Joyce Banda: I shall die for the land of Malawi!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
By Nyasa Times Reporter | August 11, 2012

Malawi President Joyce Banda on Saturday made an emotional declaration that she shall die for the sake of her country, in what others see as a defiant insinuation to the threats of war by Tanzania on the ownership of Lake Malawi.

Speaking at a Ngoni traditional festival in the northern district of Mzimba on Saturday, Banda said emphatically in unrelated to the function: "I shall die for the people of Malawi. I shall die for the land of Malawi."

The Malawi leader has not commented on the row with Tanzania.

Tanzania has been warmongering on the standoff over oil and gas exploration in Lake Malawi – also known as Lake Nyasa in Tanzania.

But Malawi has been diplomatic on the issue and are arranging showdown talks on August 20.


President-Banda-arriving-at-the-function.jpg

President Banda arriving at the Ngoni function. Photo by Amanda Chiliro/Nyasa Times

The dispute of the third-largest fresh water resource in Africa has escalated because Tanzania is demanding Malawi to halt exploration activities granted to British company Surestream Petroleum for oil and gas. Surestream is currently conducting an environmental impact assessment.

Meanwhile, a history and political science lecturer at the Malawi Polytechnic, Simburashe Mungoshi suggests the dispute can only be resolved by compromise.

"When these boundaries were agreed upon by the British and Germans it was a give and take game," said the lecturer on VOA.

"The British had to give up claims in some territories in Tanganyika area. Needless to say the Germans had also to give up. So in which case, if Tanzania wants a change in boundaries it would be a give and take. If they want something they must give something. Malawi is a land locked country; we need access to the sea. May be they could give us an equivalent piece of land to take us to the sea."

Malawi insists the whole lake belongs to her and there is no way the country can halt oil and gas exploration.

A home to about 1,000 endemic species of fish Lake Malawi is located at the junction of Malawi, Mozambique and Tanzania. It sustains nearly 10 million people in these three countries.
 
Hili gazeti (Nyasa Times) ni hatiri sana, limekuwa likitoa habari za uchochezi muda wote...huyu mama wala hajazungumzia vita wala kuitaja Tanzania/ziwa Nyasa....:hat:
 
Propaanda za kuwadanganya wananchi wao kuwa serikali yao iko diplomatic!

Waseme watakalo, sisi tunachojua ni kwamba ziwa letu hawapaswi kuligawa kwa wafanyabiashara.
 
Speaking at a Ngoni traditional festival in the northern district of Mzimba on Saturday, Banda said emphatically in unrelated to the function:

"I shall die for the people of Malawi. I shall die for the land of Malawi."

So be it!!!...
 
Huyu mama ni minga sana anaropoka ovyo yeye ni kibaraka wa wazungu na ndio maana Mutharika alikua anamdharau...
 
Mazungumzo ya amani pamoja na vielelezo tangu enzi za mjerumani na mwingereza ndivyo vitakavyoamua lakini sio vitisho:

Kama ni vitisho wakamuulize NDULI, IDD AMIN dada!

Teh teh teh hivi ni kwa nini walimuita dada?
 
Huyu lecturer anasema give and take, tuwape access to the sea, mgonjwa mkubwa huyu anaelewa how much land should be given to them mpaka wafike baharini?

Mkubwa hata mimi nina mashaka na uwezo wake wa kufikiri. Huyo atakua lecturer koko tu huyo!!
 
Rais kama huyu ni kumchapa tu, maana amekuwa ni kabaraka wa muda sasa na wa UK, tusimlegezee kamba, naungana na Lowassa na Sitta kwa kulinda mipaka ya nchi hadi damu ya mwisho.

Si mmeona wachina na waphilipino ktk deap sea? Waphilipino wameelezwa ukweli kuwa wanacheza na moto na tayari wachina walisha peleka jeshi la majini wakati USA ikijifanya kuwasaidia waphilipino

Na sisi tukomae nao hawa UK na Banda wake
 
Huyu mama ni minga sana anaropoka ovyo yeye ni kibaraka wa wazungu na ndio maana Mutharika alikua anamdharau...
Wazee vp? hamjui kama huyu mama anajua kuwa serikali yetu legelege? kama watu wageni kutoka mbali sanawame weza kuchukua natural resource zetu ndani ya mipaka yetu ,kupitia kwenye viwanja vyetu vya kimataifa ,mawakala wakiwa viongozi wetu wenyewe vipi na yeye asijitwalie ilhali yeye ni jirani yetu ,mbia katika ziwa hilo ,tena hawa jamaa ni ndugu zetu kabisa?jamani kama tuna hamu ya vita tunao wa kupigana nao lakini si wamalawi!
 
upuuzi mtupu ndo unaoongelewa na huyu mama wa Kimalawi. Hatumii akili kabisa.

Tunaisaidia Malawi kwa mengi sana. Bidhaa zao zote kuanzia mafuta hadi bidhaa za matumizi ya kawaida zinategemea bandari ya Dar es Salaam na bandari ya nchi kavu Mbeya. Leo analeta jeuri. Likifumuka la kufumuka hapo mpakani ni wananchi wake ndiyo watakaotaabika. Wamalawi wanaounga mkono upuuzi wa rais wao ni wehu sana maana wanashindwa kupima madhara ya wao kugombana na Tanzania.

Sisi tuna bandari wala hatuitegemei nchi nyingine kuingiza bidhaa zetu. Wao hata wakijitia jeuri wapitishie Zambia still watahitaji kutumia bandari yetu. Wakitaka waende Msumbiji na South Africa basi halafu tuone nani atakula jeuri yake.

Kwanza kwanini tunamchelewesha? Ilifaa atunguliwe siku moja kwa batalioni zitakazojipanga kuanzia Mbamba Bay hadi Kyela. Halafu tunatangaza mkoa wa 30 baada ya Geita, Njombe na Katavi. Halafu miaka ya baadaye tutafikiria kuanzisha mikoa mipya ya Karonga, Mzuzu, Lilongwe na Blantyre.Halafu naona sana Watanzania watarajiwa wanavyotutukana kwenye mitandao yao.

Shauri yao, naona wanajisahahu kuwa si punde mji wao mkuu utakuwa Dodoma.
 
mdee junior

Jina lake ilikuwa ni Iddi Amin Kaidada, so walifupisha na kuita Dada badala ya Kaidada na si kwa sababu alikuwa mpishi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom