Josephine:"JF Female Politician Of The Year 2011"

Du. JF ishaanza kuwa sehemu ya vituko na ndio mzee. Huyu mama anasifa zipi za kupata tuzo hiyo. Wakisema ni kijiwe cha CHADEMA mtakataa? Kwa lipi, kwa posti zipi? Kuna wanawake humu ndani walikuwa wanastahili sana. Bora hata FF.

Kweli Watanzania tunafanana kwa kila kitu na itachukua muda sana kupiga hatua. WOTE NI NDIO MZEE
 
Hongera. Josephine, kwa kuchaguliwa humu "JF kuwa Mwanamke Mwanasiasa Bora Wa Mwaka 2011"
Michango yako na fikra sahihi kwa Taifa letu ndio iliyokuwezesha kupata tunzo hili la heshima kubwa.
Kwa yote hayo napenda kusema ahsante, kwa ujasiri mkubwa uliokuwa nao.
 
Back
Top Bottom