Joto la mwili kupanda

ora

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,198
1,122
Habari waungwana,

Shida ni kwamba, tangu jana joto la mwili limepanda sana ili hali sijisikii vibaya, niko sawa tu. Ila linaniletea hali ya uchovu sana kila wakati..

Je, nini tatizo/nini kinasababisha na nifanye nini hali hii iishe?

Ahsanteni!
 
pole kwa hiyo homa.
ipe akili nafasi ya kurelax, kunywa maji mengi na mazoezi kidogo.
hali iki-persist hata kwa siku 3 kacheki malaria
 
nashukuru sana kwa ushauri!
Mwenyezi Mungu akubariki sana.
 
Habari waungwana

Shida ni kwamba, Tangu jana joto la mwili limepanda sana
ilihali sijisikii vibaya, niko sawa tu

ila linaniletea hali ya uchovu sana
kila wakati..
Je nini tatizo/nini kinasababisha
na nifanye nini hali hii iishe...?

Ahsanteni!
Kunywa juisi ya ukwaju joto litashuka mwilini mwako
UKWAJU   JUISI.jpg
 
Ndugu, homa kupanda unaweza kuwa kiashiria kuwa kuna tatizo kwenye mwili. Inaweza kuwa maradhi, ama mwili umechoka tu kupita kiasi. Oga, kula ushibe, lala kwa muda Kama 6 hrs. Ukiamka bado na homa uende hospitali. Pole sana
 
Long time daktari. Happy ramadhan!
Sasa huu ukwaju wako wa kizungu? Manake juisi ya ukwaju nyeusiii hadi nataka kuiosha na sabuni kwanza,khaa.
Bibie sijambo nilikuwa nipo busy kuwatibu Wagonjwa wa Ukimwi na wagonjwa wa Saratani sasa nimerudi tena uwanjani. Asante kwa kunipongeza Ramadhani na wewe pia. Ukwaju hata wa huko nyumbani mweusi unatosha sio mbaya.

FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.
  1. Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
  2. Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
  3. Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
  4. Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
  5. Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
  6. Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
  7. Husaidia kurahisisha choo (laxative)
  8. Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
  9. Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
  10. Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)

NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!

o
ukwaju-juisi-jpg.360484
 
Habari waungwana

Shida ni kwamba, Tangu jana joto la mwili limepanda sana
ilihali sijisikii vibaya, niko sawa tu

ila linaniletea hali ya uchovu sana
kila wakati..
Je nini tatizo/nini kinasababisha
na nifanye nini hali hii iishe...?

Ahsanteni!
unaugonjwa wa KASUKA
 
Pole sana, ila thread zako mtihani kidogo juzi juzi ulisema unatafuta kazi yoyote ya kufanya, jana unakasema unatafuta jibaba la kukulea, leo unasema unasumbuliwa na joto.
Habari waungwana

Shida ni kwamba, Tangu jana joto la mwili limepanda sana
ilihali sijisikii vibaya, niko sawa tu

ila linaniletea hali ya uchovu sana
kila wakati..
Je nini tatizo/nini kinasababisha
na nifanye nini hali hii iishe...?

Ahsanteni!
 
Ndugu, homa kupanda unaweza kuwa kiashiria kuwa kuna tatizo kwenye mwili. Inaweza kuwa maradhi, ama mwili umechoka tu kupita kiasi. Oga, kula ushibe, lala kwa muda Kama 6 hrs. Ukiamka bado na homa uende hospitali. Pole sana
asante kwa ushauri
sijisikii homa
ila tu joto la mwili limepanda sana
 
Bibie sijambo nilikuwa nipo busy kuwatibu Wagonjwa wa Ukimwi na wagonjwa wa Saratani sasa nimerudi tena uwanjani. Asante kwa kunipongeza Ramadhani na wewe pia. Ukwaju hata wa huko nyumbani mweusi unatosha sio mbaya.

FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.
  1. Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
  2. Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
  3. Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
  4. Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
  5. Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
  6. Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
  7. Husaidia kurahisisha choo (laxative)
  8. Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
  9. Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
  10. Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)

NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!

o
ukwaju-juisi-jpg.360484
asante sana kwa ushauri wako
Mwenyezi Mungu akubariki sana!
 
Pole sana, ila thread zako mtihani kidogo juzi juzi ulisema unatafuta kazi yoyote ya kufanya, jana unakasema unatafuta jibaba la kukulea, leo unasema unasumbuliwa na joto.
hii thread ya Muda
ok
nishauri tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom