Joto la Mwili

..."Unataka unifuate ninakokwenda?" Nilimuuliza wala sikujua ninakokwenda ni wapi. Safari ya sokoni nilijua imekufa kifo cha kienyeji.

"Nitakufuata, ukinitangulia" Alinijibu. Gari lake lilikuwa nyuma yangu na akaniashiria kwa taa kuwa yuko tayari kunifuata.

Badala ya kuendelea kuelekea mjini nilienda mbele kidogo na kugeuza kurudi ili niichuke barabara ya Mandela kuelekea Kurasini. Sina Jina alikuwa akinifuata kwa umbali kidogo kwa kila kona niliyokuwa nikikata...

...hadithi nzuri, na funzo kwa mafisi! Kwa kudhani umependwa, next time mtafuata 'ulimbo' kumbe ni jambazi! bure mkaporwe magari na hata uhai wenu kisa; tabasamu la binti mrembo!
 
aaah...bana si kuna 'hisia ya sita' inafanya kazi? :D
 
...acha tu. 'machale' yanapotezwa au kuyeyushwa na tabasamu...

Honestly speaking hii tabia ya mtu anakutulizia macho na tabasamu ipo sana tu, ...na bila kuwa makini unaweza tupiwa swali la papo kwa hapo na maza-hausi "Mnajuana nini, mbona anakuangalia na kukuchekea?"

Apart from that, wengine 'Joto la mwili' huanza pale occupants wa magari fulani mnapoonana mara kwa mara time za kwenda/kurudi kazini kwenye hizi foleni 'za mujini' :D
 
dah..vivian nawe mtata? Hommie hebu do ze nidiful apo
Najaribu tatizo mshiki hatabiriki huyu.

Nipo msasha, majukumu yameongezeka kidogo bana.
Si umeona? Kesi imeshahamishiwa kwenye majukumu

Mtata kivipi tena wahome?
Anajifanya hajui:eek:

asa mshiki hizo coaster za ssa kumi mbeya zinafika saa ngapi kama sio kutafutiana lawama tu?
Hebu nisaidie hapo hommie, mambo gani sasa haya?

Msasha muda sijui zinafika saa ngapi lakini kuna jamaa mmoja ana coaster zake zinaitwa CATS OF AFRICA. huwa zinaondoka hapa Dar saa tisa na nusu Mpaka saa kumi. wanazipenda sana wafanyabiashara wa tunduma. nafikiri msasha chrispin anataka kupeleka habari makambako manually!
hehehe! Umenikumbusha USALULE na nyama za wo! wo! wo!

hahaha, sasa hizo si angekuwa na mimi bana? huko kuna jengine tu.....:D
Si umeona? mambo ya kupakaziana haya!
 
...acha tu. 'machale' yanapotezwa au kuyeyushwa na tabasamu...

Honestly speaking hii tabia ya mtu anakutulizia macho na tabasamu ipo sana tu, ...na bila kuwa makini unaweza tupiwa swali la papo kwa hapo na maza-hausi "Mnajuana nini, mbona anakuangalia na kukuchekea?"

Apart from that, wengine 'Joto la mwili' huanza pale occupants wa magari fulani mnapoonana mara kwa mara time za kwenda/kurudi kazini kwenye hizi foleni 'za mujini' :D

Unajua, ukiwa kwneye gari na maza haus si inabidi usiangalie pembeni 'hovyo hovyo' na hivi kuna wale wanaoweza kusababisha mikono kuota manyoya!\

kuna wengine, huwa inatoke tu, mfano jana mitaa ya posta, nilikwenda kuangalia barua, mara hamad nikakutana na 'kifaa' cha ajabu kabisa, ile najing'ata ng'ata mwenyewe akanisalimie "mambo"..nikajitutumua poa, akapita fasta na mibahasha yake....nilitamani kumsifia lakini wapi bana.....ninaye ninayemsifia kila siku, nikamshukuru Mungu tu

kutoka nje nikaona huyo anaingie kwenye gari, sema mwingine angeifatilia kabisa!
 
Hehehe! Mi hommie nilishawahi kugongwa konzi na wife. Nilijikuta napigia kifaa honi bila kujua niko na waifu kwa pembeni! Majaribu bana!
 
jamani mbona mie yalishanikuta kikwelikweli kama hayo 2 yrs back lakini haikuwa bongo
 
Hehehe! Mi hommie nilishawahi kugongwa konzi na wife. Nilijikuta napigia kifaa honi bila kujua niko na waifu kwa pembeni! Majaribu bana!

haluuu! si ajabu angekushusha kisha yeye achape lapa na gari akwmabia ukamtomgoze vizuri jioni umpe majibu!

kha kosa la red card hilo hommie...hawa viumbe hawa~
 
We acha tu. Lakini kama kawa logistics zilifanyika MILA ikadumishwa!
 
Back
Top Bottom