Joseph Mungai -WAZIRI aliyeua elimu TZ?

Mr. Clean

Senior Member
Aug 7, 2006
195
44
Bado Waziri wa zamani wa Elimu katika awamu ya tatu Joseph Mungai (MB) anakumbukwa kwa jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!

Lakini nyuma ya pazia ni kwamba huyu ni mzaliwa na raia wa KENYA.....! ambaye alikuwa na mission moja tuu..kuikadamiza elimu ya watz ili Kenya iendelee kupaa... na alifanikiwa hasa..wapo watakao kuja hapa kuandika tofauti na miye lakini wakifanya utafiti watajua yasemwayo yalivyonakshiwa na ushahidi mnene tuu.

Angalizo: YATUBIDI TUWE MAKINI NA UTENDAJI WA VIONGOZI WETU, baadhi sio RAIA na wana MIPANGO TOAFAUTI na Watanzania wadhaniavyo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nakupa tano, wapo wengi sana wa namna hiyo, angalia vyema safu ya mafisadi ndio hao hao tu. Watanzania utafikiri hatuna wana Usalama bwana ama huenda nao ni wageni pia..??
 
Bado Waziri wa zamani wa Elimu katika awamu ya tatu Joseph Mungai (MB) anakumbukwa kwa jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!

Lakini nyuma ya pazia ni kwamba huyu ni mzaliwa na raia wa KENYA.....! ambaye alikuwa na mission moja tuu..kuikadamiza elimu ya watz ili Kenya iendelee kupaa... na alifanikiwa hasa..wapo watakao kuja hapa kuandika tofauti na miye lakini wakifanya utafiti watajua yasemwayo yalivyonakshiwa na ushahidi mnene tuu.

Angalizo: YATUBIDI TUWE MAKINI NA UTENDAJI WA VIONGOZI WETU, baadhi sio RAIA na wana MIPANGO TOAFAUTI na Watanzania wadhaniavyo!

Wewe bana huna unalolijua!hakika huna.Nilibahatika kuwa mwalimu wa sekondari mwaka 2003 walau naelewa!

Wewe naomba nikupe summary tu kwamba katika hali ya kawaida kabisa ki-utendaji MUNGAI COULD NEVER NEVER DECIDE ON HIS OWN!that is one

Pili biashara ya kuvunja mitaala ilikuja na SECONDARY EDUCATION DEVELOPMENT PROGRAM(S.E.D.P),ambayo ilikuwa ni moja ya conditions za msingi kabisa za metropolitan countries katika kumwaga hela zao pale.HAIKUWA RAHISI KWA NCHI NYINGI MASIKINI KAMA TANZANIA(hasa ukizingatia zile hela wao walikuwa wanazihitaji)KUIKWEPA HIYO CONDITION!

BRO!SO SORRY,lakin blame it on BEN!am telling you,put all the blames on ben ambae alikubali
 
Kwa upande wangu mabadiliko ya Mungai yalikuwa ni muhimu kwa taifa. Ninaweza kutoa sababu nyingi tu.
 
Bado Waziri wa zamani wa Elimu katika awamu ya tatu Joseph Mungai (MB) anakumbukwa kwa jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!

Lakini nyuma ya pazia ni kwamba huyu ni mzaliwa na raia wa KENYA.....! ambaye alikuwa na mission moja tuu..kuikadamiza elimu ya watz ili Kenya iendelee kupaa... na alifanikiwa hasa..wapo watakao kuja hapa kuandika tofauti na miye lakini wakifanya utafiti watajua yasemwayo yalivyonakshiwa na ushahidi mnene tuu.

Angalizo: YATUBIDI TUWE MAKINI NA UTENDAJI WA VIONGOZI WETU, baadhi sio RAIA na wana MIPANGO TOAFAUTI na Watanzania wadhaniavyo!

Una uhakika na uliyoyaandika?

Ushauri: Pata data zote ndipo uandike kitu kinachoeleweka!

Maswali kwako:
1. Hivi unadhani mtu anaweza kuwa mbunge na waziri hivi hivi tu kama angekuwa kweli "mzaliwa na raia wa KENYA"?? Wapiga kura na marais wote wanne wa Tanzania hii ni mbumbumbu?
2.Hizo "....jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!" ni zipi? Hebu nikumbushe na ziweke wazi kwani ulichoandika ni kama msemo wa blangeti kwani naona kama upo too general.
3. Utafiti uliofanywa na waliobobea kwenye fani ya elimu ni quite overwhelming........in his favor.

