA IKIONGOZA NCHI SIPATI PICHA LABDA MUMEWE NDO ANAKUJA KUWA MBUNGE HALAF WAZIRI WA FEDHA/AFYA AU CHOCHOTE MKE WA WAZIRI HATA YES/NO HAJUI...PENGINE UMEKUJA UGENI TOKA NJE YA NCHI INABIDI PAWEPO MKALIMANI....YAANI MKE WA KIONGOZI KUAMBIWA UMEFIKA LA 7 INATIA AIBU, AFADHALI KWA WALE MAMA ZETU WA MIAKA HIYO AMBAYO SASA HIVI WANA 45-60-70 KAMA KINA MAMA MARIA NYERERE....LAKIN KWA SISI VIJANA WA SASA HIVI NI AIBUUUUUUUUUUUUUUUUU TENA AIBU KUBWAAAAAAAAAA KWANZA NI AIBU KUTAMKA HADHARANI ULIISHIA LA 7, NA HUONYESHI DALILI YA KUJIENDELEZA...KINA BAKHRESA JAPO WAO HAWAKUBAHATIKA (Tuangalie na umri pia)...lakin watoto wake wengi ni wasomi wazuri tu...
 
Wivu gani wa kumuonea Joyce? hzo ndoa mbili au?? kuomba talaka? may be coz alivaa shela mara mbili
hayo yote yametoka wapi? Tuwe watu wakuapreciate mtu anachokifanya,ppo are not always perfect ila joyce anastahili kupongezwa ni kati ya wanawake wachache wa kuigwa ktk jamii,shela ata akivaa mara kumi ni yeye na atabaki kuwa yeye...we unaonekana mdomo wako mweusi umekalia umbea na majungu,ndugu yangu majungu si mtaji.
 
Watu mna wivu wa kijinga sana, hata kwa mwanamke? Joyce anastahili pongezi kwa mafanikio aliyoyapata na juhudi zake za kusaidia wanawake wengine. Nampa pongezi pia Henry Kilewo kwa kumpa sapoti mkewe.
 
Namkubali Joyce Kiria nimemuona kwenye porogrammes za African Magic. Kuhusu kusoma asijali kwani hata kina Bill Gates,Winston Churchill, Steve Jobs hawakuwa na vyeti vya University. Cha muhimu ni upeo upeo ulionao na jinsi jamii inavyopokea mchango wako. Ila ukitaka kusoma bado una chance kwani waweza kujiandikisha QT ukapata "O" level credits then una sit private candidate exam ya Form VI. Therefter ukipata eligibility ya university waweza kuwa graduate by 2017. Na nakuhakikishia ukifika hapo utakuwa juu sana. Hata Tyra Banks amegraduate mwaka 2012 na degree ya Havard baada ya kufanya talk shows na modelling kwa miaka zaidi ya 15. Wake up Joyce and do it!! Kumbuka kuwa "What a woman has done, a woman can do"
 
Back
Top Bottom