Josephine:"JF Female Politician Of The Year 2011"

Haha,umetumwa unitafutie BAN nini?
am too old to be fooled.
Anzisha thread tu hapa utamjua.
Aaaah, mbona unanidhania Mkuu?
Mi nimeingia thread nakuta unalalamika...
Nambie basi hata kwa ishara, bila kumtaja... hahahaha
 
kama unataka uwe wewe m pm supamen anaweza kubatilisha huu ushindi..kwanza huyu mshindi mwenyewe unaweza kukuta hana hata shida na huu ushindi wenyewe au hata hajui kuwa kuna jambo kama hili..i dont understand why u waste ya energy kulalamika. basi uwekwe wewe badala ya josephine?

N/A :crazy:
 
What is name calling bana usinitishe.
kutaja Josephine ni name calling?
Yes,umetaja watu mara ngapi humu?

Yaani kutaja wewe sawa,kutaja mimi "name calling" na adhabu yake inajulikana?
Okey,waambie waitoe.

Ndugu yangu wenzako weekend hii wako na some of moderators wanakula bata pamoja wana haki ya kufanya lolote hapa jamvini, kama mngereview kilichosababisha mimi nipewe ban ambayo kwa mara ya kwanza nimethubutu kuapeal na kuipinga kwa nguvu zangu zote ni huyu SuperMan na kamwe naahidi siwezi kuwa na nidhamu ya woga ndani ya jukwaa hili.
 
Mchakato wa Kumtafuta
JF Politician Of The Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF.
Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao ili kupata historia:

1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/230046-jf-m-and-f-politician-of-the-year-2011-competition.html
2. Upigaji Kura:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/231099-jf-female-politician-of-the-year-2011-a-2.html

Tume ya Uchaguzi ya Jamiiforums JEC baada ya kupitia mchakato mzima wa uteuzi wa wagombea na upigaji wa kura imeridhika kwa kauli moja kuwa Uchaguzi ulikuwa
HURU NA WA HAKI na hivyo inatangaza kuwa:

Josephine ni: JF Female Politician Of The Year - 2011 - (FP)

Kwa kuwa mhusika ametangazwa mshindi inampasa kuwa na maadili mema kipindi chote atakachokuwa amebeba title hii. Tume haitasita kumnyang'anya ushindi atakapokwenda kinyume na maadili ya JF na Tume.

Sambamba na hilo Members wa JF wanaopenda wanaruhusiwa kumwita kwa jina lake la heshima yaani:
FP-Josephine.

Pia sambamba na hilo zawadi ya TZS 50,000 itatolewa kwa mshindi wetu huyu.

Kwa niaba ya wana JF wote tume inapenda Kumpongeza kwa dhati kwa ushindi alioupata.

Wote Mnakaribisha Kumpongeza
FP Josephine kwa Ushindi alioupata.

Wasalaam

Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC

images

Hongera sana mshindi
 
Ndugu yangu wenzako weekend hii wako na some of moderators wanakula bata pamoja wana haki ya kufanya lolote hapa jamvini, kama mngereview kilichosababisha mimi nipewe ban ambayo kwa mara ya kwanza nimethubutu kuapeal na kuipinga kwa nguvu zangu zote ni huyu SuperMan na kamwe naahidi siwezi kuwa na nidhamu ya woga ndani ya jukwaa hili.

Hanitishi na uMOD wake bana.
For me,to be at JF is a wonderful experience,...but to be BANNED is a gain.
 
Superman wewe ni mnafiki sana,umekuwa uki-preach kwamba name calling ni against
JF rules,hadi uka ni-report kwa moderators (or wewe mwenyewe ni moderator)
lakini still alicho andika Ivuga ume-like kuonesha akili yako ilivo.

You can fool watu kwamba uko smart,you're not.

attachment.php

View attachment 48959

Wakati nimepewa ban sambamba na Afrodenzi ni Superman huyu huyu ambaye alikuwa anaamasisha wafuasi wake waombe Afrodenzi afutiwe ban kwamba Moderators wamemuonea na Matola ndiye mkosefu!! haya ni mambo ya ajabu sana. sikuwahi kujuwa kwamba kuna Alliance ya watu hapa jamvini.
 
wakati nimepewa ban sambamba na afrodenzi ni superman huyu huyu ambaye alikuwa anaamasisha wafuasi wake waombe afrodenzi afutiwe ban kwamba moderators wamemuonea na matola ndiye mkosefu!! Haya ni mambo ya ajabu sana. Sikuwahi kujuwa kwamba kuna alliance ya watu hapa jamvini.
kwa hiyo matola unafikiri na mimi nina alliance na watu humu jamvini? Manake umequote post inayonihusu.
 
Hanitishi na uMOD wake bana.
For me,to be at JF is a wonderful experience,...but to be BANNED is a gain.
Kwa hasira za uonevu unaoendelea hapa JF ningependa nitamke wazi hakuna mtu mwenye uwezo wa kuniban nisitumie Internet au nisijumuike JF, bali watakachoweza ni kuban ID yangu tu na si vinginevyo, nina IP adress 10 ambazo ninaweza kuingia hapa kivingine kadri nitakavyo lakini hilo sio lengo letu JF, kwahiyo hapa tusitishanetishane na mambo ya ban huu ni utoto.

user-online.png
Matola

3rd March 2012 20:36
#838
JF Premium Member Array

Join Date : 18th October 2010
Posts : 4,471
Rep Power : 1171

[h=2]
icon1.png
Re: JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition[/h]
quote_icon.png
By Superman
Maoni kama hayo na mengine mengi yanayofanana na hayo yameshatolewa. Hebu niambie Majukwaa yote unaiweka wapi?

Angalia tojka 2009 shindano lilipoanza Mods wanavyohangaika kulihamisha.

Take it easy: Ni rahisi kusema kuliko kutenda. Kama unaona rahisi you can try. I dont have a copy right!

Ok if that is a case kwa nini thread hii ukuianzisha Jukwaa la siasa? kama huna uwezo wa kuendesha kitu kikakidhi vigenzo then why u should force? its realy shame kwa mtandao wenye zaidi ya memba 64,600 mtu awe nominated kwa kura 2!! u must be joking.

Ushauri: ningependekeza liitwe shindano la The JF MMU The man of the year 2011. maana nominated members wa category zote ni MMU based members na ndio maana hata thread umeipost huku.
Binafsi najitahidi sana kupita majukwaa tofati ndio maana nimegunduwa kiurahisi sana udhaifu wa shindano hili na kama litahusisha kweli majukwaa yote ndio utawajuwa wale realy vichwa vinavyomwaga material ya ukweli hapa.
 
kwa hiyo matola unafikiri na mimi nina alliance na watu humu jamvini? Manake umequote post inayonihusu.
Sijawahi kuwa na tatizo na wewe, zaidi ya mchuchu wako Afrodenzi siku ile kunichokoza yeye mwenyewe kwa makusudi, ili hali akijuwa kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake JF na ni SuperMan ndio alidhani ananikomowa mimi lakini Nashukuru Mods waliona sisi wote wawili tupigwe ban. thats it!
 
Huu mfano wako unaingia wapi katika malalamiko ya Speaker?
Yeye anasema Josephine ana alliance na watu fulani ambao walimshindisha.
Sasa hizo alliances umeongelea ni zipi kama mlipigwa ban wote?
Mi nilidhani unaleta hii case kuwa-expose mods walivo kuonea.
 
U better go to sleep is mid night now, huelewi msingi wa malalamiko yangu na wala huitaji Degree kujuwa kwamba Josephine hana sifa ya kubeba taji hilo regardless tunampenda na kumkubali Dr Slaa kama Rais wangu.
 
hapa guys hamjaelewa kitu kimoja .katika kusuggest majina watu wenyewe ndio walimsuggest JOSEPHINE na hata kuna wengine walimleta FF ..sasa nyie wengine sijui mlikuwa wapi wakati wa kusuggest..ndio maana mnaambiwa kuwa kupiga kura ni jambo la muhimu sana na ni haki yako kwani usipopiga kura watu wataenda kumchagua mtu ambaye humpendi.
sioni haja ya ku komplain hapa guys.just lets take our own ways kwani hatukupendekeza majina wenyewe na tuliacha watu wakapendekeza an kutuchagulia, so who to blame? mwenyekiti wa tume ya uchaguzi?angefanya nini?
 
Sijawahi kuwa na tatizo na wewe, zaidi ya mchuchu wako Afrodenzi siku ile kunichokoza yeye mwenyewe kwa makusudi, ili hali akijuwa kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake JF na ni SuperMan ndio alidhani ananikomowa mimi lakini Nashukuru Mods waliona sisi wote wawili tupigwe ban. thats it!
dah!! basi yule mtoto alivyopigwa ban huku ndio alipotea kabisa nilimtafuta sana kila sehemu.ungempotezea tu manake ile ban sio kwamba iliwaumize nyie tu hadi sie huku
 
U better go to sleep is mid night now, huelewi msingi wa malalamiko yangu na wala huitaji Degree kujuwa kwamba Josephine hana sifa ya kubeba taji hilo regardless tunampenda na kumkubali Dr Slaa kama Rais wangu.
Wewe uko wapi ambapo ni midnight?
Hapa Tanga ni saa tisa na nusu... :)
 
josephine ni nani..?:sleepy: samahani kwa kuuliza , wadau tunaoshinda sports kule tupo nyuma kidogo.. seems ni mdada maarufu humu JF
Wakuu hapa hakuna name calling. Nikiangalia picha za kinigeria huwa naokota maneno kadhaa ya malkia; name calling ni kumtukana mtu lakini unapotaja jina la halisi la mtu si tusi.
Kwa hili la Josephine ni kwamba kuna thread moja iliwahi kutolewa hapa juu ya Dr. Slaa na Mchumba wake kuitwa mahakamani; katika uchangiaji wake Josephine alionyesha wazi kuwa ndiye Josephine mama Dr. Sijui kama hii yangu nayo ni name calling?
 
Back
Top Bottom