Vilevile, sio kukandia bali inaonekana ni mgeni katika mambo haya ya forum na blogging na newsgroups etc - topic kama hii zimeshazungumziwa sana tu na kwa watu kama sisi wa old skul tunazijua vema. Eniwei, ni vizuri young bucks get to know stuff like this.
 
kwa upande wangu mabadiliko ya mungai yalikuwa ni muhimu kwa taifa. Ninaweza kutoa sababu nyingi tu.
kufuta masomo ya biashara na michezo mashuleni ni jambo muhimu?
Mungai ni fisadi na historia itamuhukumu kwa kutaka kuiangamiza tanzania.thanks jk akarudisha masomo hayo.
 
wewe bana huna unalolijua!hakika huna.nilibahatika kuwa mwalimu wa sekondari mwaka 2003 walau naelewa!

Wewe naomba nikupe summary tu kwamba katika hali ya kawaida kabisa ki-utendaji mungai could never never decide on his own!that is one

pili biashara ya kuvunja mitaala ilikuja na secondary education development program(s.e.d.p),ambayo ilikuwa ni moja ya conditions za msingi kabisa za metropolitan countries katika kumwaga hela zao pale.haikuwa rahisi kwa nchi nyingi masikini kama tanzania(hasa ukizingatia zile hela wao walikuwa wanazihitaji)kuikwepa hiyo condition!

Bro!so sorry,lakin blame it on ben!am telling you,put all the blames on ben ambae alikubali
hakuna nchi iliyoshinikiza kufuta masomo na michezo mashuleni ni umbumbu wa mungai. Kwani yeye mwenyewe ana vyeti feki.
 
kufuta masomo ya biashara na michezo mashuleni ni jambo muhimu?
Mungai ni fisadi na historia itamuhukumu kwa kutaka kuiangamiza tanzania.thanks jk akarudisha masomo hayo.

Michezo ilifutwa? Lini tena? Nilikuwa shuleni enzi zile na michezo tulicheza ila hatukwenda mashindano ya UMISETA kitaifa kama zamani ambapo kanda zote TZ zilikutana kwenye mashindano. Nayo mashindano ya kitaifa ya UMISHUMTA nayo yalishitishwa ila mashuleni michezo iliendelea.

Kwa ufupi tu Mungai hakufuta michezo hata kidogo! Alichofuta ni mashindano ya UMISHUMTA na UMISETA ya nchi nzima.
 
Una uhakika na uliyoyaandika?

Ushauri: Pata data zote ndipo uandike kitu kinachoeleweka!

Maswali kwako:
1. Hivi unadhani mtu anaweza kuwa mbunge na waziri hivi hivi tu kama angekuwa kweli "mzaliwa na raia wa KENYA"?? Wapiga kura na marais wote wanne wa Tanzania hii ni mbumbumbu?
2.Hizo "....jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!" ni zipi? Hebu nikumbushe na ziweke wazi kwani ulichoandika ni kama msemo wa blangeti kwani naona kama upo too general.
3. Utafiti uliofanywa na waliobobea kwenye fani ya elimu ni quite overwhelming........in his favor.

Vilevile, sio kukandia bali inaonekana ni mgeni katika mambo haya ya forum na blogging na newsgroups etc - topic kama hii zimeshazungumziwa sana tu na kwa watu kama sisi wa old skul tunazijua vema. Eniwei, ni vizuri young bucks get to know stuff like this.

Mr.Clean yupo hapa toka mwaka 2006 na wewe umejiunga August 2008 kama ni ugeni wewe ndio mgeni kwenye mambo haya ya Forums.

wako mawaziri wengi walikuwa kwenye serikali ya Uganda lakini Rwanda ilipopata madaraka chini ya Kagame wakaenda Rwanda na kusema kuwa wao hawakuwa Waganda.

vyuo vikuu vyetu vingi tu vina watu wageni kama hao kina Mungai.uliza SUA na Mzumbe kulikuwa na wahadhiri wengi toka Rwanda wakijifanya watanzania.

aliyekuwa mkuu wa TAKUKURU kabla ya Hosea NI MNYARWANDA jiulize hilo kwanza.
 
Naona hapa hamna anaemjua MUNGAI.hakuna cha sijui kanda2 wala Mr Clean.naona wote wawili mnabwabwaja tu
 
Michezo ilifutwa? Lini tena? Nilikuwa shuleni enzi zile na michezo tulicheza ila hatukwenda mashindano ya UMISETA kitaifa kama zamani ambapo kanda zote TZ zilikutana kwenye mashindano. Nayo mashindano ya kitaifa ya UMISHUMTA nayo yalishitishwa ila mashuleni michezo iliendelea.

