Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,893
- 31,101
mkuu ngongo.... kinachonifurahisha sana ni hii trade mark ya font type unayoitumia ..... unless otherwise ... business as usual
Heshima kwako LAT,
Mkuu kinachonifurahisha sana ni mtindo uliozuka na kuanza kuota mizizi ya kuwatetea viongozi wa CHADEMA hata inapodhihirika dhahiri wamekosea wanzuka maafisa habari from no where kupinga, kukanusha na kupotosha ili kumlinda na kumjenga kisiasa mkosaji ilimradi awe ni ..........
Inawezekana unapenda kusikia habari unazopenda kuzisikia huu ni ugonjwa wa watawala wengi hasa Afrika ni ajabu kidogo ugonjwa huu umeanza kuwaingia taratibu wananchi wa kawaida sijui wewe upo katika kundi hilo ??????.Kuna utaratibu unaoaanza kuzoeleka na kuonekana kama jambo la kawaida hapa JF kusiafia jambo la hovyo mradi tu liwelinafungamana na chama fulani.....
Mkuu LAT utanisamehe sana siwezi kusifia jambo ambalo naamini haliko sawa sawa.