Josha Nassari kuapishwa bungeni next Tuesday

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Zimebaki siku saba kamili ambapo Joshua Nassari atasimama na kuapa mbele ya bunge kuanza kazi yake.

Kikao cha KWANZA cha mktano wa SABA wa bunge la KUMI unaanza Tuesday, April 10, 2012.
 
Sasa wewe unatakaje leteni post zenye mashiko ya kujadiliwa.Wewe unafikiri ataingia bila kuapishwa.Mashudu tupu hapa
 
Sasa wewe unatakaje leteni post zenye mashiko ya kujadiliwa.Wewe unafikiri ataingia bila kuapishwa.Mashudu tupu hapa
Huu ndio mzee Six huwa anaita wivu wa kike. Kushinda ubunge sio kazi ndogo ndo maana watu wanafuatilia kila nyendo yake Nassary kwani amejiunga na celebrities wengine. Ukitaka kujua kulonda kazi ya ubunge inahitaji kugangamala waulize Nape na Mtatiro walivyogalagazwa majimboni na sasa wamekuwa watumwa kila wanachoambiwa wanasema ndio mzee. Nenda kampigie kampeni mkwe wa Lowassa NDIO MZEE, zunguka nchi nzima kumchafua HR NDIO MZEE...
 
Mungu ampe hekima ali adumishe mapinduzi kwani bado TZ tuko kwenye ukoloni tena mbaya kuliko wa wana wa israel
 
kama mtoa mada anajua ni j.4 atujuze ni sehemu gani mipango ya safari inapagwa?
 
Kauli za CHADEMA zina mshiko kwa maana zina faida,tuanze na PEOPLE'S POWER ikaleta wabunge 48.M4C mwanzo tu mbunge 1 na bado changa,ikikomaje!baraam.Ahsante kwa kutujuza tarehe ya shangwe DOM,tu pamoja RAB atupe nguvu za kupambana zaid hadi yale tuyatakayo yatimie.
 
Sasa wewe unatakaje leteni post zenye mashiko ya kujadiliwa.Wewe unafikiri ataingia bila kuapishwa.Mashudu tupu hapa

Magamba wa JF bado mnahasira sana eeeeh mbona boss wenu Nape kashakubali nyie ndo viherehere wa kuendelea kumwombea njaa jembe Nasari. Huu sio wivu wa kike ni zaidi huu ni ujinga. "Unawivu kumzidi hata shetani" kama hula la kuchangia ni bora ukakaa kimya. Wengi tulikuwa hatujui Bunge linakaa lini na lini kijana wetu ataanza kazi rasmi kama mbunge wa Arumeru Mashariki.
 
JOSHUA NASSARI nakufananisha na Joshua Myahudi aliyetumwa na Mussa kwenda kuchunguza nchi ya maziwa na asali. Mungu amekuinua wewe kwenda kuwasemea na kuwawakilisha wana arumeru wote pasipo kujali itikadi zao.
Kumbuka siku ulipotangazwa kuwa mshindi mvua kubwa ilinyesha kama ishara ya baraka na kukubalika kwako mbele za Mungu. Watu waliomba Mungu awape kiongozi Arumeru....wamama na bibi zetu wanaoteseka hasa katika suala la ukosefu wa huduma nzuri za afya, maji, ardhi waliomba sana, Mungu amewajibu.
Kumbuka Mungu aliwaambia wana wa Israeli...utakapofika uko..ukafanikiwa na kondoo, mbuzi, ngamia, ngombe zako wakaongezeka...usimsahau Mungu aliyekuweka hapo. ULIANZA NA MUNGU...USIMWACHE KABISA. MAJITU(CCM) yasikuogopeshe kwa lolote..saaa ya ukombozi ndio hii. ushindi huu umeleta mwangwi mkubwa wa furaha kwa Watanzania wengi wapenda mabadiliko na maendeleo...YOUNG MAN NEVER EVER GIVE UP....
 
Nilikuambia NASARI ujiandae kutukanwa mwingine akakuambia kuzomewa wakati wa kuapishwa. R u ready?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom