Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

Status
Not open for further replies.

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Wana JF,

Hali si shwari katika uchaguzi mdogo wa Makuyuni, CCM wamevamia vituo vya kura, mawakala wa CHADEMA wamepigwa vibaya sana.

Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana. Amelazwa Hospitali ya Waseliani

attachment.php

Jamani watanzania tunaelekea wapi kwa hali hii?

Ee Mungu utusaidie sisi wanao!
 
Kwa sasa nimeshikwa na kigugumuzi kisicho cha kawaida katika kuchangia yanayojilia katika uchaguzi huu mdogo. Hali kama ni hiyo kwa uchaguzi huu mdogo, Uchaguzi Mkuu ujao hali itakuwaje?
 
ni kitugani kimekupa uhakika kua walifanya vurugu ni CCM?? wamajibandika kadi zao usoni?? ninikinakufanya usee huyu ni CCM? na huyu sio
 
CCM wanataka kuigeuza hii ishu kuwa Nassari alimtishia mlemavu kwa bastola, wamekosa pakutoke sasa wanafanya uhuni.
Eti sasa wanamtafuta Nassari ili wamkamate
 
Sasa yatosha! Hata Museveni,Kagame, Kabila na wengineo walisema yatosha.
 
Hivi kwa nini tusiingie barabarani kumuondoa IGP. Haya yote yanatokea kwa Sababu CCM wanaona wao wako juu ya sheria na polisi hawawezi kuwafanya kitu. This is too much, enough is enough.
 
Sasa yatosha! Hata Museveni,Kagame, Kabila na wengineo walisema yatosha.

yani chadema tayari mnajua hamna chenu mana toka jana sbb kibao tuhuma kila dakika .yn mnatafuta sbb za kushindwa.
 
Kwa sasa nimeshikwa na kigugumuzi kisicho cha kawaida katika kuchangia yanayojilia katika uchaguzi huu mdogo. Hali kama ni hiyo kwa uchaguzi huu mdogo, Uchaguzi Mkuu ujao hali itakuwaje?

Hakika CCM wamejua kwamba wanaondoka madarakani,sasa wanafanya kila jitihada kuvuruga amani ya nchi ili wasalie madarakani,jambo ambalo halitawezekana>
 
Mmmmh kweli ukombozi kupatikana hadi mambo kama haya yatokee.
CCM mmenunua hadi Habari za leo nyie noma.
Ila ipo siku mtatoka
 
hii hapa quote kutoka kwa mh nassari

[h=5]Naelekea babati au magugu kutafuta tiba, nimeshambuliwa kwenye kituo cha kura cha Zaburi, Makuyuni. Damu zinanitoka puani.[/h]
 
Wana Jf,
Hali si shwari katika uchaguzi mdogovwa makuyuni, ccm wamevamia vituo vya kura, mawakala wa chadema wamepigwa vibaya sana.

Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana.

Jamani watanzania tunaelekea wapi kwa hali hii?
Ee Mungu utusaidie sisi wanao!

Mkuu weka picha.
 
Hakika CCM wamejua kwamba wanaondoka madarakani,sasa wanafanya kila jitihada kuvuruga amani ya nchi ili wasalie madarakani,jambo ambalo halitawezekana>
Mkuu hujuwi kuwa chama chako cha chadema ndiyo chanzo cha vurugu kwani kipindi hakikuwepo vurugu zilikuwope.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom