Josha Nassari kuapishwa bungeni next Tuesday

Kauli za CHADEMA zina mshiko kwa maana zina faida,tuanze na PEOPLE'S POWER ikaleta wabunge 48.M4C mwanzo tu mbunge 1 na bado changa,ikikomaje!baraam.Ahsante kwa kutujuza tarehe ya shangwe DOM,tu pamoja RAB atupe nguvu za kupambana zaid hadi yale tuyatakayo yatimie.
 
Wale wabunge, waliojipambanua kwa matendo yao kama wahuni, wababaishaji ,walaghai,wapotoshaji, walopokaji na wapiga porojo na walionena maneno yasiyo na staha wala utu dhidi ya CHADEMA, viongozi wake na Nassari, waanze kujiandaa kisaikolojia kumwona akiapa wiki kesho.
Kamanda ameshatamka amewasamehe kwa kuwa hamkujua mlilokuwa mkitenda na hana kinyongo nanyi.
Yafaa mfanye toba mbele za Mungu na/au miungu mnayoiabudu,na muhimu zaidi mjisamehe nyinyi wenyewe.
 
Ahsante kwa taarifa mkuu,mi pia sikujua kuwa ni kikao cha kwanza ,mkutano wa saba ,bunge la kumi,thanx
 
Thanx mkuu kwa kutujuvya maana wengine tuko mbali kiasi cha kutokujua nn kinaendelea.kuna wanaochefuka kwa hii thread ila wajue jambo moja kwamba nassari ni mbunge wa arumeru mashariki mpaka 2050 atakapostaafu kwa hiari ndo waanze kujipanga upya.peopleeeeee's.
 
Sasa Tuchanganye Peoples Power na M4C ili sasa tufanye mapinduzi ya kifikra kwa watanzania walio wengi vijijini na ikiwezekana tuchukue nchi kabla ya 2015. Vasco Da dama atajiuzulu kwanza uchumi umeyumba, pili CCM imesambaratika katika vipande (makundi).

Na bado tunasubiri zile siku 100 za KJ 2458 ziishe.
 
Back
Top Bottom