Joto la Mwili

asa mshiki hizo coaster za ssa kumi mbeya zinafika saa ngapi kama sio kutafutiana lawama tu?

Msasha muda sijui zinafika saa ngapi lakini kuna jamaa mmoja ana coaster zake zinaitwa CATS OF AFRICA. huwa zinaondoka hapa Dar saa tisa na nusu Mpaka saa kumi. wanazipenda sana wafanyabiashara wa tunduma. nafikiri msasha chrispin anataka kupeleka habari makambako manually!
 
hahaha, sasa hizo si angekuwa na mimi bana? huko kuna jengine tu.....:D
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Summary please.....

Hey, we wanted it to be even Longer!! Sorry Shshi. Somebody once said if you want to hide something from an African put it in writing, Please dont make me think you fall under that category.
Anyway ni story ya kufikirika na ni nzuri sana! tena sana!! This guy is really a great thinker.
Shishi just print the story n you can read it at home on your own time.

cheerz!!!
 
Mmh hii hadithi nzuri sana.ndivyo viongozi wetu wa dini walivyo siku hizi.Afadhali hata ya huyu ni mzinzi wengine ni waganga wa kienyeji na wachawi.
 
M/kijiji , mzee wewe unafaa kuwa mtunzi wa hadithi make hii hadithi mimi nilifikiri kweli kitu kimetokea, kamanda ebu aanza kujtunga vitabu vya mapenzi bila kupoteza muda, utauza kaka, huoni akina shigongo wanavotesa na viadithi vyao vya uongo na ukweli,

aanza kupublishi kaka, utapata fans wengi tu
 
Back
Top Bottom