Joseph Selesani achangia kwa mara ya kwanza bungeni baada ya ajali

Nimemsikia sana!
Wanaodhani na kusambaza uvumi huo ni yale masalia yaliyokosa kura za kutosha kwenye kura za maoni 2010. Selasini ataendelea kuwa Chadema na mimi bado nina Imani naye.
Kwa mfano ile kutangulia kumshukuru Katibu Mkuu wa CCM badala ya Katibu Mkuu wa CHADEMA imekupa picha gani?
 
Dah.. Bwn kwangu mimi Shukrani ni shukrani tu!
Iwe imewahi au imechelewa! Kwanza shukrani si lazima. Chadema tuna vitu vingi vya kufanya hayo ya Shukrani yasitupotezee muda!.. Si picha tu hata haijanipa Camera.
 
Nilichogundua ni kwamba baadhi ya wanachama wa Chadema tumejengewa dhana potofu sana kuhusu Mhe.Selasini kwa hiyo kila atakachoongea kitajaribu kubetuliwa ilimradi aonekane wanavyotana waliotujengea hiyo dhana! Tuwe makini na hili kwangu mimi sioni baya alilolifanya mhe.selasini.

Niambie tafadhali, selasini anamaana katika waliompigia simu kumpa pole, simu ya kikwete imekuwa na uspesho gani?
 
Dah.. Bwn kwangu mimi Shukrani ni shukrani tu!
Iwe imewahi au imechelewa! Kwanza shukrani si lazima. Chadema tuna vitu vingi vya kufanya hayo ya Shukrani yasitupotezee muda!.. Si picha tu hata haijanipa Camera.
Siielewi elimu ya Mh Selasini. Lakini pia ajali ile imemvuruga sana. Ingekuwa ni nchi za wenzetu angetangaza kupumzika tu kama alivyofanya yule mama mbunge kule Marekani. Badala yake nimemsikia akisema ubunge sio kubeba zege hivyo ataendelea tu akimnukuu Joshua Nasari! SIASA kwa NCHI yetu ni AJIRA na UWEKEZAJI mkubwa.
 
Niambie tafadhali, selasini anamaana katika waliompigia simu kumpa pole, simu ya kikwete imekuwa na uspesho gani?

Wewe ukiugua Rais anaweza kukupigia simu?
Hata kama ni kweli kuwa Rais hatumkubali na binafsi yangu simpendi (Hata yeye anajua) kwa hiyo siwezi kuona ajabu akinipigia simu. Lakini alichofanya Mhe.Selasini ni kushukuru wote bila kubagua.

Si jambo la kutufanya tuache mambo mengine ya msingi na kufuatilia 'Salamu toka magogoni'
 
Siielewi elimu ya Mh Selasini. Lakini pia ajali ile imemvuruga sana. Ingekuwa ni nchi za wenzetu angetangaza kupumzika tu kama alivyofanya yule mama mbunge kule Marekani. Badala yake nimemsikia akisema ubunge sio kubeba zege hivyo ataendelea tu akimnukuu Joshua Nasari! SIASA kwa NCHI yetu ni AJIRA na UWEKEZAJI mkubwa.

No research,
No right to Write!

Kama hata elimu yake huijui unakazana kusema kuwa 'Angepumzika'!
Hata hivyo masalia ya kura za maoni ndani ya Chadema 2010 yasitufanye tukaanza kuzushiana na kubezana kama CCM! Itakuwa aibu kubwa sana hata kwa wewe mwenyewe!.
 
Angetangaza kupumzika tu. Ajali ilikuwa mbaya kwake na kwa watu wake wa karibu. Selasini yule wa kabla ya ajali hawezi kuwa huyu niliemwona na kumsikiliza leo. Kwa wanaSIASA wetu hili haliwezekani. Si unamwona Prof Mark Mwandosya bado ni waziri wa nchi na mbunge?
 
Kinachokusumbua kinajulikana wala usiwe na wasiwasi..
Kaa pembeni uone kazi zinavyofanywa.
 
Haya bwana. Lakini tusaidiane kubadili mindset za WATANZANIA siasa isiwe AJIRA wala UWEKEZAJI wa nguvu. Tutauana huko mbele tunakoenda kama bado hatujaanza! WaTanzania tuko wengi mno sasa wa kufanyakazi hizo anazotakiwa kufanya Mh Selasini. Alitakiwa ampende zaidi mkewe ambaye ana hali mbaya kuliko kukimbilia Bungeni kuja kusaini posho na kutoa shukrani kwa akina Kikwete, Mukama, Mwanri, Pinda,...
 
Wewe ukiugua Rais anaweza kukupigia simu?
Hata kama ni kweli kuwa Rais hatumkubali na binafsi yangu simpendi (Hata yeye anajua) kwa hiyo siwezi kuona ajabu akinipigia simu. Lakini alichofanya Mhe.Selasini ni kushukuru wote bila kubagua.

Si jambo la kutufanya tuache mambo mengine ya msingi na kufuatilia 'Salamu toka magogoni'

Ambacho naweza kukuunga mkono ni hilo la mwisho ingawa kwa muono tofauti kidogo, tusipafanye ikulu kuwa ni pa ajabu kiasi kwamba hata ukipogiwa simu toka ikulu inakuwa ishu. Tunajidhalilisha, tunaipotosha jamii kwa kuipandikizia fikra za kuunga unga kwa super gluu.
 
Im still having a trust to my Mp........ts the fact of being cooperative to him but not to scold him with baseless accusations of greetings.......he is doing his level best in his constituency bse i was in there for feasibility study....... Keep on working Selasini!
 
Binafsi nimeanza kuona kwa mbali dhamira na chuki binafsi zikipandikizwa juu ya Mhe.Joseph Selasini. mKwa kusema Ahsante kwa njia ya simu na kusema ahsante (Live on TV) kuna tofauti kubwa sana..

Wakati huo huo mkumbuke kuwa Mwigulu Nchemba alisema kuwa Chadema tulimtupa Mhe.Selasini baada ya ajali...

Leo ametuma ujumbe kwa Mwigulu na Taifa kwa ujumla kuwa hakutupwa baada ya kuwashukuru!..

Acha siasa uharo wewe, nani aliyekwambia kuwa nina chuki na Selasini? Mimi ni mwana-CHADEMA na mwanachama wa CHADEMA, ila kwa hili kachemka. Bungeni sio mahala pa kupeana shukrani na salamu kama kipindi cha salamu, yeye katumia zaidi ya dk 5 kuwapa shukrani na kupoteza muda bure. Kwani alishindwa kuwatafuta muda mwingine kuwaambia hizo shukrani zake? Ukitaka kila anayetendewa jambo na watu akatoe shukrani bungeni tutakuwa tunashindia kusikiliza shukrani na umbea wa wabunge. Na kama alikuwa anataka kumjibu Mwigulu angesema kabisa kuwa kuna watu walisema kuwa viongozi wa chama changu hawakuniangalia hiyo sio kweli ingetosha. Narudia tena na sitabadilika Kamanda Selasini kachemka ile mbaya.
 
".............Kwa maana hasira hukaa kifuani mwa Mpumbavu (Mithali 7:9)"

Bado sijaona kinachokufanya usimamishe mishipa ya shingo kwa kukejeli ama kujibu kwa kujihami namna hiyo! Inawezekana nimegusa sehemu mbaya sana ndiyo maana umeruka kwa kiasi hicho!.. Pole sana endelea na hasira zako.

Gudluck.
 
Vizuri na hongera mbuge kwa kurejea kazini Mungu akutangulie katika harakati za ujenzi wa taifa.
 
Back
Top Bottom