Josephine mshumbusi sio mchumba wa slaa?

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha zaidi ya mwaka basi jamii itaamini wao ni mume na mke(presumption of marriage) sasa uchumba wa josephine kwa slaa uko wapi ililhali tayari ameshamtundika na mimba?
 
una maana gani?wewe nani anafuatilia mambo yako binafsi?nikisema wewe una mawazo ya kimagamba ntakua nakosea?usirudie tena kuogelea mapenzi ya wawili wapendanao.sawa?mia.
 
Jali na fikiria familia yako itakula nini.
Ya Ngoswe...
 
hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha zaidi ya mwaka basi jamii itaamini wao ni mume na mke(presumption of marriage) sasa uchumba wa josephine kwa slaa uko wapi ililhali tayari ameshamtundika na mimba?

Uongo ukisemwa sana mwishowe huonekana ni ukweli!

Na kanisa Katoliki Jee linasemaje?
 
Uongo ukisemwa sana mwishowe huonekana ni ukweli! Na kanisa Katoliki Jee linasemaje?
Kama issue ni kufuatiliana mambo binafsi basi ngoja nikuulize,Mzee leo kashughulika? Au anakoroma tu.Mie kabla ya swala swalaa nlikuwa nshampa wifi ako stahili yake.
 
Kupora mke wa mtu ni mambo binafsi? Ngoja na wewe ipo siku yatakukuta mume wako atakuacha peke yako na watoto then anaenda kwa mwanamke mwingine!
 
Hebu tuacheni kuwa mahakimu na majaji wa maisha ya watu.Wale wanaohukumu utadhani wao ni malaika!
 
Du huyu si ex padri iwaje anazaa bila ndoa ama kweli inanishangaza kwanza amevunja amri za mungu nyingi tu hafai kuwa presida wetu
 
hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha zaidi ya mwaka basi jamii itaamini wao ni mume na mke(presumption of marriage) sasa uchumba wa josephine kwa slaa uko wapi ililhali tayari ameshamtundika na mimba?

Kasome sheria vizuri.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hakuna kitu kama ulichokiandika hapo juu.
 
Hivi mtu anapoamka asubuhi na thread kama hiii, What does it mean.

Ina maana amelala huku jambo hili likiwa kichwani akisuburi asubuhi ifike alilete hapa jamvini.

This just show your personality.
 
Hivi kwa nini kila kitu kikiandikwa au kusemwa kuhusu CDM au Dr. Slaa ambacho hakifurahishi macho na masikio, wana JF kauli chafu zinawatoka bila staha?!!!!!!
 
UKWELI UNAUMA. Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu ............
 
hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha zaidi ya mwaka basi jamii itaamini wao ni mume na mke(presumption of marriage) sasa uchumba wa josephine kwa slaa uko wapi ililhali tayari ameshamtundika na mimba?
Umesoma au umesikia?
 
Hivi kwa nini hatuna umeme?
 
Hivi mtu anapoamka asubuhi na thread kama hiii, What does it mean.

Ina maana amelala huku jambo hili likiwa kichwani akisuburi asubuhi ifike alilete hapa jamvini.

This just show your personality.

kanyimwa asubuhi huyo -- kaamuka na mihasira yake kutuletea sisi. ha ha ha
 
Back
Top Bottom