Joto la Mwili

mmmmmmmmmh yani mwanakijiji ww!hadhithi nzuri sana,zo ni hadith but sadasada hakuna mataa bana na wala jamaa hawana mpango wwte wa kuyaweka yani ni chinja chinja tu!pia huyo mama mmmh mbn maharage ya mbeya hivyo?

mie nimeshukur kwamba ni hadithi, hapo kaniacha hoi.
 
Hii hadithi inatufundisha nini Mwanakijiji? anyway naona mtumishi kaifurahia.
 
Vip tena shem........
Hii hadithi sijui ni true story au ya kufikirika tu! maana yake ni hatari tupu.
Nataka ufafanuzi kwenye hiyo red.
Hapo kwenye blue hatari yake ilikuwa wapi? Kanisani au Hotelini?
 
hahaaa usinikumbushe mitihani ya hivo, unasoma swali kwanza afu unaenda kutafuta jibu kwenye stori

ujue nimepata mawazo labda wewe na preta wakati MMK anaandika nyie mnaisoma. alipogonga key ya mwisho na nyie mkamalizia.......dah nyie wakali

usije kufa kwa mawazo B! LOL
 
mmmmmmmmmh yani mwanakijiji ww!hadhithi nzuri sana,zo ni hadith but sadasada hakuna mataa bana na wala jamaa hawana mpango wwte wa kuyaweka yani ni chinja chinja tu!pia huyo mama mmmh mbn maharage ya mbeya hivyo?
Huyu mama sio maharage ya mbeya.si umesoma jinsi alivyomtolea nje IGP wa mbeya?
sema tu huyu mchungaji ana limbwata au ana pepo wa kutongoza kwa macho.
 
hhaha ROFL Girl yani uminichekesha wewe..
 
Nataka ufafanuzi kwenye hiyo red.
Hapo kwenye blue hatari yake ilikuwa wapi? Kanisani au Hotelini?

Jamani mashemeji zangu wanakukwaza nini? ikizingatia sio 'mchungaji' ni kwayamasta tu.
na hii hatari ipo kotekote hasa hotelini.
 
Hiyo story ni nzuri lakini jaribu kubadilisha ending... manake ilikuwa haina haja huyo mama apotoze fahamu...
 
Kaka Mwanakijiji, kwanza nakusifu kwa riwaya yako nzuri, fupi na ya kuelimisha.Katika riwaya hii msomaji anaelezwa kuhusu kitu Love on First Sight kati ya huyu Mama/Dada na yule Mwanamme/Kaka, ujasiri wa huyu Mama kuchukua /kukodi chumba cha hoteli ili wapate privacy, kufanya oral sex bila kinga na baadaye kufanya penetrative sex boila kinga!! Hata hivyo baadaye bnaona huyu Mama/Dada alijawa majuto kwa alichofanya ikiwa ni pamoja na kusaliti ndoa yake. Kwa miujiza ya muumbaji, familia inayoishi? huko Mbagala inakwenda sali Magomeni na huyo Mama kufunuliwa kuwa aliyezini naye ni Mchungaji. Ujumbe ni kwamba, tuheshimu ndoa zetu, tusimwamini yeyote!! Asante kaka Mwanakijiji, nina imani ukiendelea na utunzi huu utampiku Shigongo na baadaye hata mama Agatha Christie!!!
 
My dia yule IGP alitolewa nje coz alikuwa nasoma so na unajua loleza ni madem tu zen full msimamo,alijua akikubali tu no xul
Huyu mama sio maharage ya mbeya.si umesoma jinsi alivyomtolea nje IGP wa mbeya?
sema tu huyu mchungaji ana limbwata au ana pepo wa kutongoza kwa macho.
 
Hahaha! Siku hizi unasomea vidole? Mamushka hukosi vituko! BTW leo imekuwaje umechelewa kuamka? Sore ofu topiki.

hahaaa, kama Kaizer ukisomea vidole unakuwa fasta!!! Nshamaliza!!! ooooh mayasaaa, mama mayasaaaaa duh!!!

afu wewe jana si ndo uliniambia nsilale mapema, ona sasa!!!!
 
Back
Top Bottom