Josephine Mshumbusi ajifungua

Hongera Slaa na Josephine kwa kuongeza peoples power
kitu cha kwanza kafundisheni kukunja ngumi kaanze kuzoea salamu ya peoplessssss power.
 
Ikiwa ni mtoto wa 1 kwa umri huu alionao na huyu mama inasemekana bado ni mke wa mtu, nadhani kitengo cha dna inabidi kituhakikishie.
Wenzako bado wana nguvu wewe lia na baba yako kwa kumaliza nguvu zake kwa machangu wakati wa ujana wake.
 
Hivi Slaa hiyo ni mtoto wake wa ngapi? Mimi namjua binti yake mmoja mkubwa Slaa mwenyewe alisema wakati mbunge. Watu walimuwekea kifaa cha kunasa sauti hotelini alikuwa anaongea na binti yake!
Siku ya ubarikiwe takapelekea kajomba ketu zawadi ya kombati lazima katakuwa kakamanda ka Bavicha siku za baadae
 
Yule jamaa mwenye mke wake halali akisikia hii habari roho itamuuma sana! Mungu ampe nguvu awe na moyo wa uvumilivu na mungu atamlipia hapa hapa duniani!
 
Aaah, nilikuwa napita tu, naona sina ninaemfahamu kabisa pande hii wala sielewi lugha yenu. Kwa herini.... :A S 103:
 
Sijui kwanini waliamua kuzaa, anyway ni mambo yao binafsi.
Hongereni wazazi wapya.
Mumlee mtoto vizuri siyo kila siku majukwaani mnamuacha na yaya. Dr Slaa tunataka kukuona ukimpeleka Marry brown unambembeza, na vi-joint vyote vya michezo ya watoto, ucheze naye kidalipo, kalale nacho, a-ring-a-ring-of-roses, etc. Kwasasa kila wakati umsindikize mama akimpeleka clinic kupata chanjo. Uzazi ndiyo huo, na ubaba ndiyo huo siyo kubebesha mimba tu, halafu unaachia mtoto jamii. Uonyeshe BAVICHA mfano na wana CHADEMA wote!
 
Hongera sana Mungu awawezeshe kumlea mwananu katika maadiri ya kumpendeza yeye
 
binafsi natoa pole kwani mmezaa mjukuu. Je, hao mlio nao hawakuwatosha hadi mjizalie wajukuu. Poleni karibuni kliniki mkafunge uzazi ili mlitumikie taifa.
jaribu kuwa na heshima kidogo katika maswala kama haya.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom