Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,316
- 677
kwn kasema mke wake c alisema mchumba? Mbn mnakuwa vinabo hvyo kushupalia mambo ya watu.
............... hivi kwenye Ukiristo kuna "Talaka" ??! :A S-coffee:Sasa kama mwanamke umeshaachana nae kwa miaka kadhaa. Si atoe talaka?/
Hata asipotoa hawezi ishi naye tena.
.................. Mbona karuka mipaka ya uchumba ??! :A S embarassed:kwn kasema mke wake c alisema mchumba? Mbn mnakuwa vinabo hvyo kushupalia mambo ya watu.
.............Mbona Rose Muhando anapayuka payuka hovyo ! ...................nibebe nibebe nibembeleze nibebe ! :eyebrows:Usilitaje bure jina la bwana mungu wako! maana mungu atamchukulia ana hatia mtu alitajaye jina lake bure!
........... Jamaa shemegimtu, hajaona mshiko !! :biggrin:Wewe yanakuhusu nini haya?
!....... suna ya Ibrahim A.S !! :A S thumbs_up::cheer2::drum::msela::A S-rap::violin::dance:Duh! Sheria ni hasa. Umri wa Dr Slaa na mwanae huyo wa miezi mitano!
Kwani mumewe Josephine alipoenda mahakamani mlifikiri kenda tu bila hata chembe ya sababu?
Huyu mtoto(mjukuu)wa miezi mitano wa jamaa anaitwa nani?inafaa tumjue ili tuwe tunamuita baba fulani kumlindia heshima maana haifai kumwita jina mtu mzima kama yeye tunafanya hivyo kutokana na yeye mwenyewe kuficha sana maisha yake ya ndoa na familia yake,hata watoto wake hawajulikani kama wapo zaidi ya huyu wa miezi mitano!
Duh! Sheria ni hasa. Umri wa Dr Slaa na mwanae huyo wa miezi mitano!
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.
Mkuu hapa ni swala la kisheria wala si swala la mbeba mizigi manzese au CEO wa masaki, pia huna habari kuwa Josephine ndio amekwenda yeye mahakamani kudai talaka, au unajifanya hujui kusoma?huyu mume wa josephine akae apumzike mke wako adi aondoke kwako akaishi na mume mwingine we ni bogus.na hawa ni wakristo sasa alivyo ona anatoka na mh ndo anamdai.je angesikia ameolewa manzese na mbeba mizigo angeshitaki? au angetoa talaka haraka.mke si mali kama shamba kufungua madai kwakua ni hiari kuwa na wewe au la.
acha umbea...bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu.
Yalaaaaaaaaaaaaaa makubwa tena hayo. Kumbe kweli huyu kwa hali hii ni mke halali wa Mahimbo, kinyume na CDM walivyosema ! Dr. Slaa wanawake wako wengi kwa nn uibe mke wa mtu ? Hii yaonyesha domo lako ni bubu
Mkuu heshima yako. Una hoja lakini ungeacha matusi hoja inaweza kufika bila matusi kama neno ma........ Ni ukweli usiopingika kwamba ukiamua kuwa public figure basi kila kitu chako kinakuwa subject to public scrutiny. Ndio maana huko nyuma tulikuwa hatunywi na viongozi, wao walikuwa na club zao ili hata kama wakifanya uchafu uwe unajulikana kwa wao tu. Hivyo basi hili sakata la Josephine na Dr limefanyika publicly na public ina haki ya kuliuliza na kulijua kwa kuwa Dr. Slaa ni public figure. Mimi nikichikua mke wa mtu hakuna atakayesumbuka na mimi lakini akitokea mtu maarufu akafanya hivyo inakuwa news. Pia nikukumbushe kwamba Dr. Slaa alikuwa Padre na siyo mchungaji. Padre akishapata sakramenti ya upadrisho hawezi kupata sakrament ya ndoa vivyo hivyo mtu awaye yote akishapata sakramenti ya ndoa hawezi kipata sakramenti ya upadrisho. Hivyo basi kwa imani za kanisa katoliki Padre Slaa hawezi kuoa ndoa takatifu.Ndugu zangu Dr Slaa ni public figure.Hivyo cho chote anachofanya au anachosema anaangaliwa na jamii kama alivyo Wema,Anti,n.k.
Hivyo kwa Dr ambaye pia ni mchungaji kupora mke wa mtu hiyo ni stori kubwa.
Ukweli wa mjadala huu ni kwamba wakati akiwa Ddm kwenye moja ya shughuli za bunge aliwahi kufumaniwa na aliyekuwa mke wake au awala yake,Rose.Hivyo kuna picha inayojijenga kuwa Dr ni mzinifu au malaya..
Tukumbuke huyu ndugu ni potential candidate wa ikulu mwaka 2015.
Kama akiwa mbunge aliweza kupora mke wa mtu akiwa rais itakuwaje?
Huwa spendi neno Mwanaharamu au bastard.Jamani huyo ni Rais wa ukweli, na huyo ni mke wa ukweli, na huyo ni mtoto wa ukweli, na hiyo ni kesi ya ukweli. Ni kipi cha ajabu?
Ajabu ingekuwa kama hayo yote ni uongo.
Sheria za utumishi wa umma zinamtambua spouse kama kuna cheti cha ndoa ambacho kimesainiwa na mfungishandoa aliyeteuliwa na serikali; haitambui mchumba. Ingekuwaje kama Dr. Slaa angeingia madarakani mwaka 2010; Tanzania tungekosa First Lady au?Jamani huyo ni Rais wa ukweli, na huyo ni mke wa ukweli, na huyo ni mtoto wa ukweli, na hiyo ni kesi ya ukweli. Ni kipi cha ajabu?
Ajabu ingekuwa kama hayo yote ni uongo.
Sheria za utumishi wa umma zinamtambua spouse kama kuna cheti cha ndoa ambacho kimesainiwa na mfungishandoa aliyeteuliwa na serikali; haitambui mchumba. Ingekuwaje kama Dr. Slaa angeingia madarakani mwaka 2010; Tanzania tungekosa First Lady au?