Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,123
- Thread starter
- #41
Mkuu Chuma,
Nenda page ya kwanza,utaona wasifu wake.amesoma theolojia nk
Nenda page ya kwanza,utaona wasifu wake.amesoma theolojia nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..sidhani kama Mramba atagombea tena.
..sasa inabidi atafutwe mgombea mwenye uwezo wa kuongeza pale Mramba alipoishia.
NB:
..namkumbuka Leons Ngalai na makelele yake. hivi rekodi yake huko Rombo ikoje?
wakuu,
Hebu niwakumbushe kidogo.Jaribuni kuunganisha tukio la selasini kujinga na CHADEMA from NCCR-Mageuzi na akatangaza kugombea ubunge immediatelly,pia kafulila katoka CHADEMA kaenda NCCR kwa kuwa kule kigoma kusini wana base imara na kwa ajili ya ubunge mwakani!
Wakuu,hili suala tulisema si zuri saaana lakini wanachadema wengine wakaja juu,so hapa tukubaliane aliyeuza cheni bandia kapewa pesa bandia
on the other hand!
Wakuu,
Mimi naona ni bora tumuunge mkono kafulila kwani mwenzetuhajatoka sana nje ya mstari.kama tulimuunga mkono Joseph selasini alipohamia CHADEMA with narrow ambitions kwa nini tushindwe kuvumilia hili?.Swala ni kuwa na malengo imara ya kujenga upinzani wenye nguvu Tanzania,sasa kama mtu anatoka tu CHADEMA anahamia NCCR tunapiga kelele,hivi ni sisi kweli tuliokua tunapigia kelele kuunganisha nguvu kwa vyama vya upinzani?
Nadhani kafulila ni jamaa jasiri sana na namuunga mkono kwa hili.Mimi naipenda CHADEMA sana na sera zake lakini kwa hili la Kafulila ni mkakati mzuri wa kisiasa ingawa sikubaliani na hii ishu ya kuvujisha siri za chama
Ndugu Zitto endelea kumpa moyo kafulila ili kigoma kusini iende upinzani mwakani
Katika tukio jingine, Dk Slaa jana alimkabidhi kadi ya uanachama wa Chadema aliyekuwa katibu wa itikadi na uenezi wa NCCR-Mageuzi, Joseph Selasini.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa kadi hiyo, Selasini alisema, ameamua kufanya hivyo ili kuendeleza mapambano ya kisiasa kupitia chama hicho ambacho alisema kimeonekana kuwa na nia ya dhati kuwafikia wananchi.
Alisema kuhamia kwake Chadema kutampa fursa ya kuwania ubunge wa jimbo la Rombo kama chama kitampitisha ili aweze kupambana na mbunge wa sasa wa jimbo hilo, Basil Mramba.
Chanzo: Mwananchi
NB:Nia yake CHADEMA ni hiyo tu? Basi ni rahisi sana kwa mamluki kujipenyeza ndani ya chama.