Josephine mshumbusi sio mchumba wa slaa?

Riziwani,kwanza inakupasa kujua hakuna mwanamke anayeweza kuibiwa.
Pili pamoja na shria zote mnazoziongelea hapa,ndoa ni ya watu wawili sheria hata siku moja haitazuia ndoa kutovunjika bali itasimamia misingi na miongozo.
Nawasukuru wote ambao mnajali kujadili status of marrage ya Dr Slaa kila mtu anasitahili kumuongelea hiyo ni ishara ya kumjali na kumpenda.

Tunatambua na tunafanyia kazi muungano wetu,ni swala la mda mfupi ujao.

Mwisho tusipende kuhukumiana kwa kushuhudia uwongo, ni sisi wenyewe na Mungu wetu tunaojua undani wa maisha yetu. Na mimi kama mimi kanisa haliwezi kuzuia maamuzi yangu na ndiyo maana niliweza kupata mtoto katika nyumba yangu mpya..

Usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
padre dr slaa ajitokeze apa atujibu.nyie wengine magamba tu hamna majibu kaeni kimya.kwanza josephine hilo jina la pili ie mshmbusi ni jina la mume wake wa mwanzo aliyemtelekeza.aitwe josephine slaa sasa
 
'Home of great thinkers' hawazungumzii hoja ambazo hazina maslahi kwa jamii. huyu aliyeleta hii hoja ana chuki binafsi na slaa na jose, therefore msichangie kumuunga mkono kwani mnamsaidia kukuza ujinga wake. usilolijua ni usiku wa giza
 
Hii issue ni ngumu kueleweka kama ilivyo ngumu kueleweka "utatu mtakatifu"

Wanaishi kihuni kihuni kwakuwa tu wako aged; seriously kuna tatizo hapo
 
padre dr slaa ajitokeze apa atujibu.nyie wengine magamba tu hamna majibu kaeni kimya.kwanza josephine hilo jina la pili ie mshmbusi ni jina la mume wake wa mwanzo aliyemtelekeza.aitwe josephine slaa sasa

hoja tete,usipoteshe watu kwa utete wako Mshumbusi ni jina la baba yangu.
 
Back
Top Bottom