Joshua Nassari ana wakati mgumu sana kushinda ubunge Arumeru kutokana na mila zao

Tatizo ni mila na desturi za Wameru na Wamasai ambao wengi wao ndio wakazi wa Arumeru.

Na hawataki siasa zivuruge mila zao wazee wa Ngarananyuki na Usa River wanasema.

Sawa...Vipi kuongozwa na mtu ambaye hajazaliwa ndani ya ardhi yao...Hao wazee wanalipi mkuu.
 
ni wewe wa "partners" au??

mila mila mila, ngoja tusubiri fools day

Joshua Nassari hatafuti uongozi wa kimila bali wa kisiasa na upigaji kura hapa haupigwi na wazee wa kimila tu!

Kwa hili badilisha mtazamo RITZ.
Mambo ya kuongozwa kwa kigezo cha umri,jinsia,kabila,dini na vingine kama hivyo havina hoja kizazi hiki.
 
yaliyotokea uchaguzi wa igunga na uzini ndiyo yatakayotokea arumeru . Vuvuzela pigeni ila ukweli ndio kama kawa.
uzini lilitawala zaidi la udini na ndilo lililo wapatia ushindi kulingana na aina ya wapiga kura waliko lalia
 
ukizungumzia kimira,Sioy ndo kaharibu kabisaaaaaaaaaaaaaa
Kwanza kazaliwa Kenya na kitovu chake na damu yake ilimwagika kenya
Pili ametoka sikio na anatatuu mwilini,haya mambo hufanywa na vijana wa kihuni.
 
Wanabodi,
Kwa mujibu wa habari kutoka kwa wakazi wa Arumeru Mashariki wanasema mgombea wa Chadema Joshua Nassari, nafasi yake ya kuchukuwa kiti cha ubunge ni ndogo sana.

Katika mila zao Wamasai na Wameru hazitofautiani sana. Wazee wa kimila wamesikitishwa sana na kitendo cha Chadema kuwaletea mtoto ili awaongoze.

Wanasema Nassari, bado mtoto analelewa na wazazi wake, hana mke hana mtoto, hatuwezi kumpima hata kwa uongozi wa familia yake, anawezaje kuongoza wazee!

Wanasema Nassari mwenyewe anajua mila na desturi zetu Wameru, haziruhusu watoto kushiriki vikao vya wazee.

Nassari anajitetea kuwa mbona wengine hawajaoa kina David Silinde, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi, John Mnyika.

Wazee wakamwambia hawa wote wana mila na desturi zao, inawezekana baadhi yao hawana hata mila moja.

Hiyo haiwezi kuhalalisha sisi tuvunje mila zetu kwa kuongozwa na watoto wadogo ambao wanalelewa na baba na mama.

Hizo mila desturi za Wameru na Wamasai ndio limekuwa tatizo kubwa kwa Jossua Nassari kushinda ubunge.

Namuunga mkono mwana JF mmoja kwa thread yake ya jana kwamba CHDEMA wasiposhinda basi viongozi wake wa juu wajiuzulu nyadhifa zao. Unajua siku zote CDMA wanafeli dakika za mwisho na source hata mimi naweza kusema ni viongozi wa ngazi za juu. Unajua mtu anapopokelewa kama Mfalme halafu jukwaani akaongea yale ambayo watu hawakutarajia huharibu kila kitu. wazee wanasena Mtu mzima akijamba husingiziwa mtoto kwa kuficha aibu ya mzee. NASAARI sasa anatolewa kafara kuwa ni mtoto ila ukweli waliomponza ni viongozi wake,na hilo kila mtu analijua Arumeru, japo kwa kweli mila zao si tofauti sana na zile za kimasai.
 
Wanichagu mimi basi maana nimedumisha mila za Wameru ninao wake 4 na watoto 40 na umri wangu ni miaka 80!
 
Wanabodi,
Kwa mujibu wa habari kutoka kwa wakazi wa Arumeru Mashariki wanasema mgombea wa Chadema Joshua Nassari, nafasi yake ya kuchukuwa kiti cha ubunge ni ndogo sana.

Katika mila zao Wamasai na Wameru hazitofautiani sana. Wazee wa kimila wamesikitishwa sana na kitendo cha Chadema kuwaletea mtoto ili awaongoze.

Wanasema Nassari, bado mtoto analelewa na wazazi wake, hana mke hana mtoto, hatuwezi kumpima hata kwa uongozi wa familia yake, anawezaje kuongoza wazee!

Wanasema Nassari mwenyewe anajua mila na desturi zetu Wameru, haziruhusu watoto kushiriki vikao vya wazee.

Nassari anajitetea kuwa mbona wengine hawajaoa kina David Silinde, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi, John Mnyika.

Wazee wakamwambia hawa wote wana mila na desturi zao, inawezekana baadhi yao hawana hata mila moja.