Kwa ufupi tu Mungai hakufuta michezo hata kidogo! Alichofuta ni mashindano ya UMISHUMTA na UMISETA ya nchi nzima.

kazi kwelikweli.....
 
hilo ya mungai kuwa raia wa kenya kidogo jipya, ila ni kweli alijitahidi sana kuvuruga mtaala mzima wa elimu ya tanzania
 
Mr.Clean yupo hapa toka mwaka 2006 na wewe umejiunga August 2008 kama ni ugeni wewe ndio mgeni kwenye mambo haya ya Forums.

wako mawaziri wengi walikuwa kwenye serikali ya Uganda lakini Rwanda ilipopata madaraka chini ya Kagame wakaenda Rwanda na kusema kuwa wao hawakuwa Waganda.

vyuo vikuu vyetu vingi tu vina watu wageni kama hao kina Mungai.uliza SUA na Mzumbe kulikuwa na wahadhiri wengi toka Rwanda wakijifanya watanzania.

aliyekuwa mkuu wa TAKUKURU kabla ya Hosea NI MNYARWANDA jiulize hilo kwanza.

Fair enough, but nilichomaanisha sio Jamii Forum pekee bali zote kabla ya hii e.g. Jamii Forum's predecessor Jambo Forum, Nyenzi.com, BCS(?),Young African.com, Darhotwire.com, Tanzaniabeyond2000 and many more. Huko kote topic hii ilishaongelewa kwa urefu kabisa na watu walishusha mpaka alikozaliwa, wazazi wake, sheria za uraia zinasema nini etc and it looks to me huyu jamaa aliyeingia "Jamii Forum" 2006 missed these topics kwani wakati ikiitwa "Jambo Forum" ilishazungumziwa - yeah, yeah, yeah, it is one of the same "JF"

Kenya ilipopata uhuru Mungai hakwenda huko; Aliyekuwa mbunge kabla ya Mungai alikuwa ni mTanzania mwenzake; aliyekuwa waziri awamu zote na mkuu wa mkoa kabla yake walikuwa waTanzania kama yeye; vyuo vikuu vyetu vingi vina watu kama Mungai yaani waTanzania wenzake etc etc etc - Whats your point? You are trying to to mix apple and oranges to suit your purpose? For what? Why?
 
Jambo FORUMS ilibadilishwa jina 2007 kuwa jamii FORUMS.mwanzisha mada alikuwa member wa Jambo Forums.
Mungai kafanya utumbo mwingi tu nadhani UKENYA wake ndio unamsukuma kufanya haya.
 
kufuta masomo ya biashara na michezo mashuleni ni jambo muhimu?
Mungai ni fisadi na historia itamuhukumu kwa kutaka kuiangamiza tanzania.thanks jk akarudisha masomo hayo.

Shule za michepuo ni upuuzi mkubwa. Na masomo ya biashara hayafai kufundishwa kwa sababu sio masomo ya biashara. Book keeping sio biashara ni ukarani wa fedha.
 
Una uhakika na uliyoyaandika?

Ushauri: Pata data zote ndipo uandike kitu kinachoeleweka!

Maswali kwako:
1. Hivi unadhani mtu anaweza kuwa mbunge na waziri hivi hivi tu kama angekuwa kweli "mzaliwa na raia wa KENYA"?? Wapiga kura na marais wote wanne wa Tanzania hii ni mbumbumbu?
2.Hizo "....jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!" ni zipi? Hebu nikumbushe na ziweke wazi kwani ulichoandika ni kama msemo wa blangeti kwani naona kama upo too general.
3. Utafiti uliofanywa na waliobobea kwenye fani ya elimu ni quite overwhelming........in his favor.

Vilevile, sio kukandia bali inaonekana ni mgeni katika mambo haya ya forum na blogging na newsgroups etc - topic kama hii zimeshazungumziwa sana tu na kwa watu kama sisi wa old skul tunazijua vema. Eniwei, ni vizuri young bucks get to know stuff like this.

Mkuu hizo tuhuma nyingine juu ya Mungai sizijui vyema, lakini hilo la kwamba asiye raia hawezi kuwa kiongozi sikubaliani na wewe!

Ni juzi juzi tumeshuhudia mganda wa kuzaliwa Mkassa akiapishwa kuwa mbunge Dodoma, tena baada ya kupora ushindi wazi wazi toka kwa mtanzania aliye shinda kihalali, achilia mbali Fisadi Papa RA raia wa Irani ambaye ni mbunge wa kuchagulia mjumbe NEC ambaye wote tumeshuhudia mkono wake jinsi ulivo mrefu katika kuliendesha na kuliyumbisha taifa letu.

Ninachoweza sema yeyote yule awe mchina, mwararabu, mjapani, kaburu aweza kuwa hata waziri mkuu alimradi tu apitie chama cha mafisadi, watetea matumbo wanao singizia maslahi ya chama kwanza, badala ya Taifa lao wako tayari kumlinda kwa garama zozote zile na popote pale.
 
Bado Waziri wa zamani wa Elimu katika awamu ya tatu Joseph Mungai (MB) anakumbukwa kwa jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!

Lakini nyuma ya pazia ni kwamba huyu ni mzaliwa na raia wa KENYA.....! ambaye alikuwa na mission moja tuu..kuikadamiza elimu ya watz ili Kenya iendelee kupaa... na alifanikiwa hasa..wapo watakao kuja hapa kuandika tofauti na miye lakini wakifanya utafiti watajua yasemwayo yalivyonakshiwa na ushahidi mnene tuu.

Angalizo: YATUBIDI TUWE MAKINI NA UTENDAJI WA VIONGOZI WETU, baadhi sio RAIA na wana MIPANGO TOAFAUTI na Watanzania wadhaniavyo!

Mkuu umenena. Tanzania imebeba sana viongozi wa ngazi za juu na nyadhifa tofauti sasa na miaka hiyo baada ya uhuru ambao si Watanzania na wengi wao tunawafahamu japo wanajitetea. Inasikitisha zaidi kuwa hata zile sehemu nyeti kama Usalama wa Taifa, Ulinzi na Usalama, Mambo ya ndani, Taasisi za fedha (enzi hizo) yakiwemo mashirika ya Pensheni, n.k yalishikiliwa na baadhi ya viongozi ambao si watanzania. Mbona sijasikia Mtanzania ambaye amepewa vyeo serikalini na siasa nchi nyingine?? Kama wapo naomba mnisaidie majina yao na vyeo vyao. Sisi Watanzania tuna shida gani na vichwa na maamuzi yetu?? Na sasa wameshatapakaa kila mahali na watoto na wajukuu zao wapo katika system ya uongozi huku wakitetewa kwa nguvu kuwa origin yao ni Tz!!!

Kwako Mungai, hivi inawezekana kabisa kufuta masomo ya bashara, self reliance, science ukachafua kabisa!!! Impact yake ni kwa watoto wetu waliosoma kipindi hicho. Nashukuru sana sylabus iliangaliwa kwa makini na kurejesha yale masomo. Halafu wakati huo ndiyo champion ya kuwa eti tutumie Kiswahili mashuleni wakati mpaka sasa tumeaona tabu yake. Mtu anatoka University interview hata hawezi kujieleza. Kwa hapo ni wakati sasa medium of instruction kwa mashule yetu iwe ni English. Najua mwanzo ni mgumu ila tutafika, with time tutakuwa na waalimu wazuri wa English. Language Revolution is needed, and it is ENGLISH.
 
..ninavyoelewa Baba yake Mungai aliletwa Tanganyika kufanya kazi kwenye mashamba ya chai ya ma-settler. Mama Mzazi wa Joseph Mungai ni mzaliwa wa Tanganyika.

..Joseph Mungai amekuwa kwenye uongozi muda mrefu sana. aliwahi kuwa waziri wa kilimo wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere. alipatwa na matatizo kutokana na kashfa ktk shirika la SUDECO na kuondolewa au kulazimika kujiuzulu uwaziri.

..baada ya kukaa 'benchi' kwa miaka kadhaa Raisi Alli Mwinyi alimteua Mungai kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa.

..Mungai pia anasifika kwa juhudi zake za kuhamasisha ujenzi wa shule za sekondari za wananchi ktk wilaya ya Mufindi.
 
Mkuu hizo tuhuma nyingine juu ya Mungai sizijui vyema, lakini hilo la kwamba asiye raia hawezi kuwa kiongozi sikubaliani na wewe!

Ni juzi juzi tumeshuhudia mganda wa kuzaliwa Mkassa akiapishwa kuwa mbunge Dodoma, tena baada ya kupora ushindi wazi wazi toka kwa mtanzania aliye shinda kihalali, achilia mbali Fisadi Papa RA raia wa Irani ambaye ni mbunge wa kuchagulia mjumbe NEC ambaye wote tumeshuhudia mkono wake jinsi ulivo mrefu katika kuliendesha na kuliyumbisha taifa letu.

Ninachoweza sema yeyote yule awe mchina, mwararabu, mjapani, kaburu aweza kuwa hata waziri mkuu alimradi tu apitie chama cha mafisadi, watetea matumbo wanao singizia maslahi ya chama kwanza, badala ya Taifa lao wako tayari kumlinda kwa garama zozote zile na popote pale.

Huyu Oskar Mukassa katika pitapita zangu nilishafanya naye kazi (nikiwa kama Consultant eneo fulani) na nawahakikishia ni Mganda!!!! Na anajivunia kuwa ni Mganda openly!!! Nilishangaa sana siku ile wanatoa rulling yule msimamizi wa uchaguzi kuwa eti ni Mtanzania. Kweli sijui kwa nini tunakosa uzalendo kiasi hicho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom