Joshua Nassari kamuone Lowassa mara moja

Goheki

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
448
387
Ndugu Nassari, wakati El akihutubia mkutano wa kampeni alisema maneno haya, wananchi wamchague sioi ili awaongoze wabunge wa Arusha kwenda kumuona waziri wa ardhi Pro.Anna Tibaijuka kwa kuwa yeye ndiye M/kiti wa wabunge wa Arusha.

Sasa mwambie ww ndie uliyechagulia, tatizo la ardhi,maji,umeme etc. Ni la wana-Arumeru sio la Sioi.

Sasa atumie nafasi ile ile ya M/kiti, na ahadi ile ile mkamuone waziri kwa maendeleo ya Arumeru.
 
Ndg Nassari,wakati El akihutubia mkutano wa kampeni alisema maneno haya,wananchi wamchague sioi ili awaongoze wabunge wa Arusha kwenda kumuona waziri wa ardhi Pro.Anna Tibaijuka kwa kuwa yeye ndiye M/kiti wa wabunge wa Arusha. Sasa mwambie ww ndie uliyechagulia,tatizo la ardhi,maji,umeme etc.ni la wanaarumeru sio la Sioi. Sasa atumie nafasi ile ile ya M/kiti,na ahadi ile ile mkamuone waziri kwa maendeleo ya Arumeru.
What? teh teh teh teh
 
BTW kuna umuhimu wa kuitisha upya uchaguzi wa mwenyekiti wa Wabunge hapo Arusha! Ukichukulia CHADEMA wameongeza Mbunge na ule Mpasuko wa makundi ya Wabunge wa Magamba mzee mzima lazma amwagwe chalii...!:-*
 
itakuwa lini nimsindikize jamaa huwa anachinja ng'ombe kwa wageni na kishushio kikali
 
Tulianza na Mungu tukamaliza na Mungu na sasa tuko na Mungu ktk kuwatumikia wana arumeru, hatumwogopi mtu awae yote na hatujikombi kwa mtu bali Mungu alie hai na heshma ziende kwa wapga kura.
 
Na kama utakumbuka Lowassa alisema hivi; Sioi akichaguliwa tatizo la ardhi litakuwa limefungwa Meru, sasa wananchi wamemchagua Nassari unadhani wamegoma kuondoa tatizo la Ardhi Meru?
 
tena mfuate kwa maandishi ili akishindwa kukusikiliza ndio uwe ushahidi wetu wa kulichukua jimbo la monduli
kwa uongo wake wa pale jukwaani,ama kweli mvi si uzee jamaa mwongo huyu siku zote alikuwa wapi kumuona waziri wa ardhi.
 
Sioni kwa nini Nassari arefushe njia, aende moja kwa moja kwa Prof Tibaijuka na ampe ultimatum, ardhi ya Arumeru sasa inatakiwa na wenyewe wana-Arumeru.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom