Josephine Mushumbuzi amfikisha kortini mumewe Mahimbo kudai talaka

Duh! Sheria ni hasa. Umri wa Dr Slaa na mwanae huyo wa miezi mitano!

Ana uwezo wa kumlea hajaomba msaada kwa mtu!!! Mbona wale wazee wenu kijijini wana wake 14 na wengine ni umri sawa na dada zenu na bado wanazaa? Huyu mume wa Josephine si yeye ndiyo alimwacha mwanamke kwa miaka kadhaa? Aloposikia kampata mume wa uhakika basi akapagawa? Mbona siku zote yeye alikuwa anakula bata na mke mwingine? Go on Josephine, Go on our first Lady!!
 
nasikia hata upadri alifukuzwa kwa sababu za kuhujumu wake za watu, amegombea uraisi amehujum tena, akipata urais hata kuwa tofauti na mfalme mswati huyu. Zito inabidi ajiandae kugombea uraisi kwani huyu ana utovu wa maadili
 
Mwita.....Sidhani kama kuna haja ya kumjibu WC kwa kiroja.....Ulipaswa kumjibu kwa hoja....Kama ni kweli Josephine ameenda kudai Talaka mahakamani itakuwa ni issue,hii itakuwa na maana kwamba Dr. Slaa ameishi kinyumba na kuzaa na mke wa mtu kitu ambacho katika hali ya kawaida ni kosa.....Kwamba Dr. Slaa amezaa na mke halali wa bwana Mahimbo(maana bado hawajaachana kisheria,hawajatalikiana.....)

Nadhani watu hapa hamuelewi masuala ya sheria ila mnaleta siasa, kuna jukwaa la siasa. Kama wanandoa wakitengana, haki ya tendo la ndoa pia husimama kati ya wanandoa hao. Hata mwanandoa akiwa na mpenzi wa nje huwa haichukuliwi kama Adultery na mume au mke hawezi kuja kudai fidia au kusema amemfumania mwenzake. Sheria inaruhusu baada ya kutengana kwa miaka mitatu na mmoja wa wanandoa akiwa hataki kuendelea kuishi na mwemza wake aliyetengana nae kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo then anaweza kurudi mahakamani na kufungua shauri la kuomba talaka. Kumbuka, wakati wa separation sheria haimzuii mtu kuwa na mahusiano na mtu mwingine kama ataona inafaa na haitachukuliwa kama ni matrimonial misconduct kwani all matrimonial rights and responsibilities seeze to be in force the moment partners announce separation or when the court or churh/ sheikh orders separation of spouses! Kwa maana hiyo basi, josephine anayo haki ya kuwa na Slaa na pia kuomba talaka from the so Mahimbo.
 
I see.....................
 
Back
Top Bottom