Hiyo haiwezi kuhalalisha sisi tuvunje mila zetu kwa kuongozwa na watoto wadogo ambao wanalelewa na baba na mama.

Hizo mila desturi za Wameru na Wamasai ndio limekuwa tatizo kubwa kwa Jossua Nassari kushinda ubunge.

Pole sana mkuu
Mbinu zenu za udini zimeshindwa kama mlivyofanya Igunga sasa mnakuja na ushetani wa mila.Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo ameshamteua Nassari kuwa mbunge
 
Namuunga mkono mwana JF mmoja kwa thread yake ya jana kwamba CHDEMA wasiposhinda basi viongozi wake wa juu wajiuzulu nyadhifa zao. Unajua siku zote CDMA wanafeli dakika za mwisho na source hata mimi naweza kusema ni viongozi wa ngazi za juu. Unajua mtu anapopokelewa kama Mfalme halafu jukwaani akaongea yale ambayo watu hawakutarajia huharibu kila kitu. wazee wanasena Mtu mzima akijamba husingiziwa mtoto kwa kuficha aibu ya mzee. NASAARI sasa anatolewa kafara kuwa ni mtoto ila ukweli waliomponza ni viongozi wake,na hilo kila mtu analijua Arumeru, japo kwa kweli mila zao si tofauti sana na zile za kimasai.

Toa udini wako hapa
 
Wanabodi,
Kwa mujibu wa habari kutoka kwa wakazi wa Arumeru Mashariki wanasema mgombea wa Chadema Joshua Nassari, nafasi yake ya kuchukuwa kiti cha ubunge ni ndogo sana.

Katika mila zao Wamasai na Wameru hazitofautiani sana. Wazee wa kimila wamesikitishwa sana na kitendo cha Chadema kuwaletea mtoto ili awaongoze.

Wanasema Nassari, bado mtoto analelewa na wazazi wake, hana mke hana mtoto, hatuwezi kumpima hata kwa uongozi wa familia yake, anawezaje kuongoza wazee!

Wanasema Nassari mwenyewe anajua mila na desturi zetu Wameru, haziruhusu watoto kushiriki vikao vya wazee.

Nassari anajitetea kuwa mbona wengine hawajaoa kina David Silinde, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi, John Mnyika.

Wazee wakamwambia hawa wote wana mila na desturi zao, inawezekana baadhi yao hawana hata mila moja.

Hiyo haiwezi kuhalalisha sisi tuvunje mila zetu kwa kuongozwa na watoto wadogo ambao wanalelewa na baba na mama.

Hizo mila desturi za Wameru na Wamasai ndio limekuwa tatizo kubwa kwa Jossua Nassari kushinda ubunge.
Habari hii haina kichwa wala miguu, na ni ya kufikirika, na imetungwa na mtu ambaye hajawahi kupita Arumeru kwa siku hizi za kampeni.
Jamani niwaambie ni ukweli hali ya ccm Meru ni mbaya sana, maana wapiga kura wa cdm wameamua kuvaa nguo za ccm ili wafaidi hela tu, lakini ni full chadema!
Ishu ya Ritz kuwa Nassari ni kijana mdogo haina mashiko, wala hakuna mahali imewahi kuongelewa. Wameru wanatambua sana vipaji vya uongozi katika vijana, na wameshambariki Nassari kuwa ndiyo Mbunge wao!
Hizi ni kauli za kujitia moyo, lakini anayetaka kujua ukweli apite barabara kuu ya Moshi Arusha, kuanzia Tengeru, UsaRiver, Kingori, KIA, ataleta jibi hapa!..Ukipita na alama yoyote ya ccm jihakikishie kuwa utarudi kwako na alama za kudumu mwilini!
 
Na yale maelfu ya kura aliyopata wakati wa uchaguzi wa 2010 yalitoka wapi?
Alafu umezungumzia wazee tu. Kumbuka idadi ya wazee ni ndogo sana. Na kundi kubwa ni vijana.

Mwaka 2010 Nassari aliambulia kura 19,123 tu sawa 34.33%.

Jeremiah Sumari akipata kura 34,661 sawa na 62.23%.
 
Tatizo ni mila na desturi za Wameru na Wamasai ambao wengi wao ndio wakazi wa Arumeru.

Na hawataki siasa zivuruge mila zao wazee wa Ngarananyuki na Usa River wanasema.

Vipi umeshatoa ahadi ya kutembea uchi? Mkuu chuki yako ya udini itakumaliza.Arumeru sio Igunga mazee.
 
Tatizo la Arumeru hata vijana wanafuata wakuu wao wanachosema LAIGWANANI na WASHII.

Sina uhakika na hili,nafahamu wanayo haki ya kuchagua kiongozi wao bila shinikizo lolote zaidi ya hapo kura ni siri ya mpigaji ndani ya sanduku.
 
