Joshua Nassari Kumwoa Halima Mdee?

Tuanaacha mambo ya msingi ya kuandika.Watu atuna umeme kila siku tena katikatia ya jiji pamoja na ofisi za gazeti hilo habari leo.wanaandika furani anataka kuolewa na nani.???
Kweli nimeamini Tanzania ni nchi maskini sana.
 
ndoa ndoa ndoa si kitu cha kukurupuka. wala mm siwezi kukipigia debe humu watu wakoana ndoa ikadumu wiki. afu wakasema sisi ndo tuliosababisha. waache waicheze hiyo ngoma wenyewe.
 
Tatizo naona hizi ni purukshani za kisiasa..........na porojo sioni kama wanarandana...........but you never know with God .,because God gives it to whomever He deems proper even to the least among us..............
 
Alipoona anashambuliwa sana na wapinzani wake juu ya useja wake katika kampeni hizo, Nassari hatimaye alitangaza kumwoa Mdee ambaye pia hajaolewa.
Sidhani kama sababu ya kutangaza ilikuwa ni kushambuliwa, (why do we always see evil instead of good) naamini ni upendo ndio umepelekea hilo (kama ni kweli), after all its non of anyone's business so long as wanatumikia wananchi personal issues za mtu hazimuhusu yoyote zaidi ya mtu mwenyewe
 
mimi naona kama hii ilikuwa mbinu ya kuwaziba mdomo magamba kwamba pindi Nassari akiwa mbunge basi hataendelea kuwa single yeye Halima yuko single...nadhani hizi zilikuwa propaganda tuu....tusubiri matokeo, ukweli utajulikana baadae
 
Ubaya utakuwepo ikiwa tu kutakuwa na shinikizo tu, otherwise hakuna ubaya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom