Joseph Kusaga asema tuache malumbano

Huwa sipendi kauli za kijinga kama hizi, maana hazina tofauti na wale wanaosema JK anaangushwa na wasaidizi wake, huku mkijuwa wazi wasaidizi wa Rais wanateuliwa na Rais na ni Rais mwenyewe mwenye uwezo wa kuwatimuwa wale wanaomwangusha.
Kusaga huwezi kumuondowa kwenye lawama hizi kwa namna yoyote ile.

mkuu hujanisoma vizuri "nimetumia NENO YAONEKANA"
 
Back
Top Bottom