JOSEPH MBILINYI aka SUGU aka KINEGA ATANGAZA VITA NA AIRTEL...

PIga Chini Airtel.. pambafu kabisa nao kumbe ni km WAFU FM

Hivi kati ya airtel na Voda nani mmbaya zaidi? Maana voda ule uzalilishaji walofanya wakuendelea umis angali wenzetu wapo wamefia majini ni mmbaya sana na hautakiwi kuvumiliwa hata kidogo
 
Hivi kati ya airtel na Voda nani mmbaya zaidi? Maana voda ule uzalilishaji walofanya wakuendelea umis angali wenzetu wapo wamefia majini ni mmbaya sana na hautakiwi kuvumiliwa hata kidogo
Kwa mtindo huu mtashindwa... Kila mtandao mtautafutia sababu na mwisho wa siku mtashindwa kuwasiliana... Kweli nyani haoni k... Kwani siku ya ajali ya mv spice wangapi mlienda kwenye starehe zenu huku wenzenu wakizama? Mmewaona VODA pekee
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom