Josephine mshumbusi sio mchumba wa slaa?

hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha zaidi ya mwaka basi jamii itaamini wao ni mume na mke(presumption of marriage) sasa uchumba wa josephine kwa slaa uko wapi ililhali tayari ameshamtundika na mimba?

Hebu soma sheria hapa

S. 160 of the Law of Marriage Act Cap 29 (RE: 2002). (Presumption of marriage)

(1) Where it is proved that a man and woman have lived together for two years or more, in such circumstances as to have acquired the reputation of being husband and wife, there shall be a rebuttable presumption that they were duly married.

(2) When a man and a woman have lived together in circumstances which give rise to a presumption provided for in subsection (1) and such presumption is rebutted in any court of competent jurisdiction, the woman shall be entitled to apply for maintenance for herself and for every child of the union on satisfying the court that she and the man did in fact live together as husband and wife for two years or more, and the court shall have jurisdiction to make an order or orders for maintenance and, upon application made therefor either by the woman or the man, to grant such other reliefs, including custody of children, as it has jurisdiction under this Act to make or grant upon or subsequent to the making of an order for the dissolution of a marriage or an order for separation, as the court may think fit, and the provisions of this Act which regulate and apply to proceedings for, and orders of, maintenance and other reliefs shall, in so far as they may be applicable, regulate and apply to proceedings for and orders of maintenance and other reliefs under this section.
 
I don't like people who say something and make attribution without re-consulting the document they cite. What I know and skimmed the law just now it is not 1 year; it is 2 years or more.
 
Hii nimeipenda sana, itatusaidia wengi, ngoja niifanyie kazi.
 
Kasome sheria vizuri.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hakuna kitu kama ulichokiandika hapo juu.

nina copy ya marriage act kuna hicho kipengele Presumption of marriage....watu wanao cohabit kwa muda wa zaidi ya mwaka ni mke na mume ndivyo sheria inavyosema....
 
Kama issue ni kufuatiliana mambo binafsi basi ngoja nikuulize,Mzee leo kashughulika? Au anakoroma tu.Mie kabla ya swala swalaa nlikuwa nshampa wifi ako stahili yake.

Kudadadeki umetoka selo nahisi umemhonga bwana jela

Karibu sana
 
I don't like people who say something and make attribution without re-consulting the document they cite. What I know and skimmed the law just now it is not 1 year; it is 2 years or more.

we ***** more than a year maana yake nini?
 
hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha zaidi ya mwaka basi jamii itaamini wao ni mume na mke(presumption of marriage) sasa uchumba wa josephine kwa slaa uko wapi ililhali tayari ameshamtundika na mimba?
Sasa wewe unatakaje mzee maana naona kama unataka kutubp mkuu,sisi wengine Dr Slaa tunamheshimu sana so thread yako inanipa wasiwasi unataka tuchangie nini
 
Uongo ukisemwa sana mwishowe huonekana ni ukweli!

Na kanisa Katoliki Jee linasemaje?

Faiza bana! Huwa unatumwa au unajituma? ASa si uanzishe yako uipe kichwa cha habari Kanisa Katoliki linasemaje kuhusu Josephine na Slaa? Yaani popote uonapo mwanya ni kupenyeza tu umagamba wako na udini wako?? Wachekesha kweeeeli kweli.
 
Nafikiri hili ni jambo la mtazamo zaidi!tukienda kwenye sheria zetu za ndoa na hasa ile ya serikali huyu ni mke wake halali!!
 
Du huyu si ex padri iwaje anazaa bila ndoa ama kweli inanishangaza kwanza amevunja amri za mungu nyingi tu hafai kuwa presida wetu
Wewe ni bonge la Zoba mdwanzi wewe,usiseme hatufai SEMA hanifai so ucpende ku generalize mambo
 
Uongo ukisemwa sana mwishowe huonekana ni ukweli!

Na kanisa Katoliki Jee linasemaje?

Kwahiyo Kanisa katoliki lina kibarua kigumu kama kila jambo binafsi la mtu lazima litoe tamko. Kwa mfano Faiza-fox ukiwekwa unyumba kuna haja yeyote kwa kanisa katoliki kutoa tamko. Mbona unaliandama sana kanisa?
 
Du huyu si ex padri iwaje anazaa bila ndoa ama kweli inanishangaza kwanza amevunja amri za mungu nyingi tu hafai kuwa presida wetu

Wewe unaweze kuwa na ujasiri ya kutuambia wewe umevunja mara ngapi amri za MUNGU na hasa amri ya SITA???. Toa kwanza BORITI kwenye jicho lako ndipo utoe KIBANZI kwenye jicho la mwenzako.
 
Josephine ni mama wa shoka, nimekuwa nae hapa Msibani kwakweli amekuwa mfano wa wake wengine wa viongozi kwenye shughuli kama hizi. Natamani na mke wangu aige mfano wako mama Josephine Mushumbusi
 
Back
Top Bottom