Joseph Selasini, a Square peg in a Round hole?

Niko na wazee na vijana kijiweni dar, kuna wa2 wa ROMBO wanalalamika wa2 wa kwao kumchagua Selasini.wanasema hajafanya chochote n anataka posho iongezwe.yeyote anaejua mazuri ya mh huyu anipe niwaelimishe coz wanasema bora mramba

Wampe muda kidogo afanye kazi jamani....
 
ok ok kumbe uko dar,nlidhan uko rombo. watu wa dar wanajua mchapakaz ni akina idd azan na zungu,njoo huku rombo tutakwambia bora Selasini mara mia kuliko mramba,waambie wazee wa dar wasiwe na uendawazimu kwa kuwa selasin hawezi kuleta maendeleo nd
 
Mi niko Rombo, Tarakea hapa. Huyu mbunge wetu ovyo. tangia amechaguliwa hajawahi kuja kusikiliza kero za wananchi na anapopata nafasi ya kuongea hasemi la maana, zaidi anaunga mkono wabunge kuongezewa Posho.
 
Akiwa THB mnamo miaka ya 1990 alihusika na wizi wa gari ya mwajiri wake. Ila Urassa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu akaipotezea kwa vile yeye ndiye alimleta THB.
 
Tumalize ubishi WABUNGE WOTE WA CDM hakuna kitu kabisa HERI YA WALE WA CCM.Wabunge wa cdm hadi sasa maendeleo waliofanya majimboni ni MAANDAMANO na VURUGU tu.Kutaka kusikika kwenye vyombo vya habari.
 
Akiwa THB mnamo miaka ya 1990 alihusika na wizi wa gari ya mwajiri wake. Ila Urassa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu akaipotezea kwa vile yeye ndiye alimleta THB.
huyu naye alikuwa mwizi wa magari? Wa pili huyo kwa kutajwatajwa!
 
Twahil kweli umenena vema na una akili sana,na unayosema yanabaraka za mafisadi wenzio.akili yako ina malyenge,unaweza mshauri nani juu ya mawazo yako hayo?

Hata wanaosema heri Mramba ni hao hao wenye magamba yasiyoondoka mwilini,mmelaaniwa nyie wote mnaotaka kutushawishi tuone CCM ina maana wakati ndo chanzo cha matatizo ya kitaifa na ya mtu mmoja mmoja katika nchi hii yenye utajiri wa maliasili.
 
Ni kweli ni wabunge wa cdm wengi ovyo kuliko wa ccm hawafanyi kazi kama lisu ana kesi tarime, arusha na tabora
 
Mazuri aliyofanya ni kuliwezesha jimbo lake kuiasi nchi.
 
Ukienda wa kwetu ukerewe ndio mnunua nyumba na viwanja na kutorosha watoto wa sekondari uzinzi mtupu

wananchi mnajua upuuzi anaoufanya mbunge wenu na kwenye mikutano yake mnampigia makofi. Mkamateni, chukue hatua.
 
Watu wanaozungumzia pafomanc ya kiongoz nje ya jimbo ni ulimbukeni unawasumbua, naunga mkono aliyesema wapande basi warudi nyumbani wakaulize nini na kipi kimefanyika kwa sababu kuna watu wengine cjui wakoje.

Hivi mnafikiri jimbo litapakwa rangi ili mjue kuna kitu mbunge amefanya? Na ndani ya muda huu tu ambao ameingia madarakani ni nini hasa labda ndo kingekua kipimo cha huduma ambazo zimetoka kwa mbunge. Kwa mfano, watu wa rombo tulikua tunalalamika miaka na miaka kuhusu tembo wanaokula mazao ukanda wa chini, mbunge huyo mnaemdis aliahidi kujenga kituo maalumu ukanda huo huo cha kuweka ulinzi maalum, game preservers, ili kudhibiti tembo na mpaka sasa hivi kituo kimeshajengwa.

Stop talking nonsense mkiwa huko Dar na kujazana upupu usiowajenga koz huu co mdahalo wa simba na yanga
 
Mi niko Rombo, Tarakea hapa. Huyu mbunge wetu ovyo. tangia amechaguliwa hajawahi kuja kusikiliza kero za wananchi na anapopata nafasi ya kuongea hasemi la maana, zaidi anaunga mkono wabunge kuongezewa Posho.

acha we upo tarakea ip sehemu gan selasin lazima uweke strategic unajua ishu ya tajir mauld ilivumbuliwa na nan alikuwa halip TRA toka lini
 
Wampe muda kidogo afanye kazi jamani....

Mkuu apewe muda gani tena anashindwa kutoa hata kauli ktk hili la sukari? kweli hata mimi katika hili kanikera saaaanaa, Muda wa kubadilika ndo huu asisubiri uchaguzi ufike ndo ajifanye anajua kubonga
 
Back
Top Bottom