Najaribu kupima akili za watu humu..Nimegundua tuna safari ndefu sana..Hivi kweli mtu na akili zako unaweka thread kama hii...Nahisi wengine humu ni Under 18.
 
Wanabodi,
Kwa mujibu wa habari kutoka kwa wakazi wa Arumeru Mashariki wanasema mgombea wa Chadema Joshua Nassari, nafasi yake ya kuchukuwa kiti cha ubunge ni ndogo sana.

Katika mila zao Wamasai na Wameru hazitofautiani sana. Wazee wa kimila wamesikitishwa sana na kitendo cha Chadema kuwaletea mtoto ili awaongoze.

Wanasema Nassari, bado mtoto analelewa na wazazi wake, hana mke hana mtoto, hatuwezi kumpima hata kwa uongozi wa familia yake, anawezaje kuongoza wazee!

Wanasema Nassari mwenyewe anajua mila na desturi zetu Wameru, haziruhusu watoto kushiriki vikao vya wazee.

Nassari anajitetea kuwa mbona wengine hawajaoa kina David Silinde, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi, John Mnyika.

Wazee wakamwambia hawa wote wana mila na desturi zao, inawezekana baadhi yao hawana hata mila moja.

Hiyo haiwezi kuhalalisha sisi tuvunje mila zetu kwa kuongozwa na watoto wadogo ambao wanalelewa na baba na mama.

Hizo mila desturi za Wameru na Wamasai ndio limekuwa tatizo kubwa kwa Jossua Nassari kushinda ubunge.

Anaongoza wazee wa kimila au wananchi wa jimbo la Arumeru?
 
Habari hii haina kichwa wala miguu, na ni ya kufikirika, na imetungwa na mtu ambaye hajawahi kupita Arumeru kwa siku hizi za kampeni.
Jamani niwaambie ni ukweli hali ya ccm Meru ni mbaya sana, maana wapiga kura wa cdm wameamua kuvaa nguo za ccm ili wafaidi hela tu, lakini ni full chadema!
Ishu ya Ritz kuwa Nassari ni kijana mdogo haina mashiko, wala hakuna mahali imewahi kuongelewa. Wameru wanatambua sana vipaji vya uongozi katika vijana, na wameshambariki Nassari kuwa ndiyo Mbunge wao!
Hizi ni kauli za kujitia moyo, lakini anayetaka kujua ukweli apite barabara kuu ya Moshi Arusha, kuanzia Tengeru, UsaRiver, Kingori, KIA, ataleta jibi hapa!..Ukipita na alama yoyote ya ccm jihakikishie kuwa utarudi kwako na alama za kudumu mwilini!

Tehe...tehe.....kwii......kwiiiiiiii........
 
Mwaka 2010 Nassari aliambulia kura 19,123 tu sawa 34.33%.

Jeremiah Sumari akipata kura 34,661 sawa na 62.23%.

CUF walikuwepo kwenye kinyang'anyiro? walipata kura ngapi?
na una unajua kama kuna mabalozi na wenyekiti wa Serikali za mitaa washakimbia CCM wamehamia CDM?
Je unajua ni wanachama wangapi wameshaiasi CCM??? acha porojo mkuu wait and you will see
una ahidi nini? kutembea Uchi au una ahadi gani safari hii??
 
Habari hii haina kichwa wala miguu, na ni ya kufikirika, na imetungwa na mtu ambaye hajawahi kupita Arumeru kwa siku hizi za kampeni.
Jamani niwaambie ni ukweli hali ya ccm Meru ni mbaya sana, maana wapiga kura wa cdm wameamua kuvaa nguo za ccm ili wafaidi hela tu, lakini ni full chadema!
Ishu ya Ritz kuwa Nassari ni kijana mdogo haina mashiko, wala hakuna mahali imewahi kuongelewa. Wameru wanatambua sana vipaji vya uongozi katika vijana, na wameshambariki Nassari kuwa ndiyo Mbunge wao!
Hizi ni kauli za kujitia moyo, lakini anayetaka kujua ukweli apite barabara kuu ya Moshi Arusha, kuanzia Tengeru, UsaRiver, Kingori, KIA, ataleta jibi hapa!..Ukipita na alama yoyote ya ccm jihakikishie kuwa utarudi kwako na alama za kudumu mwilini!

Hivi unajua mbinu wanayoitumia Chadema saizi wanasomba vijana kutoka maeneo ya Karatu na majimbo mengine kuleta kwenye mikutano yao.

Mikutano inajaa watu lakini mwisho wa siku vijana hao wanaosombwa hawataruhusiwa kupiga kura.

Ni bora mkutano wako uhudhuriwe na watu 20 watakaokupigia kura kuliko kuhudhuriwa na 100 ambao hakuna hata mmoja atakaekupigia kura.
 
Back
Top Bottom