Josephine Mshumbusi ajifungua

Hongera first lady Pamoja na Slaa junior Mungu akubariki ukue na wazazi wako pamoja na jamii ikulelee vyema katika maadili yanayotakiwi ili baadae uje kuwa mzalendo kama au zaidi ya Mzee wako nakuwapigania pamoja na kuwatetea Walala hoi na wanyonge waliogeuzwa manamba katika Nchi yao kwakusalitiwa na huu uongozi wa wa ccm.
 
Binafsi natoa pole kwani mmezaa mjukuu. Je, hao mlio nao hawakuwatosha hadi mjizalie wajukuu. poleni karibuni kliniki mkafunge uzazi ili mlitumikie taifa.
 
Hongera sn dr wa ukweli,pamoja na our first lady Mungu awasaidia mumtunze vzur mtoto mtoto, aje awe kichwa km baba yake.
 
Hongera kwa kuleta kiumbe duniani, hivi huyu ni mtoto wa ngapi wa Dr. Slaa? naskia ana mabinti wakubwa tu. Ningependa niwe wa kwanza kupendekeza jina amuite Rizitwo
 
Hii habari ilikuwa hapa week kama tatu zilizopita ina maana kajifungua tena ama wakati ule walikuwa wan atania??!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Binafsi natoa pole kwani mmezaa mjukuu. Je, hao mlio nao hawakuwatosha hadi mjizalie wajukuu. poleni karibuni kliniki mkafunge uzazi ili mlitumikie taifa.
Kweli mkuu..hapa huyu mheshimiwa anajidhalilisha
 
Hongera kwa kuleta kiumbe duniani, hivi huyu ni mtoto wa ngapi wa Dr. Slaa? naskia ana mabinti wakubwa tu. Ningependa niwe wa kwanza kupendekeza jina amuite Rizitwo

Hilo jina halifai kabisa, atamuambukiza uzembe, ufisadi na safari nyingi zisizo na tija kwa familia na taifa lake.
 
Ivi kwa nini wanaume wasingekuwa na ukomo wa kuwapa watu mimba kama wanawake walivyokuwa na ukomo
Maana kwa umri ule Slaa huyo mtoto atamwita mjukuu au mwanae?ni mtazamo tuu ila hongereni
 
walizusha last week kuwa kazaa, ila leo hata mimi kuna dereva wa pale makao makuu ya cdm ameniambia hii news leo, mzee slaa bwana alikosa vitu hivi miaka yote ya ujana wake alipokimbia utawa tu akakutana na dunia akadata ona anavyokula raha za dunia sasa.
 
Back
Top Bottom