Joshua Nassari Kumwoa Halima Mdee?

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696

Kwa upande wake mgombea ubunge, Bw. Joshua Nassari, naye alimvaa Bw. Wassira kwa kauli yake ya kutaka wananchi wasimchague kwa kuwa hajaoa.

msd-bungeni+298.JPG



"Kwa kuwa wameniambia sijaoa, nitamuoa Halima Mdee (mbunge wa Jimbo la Kawe) ili wananchi wa jimbo hili wanufaike mara mbili, hivyo jimbo litakuwa na wabunge wawili," alisema.


SAM_2196.JPG



Alisema anaomba Mungu usiku na mchana ili afanikiwe kumuona, Bi. Halima Mdee, ili akishinda ubunge wananchi wa Arumeru wawe na wabunge wawili, ambao watakuwa mke na mume.

Source:
MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Slaa afunika


Food for Thought . . Sasa Dogo Janja Joshua ameshashinda Ubunge; Je imekaaje hii ya Kumwoa Halima Mdee?
 
Hivi reaction ya Halima Mdee ilikuwaje karibu mara 2-3 ambazo Joshua alisema atamwoa? Au ilikuwa tu ni mkakati wa Kampeni na Propaganda?
 
Hivi reaction ya Halima Mdee ilikuwaje karibu mara 2-3 ambazo Joshua alisema atamwoa? Au ilikuwa tu ni mkakati wa Kampeni na Propaganda?
 
Wewe huchelewi kukubaliana na maneno ya Kibajaji kuhusu Lema, Mbowe, Slaa na wanachadema. Nakushauri ya uchaguzi matokeo yakitoka achana nayo maana hata ahadi kwa wananchi zinakuwaga hewa
 
Sasa ni utekelezaji hizi bla bla bla zilikuwa ni katika kumnyamazisha wasira

ukiuuliza kuhusu visima basi ijumaa visima vitaanza kuchimbwa pale
 
Wewe huchelewi kukubaliana na maneno ya Kibajaji kuhusu Lema, Mbowe, Slaa na wanachadema. Nakushauri ya uchaguzi matokeo yakitoka achana nayo maana hata ahadi kwa wananchi zinakuwaga hewa

Kibabaji ndo "Choo Cha City" aka Mbunge wa Tanesco-Mtera" aka Mr. Matusi?

Lakini Halima alichekelea ama kulembua au ilikuwa vipi? hakujibu kitu? Maana wakienda Bungeni itakuwa stories.
 
Lowassa hawezi kukubali
lazima mwanae Pamela awe na mume mbunge
right now Siyoi atapigwa kibuti...Nassari atakabidhiwa Pamela...

Haaaa haaaa TB, EL sasa hivi game ya Siasa haiwezi tena . . . Unajua Media ilikuwa yamemjenga kiasi ambacho hata yeye hakufikiria, but he took advantage of that.

What is interesting kama Mdee alikuwa anacheka cheka wakati Dogo Janja anachombeza juu ya Ndoa, basi anaweza akabeba jumla maana Halima alishasema na yeye hajapata.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom