Josephine akanusha madai ya Mbunge

Status
Not open for further replies.
josephine ,mchumba wa dr wa ukweli,usitishwe na Engineer manyanya huyu ni mweupe. Endelea kutoa challenge kwa wabunge ambao hawawajibiki katika kuwatumikia wananchi
Mbona mnakuwa waoga, mpeni moyo amwandikie na mama Salma, ili kieleweke.
Yeye si Fasti Ledi kivuli?
 
daktari wa wakatoliki bora tu angebaki na mke wake wa ujana. yule mama ametulia pamoja na kuibiwa mume. si huyu shangingi la mitaani anayejua namna ya kukamua wanaume wapenda chini.

Posho ya slaa ya milioni 7.5 huyu mama anaitafuna ikiisha atapata buzi lingine la kulikamua.
.jenifa hii ni kashfa tosha ,huyu sio dr wa wakatoliki na ufute kauli hii. Dr slaa ni daktari wa watanzania wote wanaoitakia mema tanzania
 
faiza foxy ,unasema josephine anamakosa ,wewe unaupeo kiasi gani katika sheria acha chuki ya kike
 
Mbona mnakuwa waoga, mpeni moyo amwandikie na mama Salma, ili kieleweke.
Yeye si Fasti Ledi kivuli?
kale chakula cha mchana huna hoja. what is mama salma kama ni message ataandikiwa tu na josephine ,mchumba wa dr wa ukweli wilbroad slaa
 
.jenifa hii ni kashfa tosha ,huyu sio dr wa wakatoliki na ufute kauli hii. Dr slaa ni daktari wa watanzania wote wanaoitakia mema tanzania

Naona wewe ndio unakosea hapa, Slaa ana udaktari wa kanoni, waijuwa kanoni ni nini? kama waijuwa basi yeye ni daktari wa huko, unless kama wa Tanzania wote tumeshabatizwa na kuwa wafata kanoni bila wenyewe kujijua. Naomba fafanua.
 
sasa hapa Engineer manyanya ndiyo amemdhalilisha mchumba wa ukweli wa dr willbroad slaa ,kwa kulidanganya ubunge kuwa katukanwa wakati sio kweli. tunafuatilia statement ya text msg uliyoandikiwan josephine na ukweki utakuwa wazi. ila Engineer manyanya unashangaza unapewa muda ndani ya bunge ili uchangia mambo yanayohusu wananchi wa mkoa unaotoka na wewe unachangia umbeya shame to you.
 
Naona wewe ndio unakosea hapa, Slaa ana udaktari wa kanoni, waijuwa kanoni ni nini? kama waijuwa basi yeye ni daktari wa huko, unless kama wa Tanzania wote tumeshabatizwa na kuwa wafata kanoni bila wenyewe kujijua. Naomba fafanua.
.faiza ,naona mwishowe utaishia kwenye kufuru ,kitu ambacho hata dini yako imekuonya usikufuru.naona huelewi canon na ishia hapo hapo. watu kama nyie mmejaa wivu tu ,udaktari wa dr slaa ni dr unaotambuliwa duniani, usichanganye imani ya mtu na kisomo chake ,naomba uelewe elimu aliyosoma sio ya dini katoliki tu. mwisho unaonekana wewe ni mdini sana .hapa jf tunaongelea mambo ya kisiasa,kiuchumi na mengineyo
 
Labda wewe huelewi kuwa hata hilo neno canon limetokana na kiarabu Kanun au kiswahili kanuni. Kanuni za nini? endelea:

Canon law is the body of laws and regulations made or adopted by ecclesiastical authority, for the government of the Christian organization and its members. It is the internal ecclesiastical law governing the Catholic Church (both Latin Rite and Eastern Catholic Churches), the Eastern and Oriental Orthodox churches, and the Anglican Communion of churches.[SUP][1][/SUP] The way that such church law is legislated, interpreted and at times adjudicated varies widely among these three bodies of churches. In all three traditions, a canon was initially a rule adopted by a council; these canons formed the foundation of canon law.

Canon law - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Huyo jamaa anabisha kitu asichokijua.........

Ukisoma katikati ya msitari(maneno yake) utagundua ni mtu wa aina gani................So usipoteze muda wako wa thamani kubishana na mtu asiyetaka kujifunza..........

Bala.
 
Huyu stella manyanya ni mtu asyekuwa na fikra,watu waliopo pale seminary Peramiho wanamfahamu sana kwa matukio yake ya ajabu,sijui Taifa tunalipereka wapi kuwa na viongozi wabovu kama hawa.
 
Mtimbaru,

Usihangaike naye/wao. Waache wapoteze muda wao sisi tunakata mbuga vijijini. Uzuri Watanzania wa vijijini wanatuelewa sana, pengine kuliko hata wa mijini. Kero kubwa ziko vijijini na kwa muda mrefu sana wamedanganywa. Hao wenye kutaka ku divert attention yetu kutoka kwenye "real and pertinent issues" waache tu usiaamshe.

Ukatoliki na uislamu is not an issue kwa mtanzania ambaye hana uhakika wa mlo wa siku, ambaye hana umeme, bei ya mkaa haishikiki, na bado "serikali yake" inapandisha bei ya masfuta ya taa toka shs 50 kwenda 400. Hawa wanatelewa sana, na tuko kwa ajili yao. Wenye muda wa kluchezea waacheni wauchezee wataujutia.

.jenifa hii ni kashfa tosha ,huyu sio dr wa wakatoliki na ufute kauli hii. Dr slaa ni daktari wa watanzania wote wanaoitakia mema tanzania
 
Mtimbaru,

Usihangaike naye/wao. Waache wapoteze muda wao sisi tunakata mbuga vijijini. Uzuri Watanzania wa vijijini wanatuelewa sana, pengine kuliko hata wa mijini. Kero kubwa ziko vijijini na kwa muda mrefu sana wamedanganywa. Hao wenye kutaka ku divert attention yetu kutoka kwenye "real and pertinent issues" waache tu usiaamshe.

Ukatoliki na uislamu is not an issue kwa mtanzania ambaye hana uhakika wa mlo wa siku, ambaye hana umeme, bei ya mkaa haishikiki, na bado "serikali yake" inapandisha bei ya masfuta ya taa toka shs 50 kwenda 400. Hawa wanatelewa sana, na tuko kwa ajili yao. Wenye muda wa kluchezea waacheni wauchezee wataujutia.
Slaa, mada kwenye hii nyuzi ni Josephine na kukanusha kwake kutumia watu sms, wewe unatuletea bei ya mafuta ya taa, unanini weyee?

Kama unaongelea bei ya mafuta ya Taa, kupanda bei, sababu unazijuwa vizuri sana na zimeelezwa bungeni, ili kunusuru kero ya mafuta mengine kuchakachuliwa imebidi mafuta ya ongezwe bei, na kuna Mbunge wa cdm akashauri kuwa hiyo kodi iliyoongezwa iende vijijni kusaidia hao wataoathirika kwa kupanda bei, na waziri akasema kasikia na watazingatia hilo.

Unataka kuchakuwa hata hii ya Josephine kwa kuingiza habari za mafuta ya taa? Unanshangaza!

Halafu, kwani wewe sio Daktari wa kanoni? au kanuni au kanun? kama zilivyoelezwa hapo Juu, huo udaktari wa waTanzania wote umeutoa wapi? au wa Tanzania tunaongozwa na kanoni bila wenyewe kujijuwa?
 
Toba!!
 
FaizaFoxy wewe kazi yako ni kutuma post kwenye JF, je una shuguli nyingine? unalipwa kwa kutuma post? umejiunga na JF 9th May 2011, mpaka leo ni siku 55, kwa wastani wewe unatuma post 31 kila siku tangia umejiunga/unatuma post moja kila baada ya saa moja kwa siku. Nenda kajenge maisha yako na taifa wacha hii tabia ya kushinda kwenye JF

Halafu hapa ndio josephine kalikoroga kabisaa, naona kiswahili kinampiga chenga, hii ni contradiction ya hali ya juu: "aongelee uhalisia na nadharia",

halisi adjective
1 exact, accurate, definite, precise, literal
2 genuine, true, positive

nadharia , pl nadharia { English: theory }
 
FaizaFoxy wewe kazi yako ni kutuma post kwenye JF, je una shuguli nyingine? unalipwa kwa kutuma post? umejiunga na JF 9th May 2011, mpaka leo ni siku 55, kwa wastani wewe unatuma post 31 kila siku tangia umejiunga/unatuma post moja kila baada ya saa moja kwa siku. Nenda kajenge maisha yako na taifa wacha hii tabia ya kushinda kwenye JF

Hili swali nilishalijibu zamani sana,tafuta kwenye nyuzi humu JF utalikuta.

Achana na FaizaFoxy, jibu hoja za FaizaFoxy, kwa kifupi mimi ni addict au teja la JF. Unalo?
 
faiza foxy unaweza kujenga hoja na naamini hivyo sasa mipasho ya nini? Wewe ni mvurugaji wa hoja,nenda kule michuzi blog na face book sisi tuijadili tanzania alaa!
 
first lady kumbe ni kimeo anapelekea wapinzani wake mipasho.mwambieni huyu mwanamke aache kufungua mdomo wake kuficha upumbavu wake.baba daktari wa wakatoliki una kazi na huyu mke wa kuiba.
Kumbe kumwambia mbunge azungumzie matatizo badala ya ushabiki wa kisiasa ni mipasho?? Kumbe Jenifa nawe ni gamba?! Kazi kweli kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom