snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,708
- 23,637
kaaa! watu mna maneno nyie!!!!
ah kaniudhi!
kaaa! watu mna maneno nyie!!!!
sasa badala ya kuwakomalia walioko madarakani mnataka kuwabana walio nje ya madaraka. Sasa imagine kuwa Mbilinyi kasema na kakemea then what? Utakuwa umeridhika na kujisikia vizuri!
Huyu ni waziri kivuli wa Utamaduni lakini cha ajabu hakemei wala hasemi neno juu ya matumizi ya lugha za kigeni kwenye majarida, miswada ya sheria na kwingineko
hiivi maana ya kukaa kimya ni nini?
Freeman kama huyu jamaa kashindwa kazi tuwekee mchapa kazi ambaye anaweza kusimamia mambo haya
Umemsaidia sana huyu jamaa kama ni mzanzibar sio kosa lake kuandika alichoandika kwani uku bara wa mwisho darasani akienda Zenji ni wa kwanzaDah?! mkuu Zanzibae huru, kuna mambo kadhaa labda hujayaelewa au umeyaelewa na kupuuzia/kupotosha:
1.Sidhani ni haki au uungwana kutumia lugha hiyo kwa Joseph Mbilinyi(MB)
2.Inawezekana hujafahamu majukumu ya Serikali kupitia wizara husika na majukumu ya wizara vivuli.
3.Imani yako kwa Serikali ni kubwa kiasi cha kuamini kuwa kila wanapokosolewa/kushauriwa hukubali (CONSTRUCTIVE CRITICISM)
4.Tuhuma/malalamiko yako yangemhusisha kwanza Waziri wa Wizara husika na kujiuliza amefanya nini so far, and in addition kwa kushiriliana na Waziri kivuli wamekubali vipi ushauri waliopewa/au umekataliwa kwa misingi ipi.
Mwisho, ni vizuri kujua nani anahusishwa(The right channel) kwa sababu huyo uliyemtaja ni waziri kivuli(Yaani hata kama Waziri hatakuwepo, haimanishi kuwa yeye atakaimu ila Naibu wake), shortly yuko nje ya System(hatamu ya uongozi).
Huwezi kumlaumu Mh. John Cheyo/Prof. Lipumba/Dk. Slaa kwa makosa/uzembe uliofanywa na Rais(Just mfano tu mkuu).
sasa badala ya kuwakomalia walioko madarakani mnataka kuwabana walio nje ya madaraka. Sasa imagine kuwa Mbilinyi kasema na kakemea then what? Utakuwa umeridhika na kujisikia vizuri!
mkuu punguza ukali wa maneno,hauendani nayo hasa ukizingatia unatumia jina halisi!!