Propaanda za kuwadanganya wananchi wao kuwa serikali yao iko diplomatic!
Waseme watakalo, sisi tunachojua ni kwamba ziwa letu hawapaswi kuligawa kwa wafanyabiashara.
Juzi rafiki yangu Mmalawi kaenda Nkhata bay yeye anaishi Lilongwe. Status update yake kule facebook ilisoma "while we want to avoid war we must be prepared for one" jamaa ni kama political commentator wa Malawi na hii article hapa inaniaminisha kwamba labda alikuwepo kwenye msafara wa rais
Nachosema ni kwamba wenzetu wanasema lengo lao ni kutumia diplomasia ila pia wanajiandaa kwa vita. Sisi tusiwe kama debe tupu haliachi kupiga kelele. Huko wizara ya ulinzi naamini kumejaa hujuma ambazo zikiibuliwa ni full kichekesho as to our readiness for war
Huyo lecturer hamnazo. So claiming the whole lake Nyasa makes Malawi not a landlocked country, and so it can be equivalent to having a strip toward the Indian ocean! Poor logic, the so called give and take as per his statement. Malecturer kama hawa wapo hata hapa bongo.
lecturer anataka tuwape upande wa bahari? anakaribishwa kwetu Pemba tutampatia ili mradi aje kinyumenyume akiwa kavaa suti ya nyama.
Huyo wa kwenu kwani yupo? Muda mwingi yuko nje na jana kafikisha safari ya 333 tangu awe rais. Tunalo kweikwei!!!!
Sadly Tanganyika nayo itakuwa landlocked Zanzibari ikidai coastal strip.
Sadly Tanganyika nayo itakuwa landlocked Zanzibari ikidai coastal strip.
Rais wa Malawi kama wabunge wa lichama fulani huko Mabwepande anawashwaHuyu maza ana majaribu.PERIOD