Joseph Selasini (Mb)

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Huyu muheshimiwa (Mbunge wa Rombo) kwa bahati mbaya hajaweka mawasiliano yake kwenye website ya CDM kama wabunge wenzake.
Nakuomba mheshimiwa kama unapita huku JF, unipatie mawasiliano yako kwani kuna mambo mengi yanayohusiana na shida za wananchi huku Rombo tunataka utusaidie kwa kufuatilia na ushauri.
Kama kuna mtu ana namba yake naiomba.
 
Natamani kuwa mwanaROMBO kwa namna walivyomkurupusha fisadi Mramba
Chezea ingine ila hapana ROMBO

Mh Mbunge:Tunaomba uje JF kuna mambo kadhaa wa kadhaa tulitaka kupata ufafanuzi likiwemo hili la elimu na umiliki wa Ziwa Chala (BY MRAMBA &Co)kama linavyolalamikiwa na wadau
 
Kweli kabisa. Pia yapo mengine ya wakubwa (mashosti wa mramba), kuhodhi huduma muhimu ikiwamo maji...
 
jamani hadi raha , hyaani hii ni raha ukiwa/mkiwa na tatizo mnaweza kuwasiliana direct na wabunge wenu .sasa kama mimi jimbo langu ni lindi huku , nitampataje mbunge wangu na wapi? hata FB hawapo
 
Mheshimiwa nadhani umesikia kilio cha wananchi wako! jitokeze JF km wenzako!
 
Mheshimiwa tuhitaji contact zako.
Fanya hima kuweka detail zako kwenye ukurasa wako wa bunge.
Please!
 
Huyu muheshimiwa (Mbunge wa Rombo) kwa bahati mbaya hajaweka mawasiliano yake kwenye website ya CDM kama wabunge wenzake.
Nakuomba mheshimiwa kama unapita huku JF, unipatie mawasiliano yako kwani kuna mambo mengi yanayohusiana na shida za wananchi huku Rombo tunataka utusaidie kwa kufuatilia na ushauri.
Kama kuna mtu ana namba yake naiomba.

Namba yake ni 0754/0784 580201
 
ni kweli kabisa namba yake ni hiyo, ila isipopokelewa usilaumu, kwani wako busy...na umtegee akionyesha pua rombo tu ule nae sahani moja.
 
Awe makini yasije yakamkuta yaliyomkuta huyu

Last edited by a moderator:
Kweli nafurahi sn kama mwana cdm pale cotact za viongozi wetu zinapopatikana kirahi,naomba wote wawe hapa jf tujadili pamoja
 
Back
Top Bottom