Joshua Nassari Kumwoa Halima Mdee?

Halima mkubwa sana kwa huyu mtoto lol
ila makubaliano yao wenyewe, yetu macho!

Unajua Bungeni Halima na Joshua Watakuwa kama Romeo na Juliet. Itakuwa Love Stories tu.

Ila kibano kinamsubiri Joshua kwa kumwambia Bi Kiroboto kuwa Kubwa Zima hajaolewa.
 
Superman acha umbea atamwoa vp wkt hata posa hajatoa kwa mzee Mdee
 
Nadhani ndoa yapaswa kuongozwa na kukubaliana kwa mioyo baina ya watu wawili (Mwanamume na Mwanamke). So kama wataelewana na kukubaliana kujenga familia halisi na si ile ya kupass time ................. so be it!!!!!!!!
 
Watu hawatokeani kwenye mikutano ya kampeni, hiyo ilikuwa changamsha genge. Ule ulikuwa uwanja wa mapambano na sio mapenzi.
 
Hiyo ni Siasa tu watu tuchekelee na kupata cha kutafakari
Kijana atao mtu ampendae
 
Halima mkubwa sana kwa huyu mtoto lol
ila makubaliano yao wenyewe, yetu macho!

Hivi mnaposema mwanamke ni mkubwa zaidi ya mwanaume kimaandiko imeandikwa wapi kuwa hairuhusiwi? Au bado mnawaza kuzaa watoto kumi kama enzi za mwalimu. Love and Affection
 
Lowassa hawezi kukubali
lazima mwanae Pamela awe na mume mbunge
right now Siyoi atapigwa kibuti...Nassari atakabidhiwa Pamela...

Mhu! hawa mbona ni kama mtu na mama yake! labda achukuliwe na Mwigulu! si unamjua jamaa alivyo bingwa wa kubeba vifaa vya wenzake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom