Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

Status
Not open for further replies.
very bad! According to maCCM atakuwa kajijeruhi! sijui tunaenda wapi! wanasema chama chao ni cha amani na utulivu!
 
taarifa za kimbeya na majungu hizi, hivi nyie wanachadema mnafanya hizi za propaganda uchwara kwa faida ya nani?? unaweza kutupa source na pictorial evidence ya huu uzushi wako?

We kashoga usiwe k.u.k.u sijui mna akili gani? Hivi mpoje? Ungekuwa karibu nami ningekupiga kibao. Hebu pitia kwenye page ya nasari fb utaona. Mnaboa kinyama nyie nyinyiemu.
 
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.
Acha U.S.E.N.G.E wewe watu wanaumia alafu unasema wanataka huruma??????????unakili timamu kweli wewe?mimi nitamshangaa sana kama kuna mtu anaamini kwamba mtu anaweza jiumiza kwa kutafuta huruma,then what?for who's benefit?acheni kukurupukaga nyie serukambo you
 
Hao ni wanaume kuliko dogo softy.

Mbona unaandika kama una
hump.gif
.

Tuliza Munkari.
 
Last edited by a moderator:
Mnajambajamba hum jf kila dk ccm ccm ccm. Mbinu hizo mnatwngana wenyewe afu mnazngua ccm wametupiga. Wanacdm tunawajuaa hamwez kukubal kupigwa
 
yani chadema tayari mnajua hamna chenu mana toka jana sbb kibao tuhuma kila dakika .yn mnatafuta sbb za kushindwa.

#KIBE you really a Piece of ----
Nchi haiwezi kuendelea kwa fitna
Tanzania ni ya kila mtu
Remember end justify the means!
Pia wahenga wa kizungu walisema "LIFE IS TRANSITORY "
Why you keep clinging be realistic acha kuendekeza njaa kila mtu ana njaa b¥£€#*tch!
 
chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.

izi ndio akili za watu wa ccm ulitaka aseme ajapigwa,ninyi sasa hivi mmebaki kutumia hila mbaki madarakani,muda wenu umekwisha na nilazima mkubali hamkubaliki tena,
 
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.

Sio kosa lako bado hujajitambua....!
 
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.

Unamatatizo ya akili wewe, unafikiria cdm inaakili za kipumbavu namna hiyo. Damu hizi zilizomwajika ziwe juu ya ccm na wote waliofanya vitendo vya kihuni. Ccm ni LAZIMA ITOKE MADARAKANI.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom