Jose Chameleon bilionea

mnajua kwanini Saida Karoli akili zilivyofunguka ndio ukawa mwisho wake? Yuko Mwanza anaimba kwenye maharusi! maisha ya Dar yamemshinda!!
 
Ruge akikupania anapiga fitna redio zote na maafisa masoko wote,wasambazaji wote! Msanii kwisha! Msanii mafanikio yake yapo mikononi mwa wengine! Jiulize inakuwa Afande sele ameanza kutamba tena?


Hapa ruge anafanya makusudi kumpa promo afande sele hili asijiunge na vinega coz ruge anajua afande akijiunga na vinega litamuathiri sana ruge
 
mpwa nakwambia kuna wengine hata mada awabebi
huko dubai mpwa kuna wazee waanava kanzu na ushungi katikati hao mpwa wakiamua wanakupa ndege ya emirate moja ama billions unakuwa na kazi ya kuwafanyia kazi usiniulize ipi
irene uwoya atatusaidia kwa hili

Ndo maana huyo dada aliomba ajifungue kwa kisu coz kina hamijei wa dubai walishaaribu kabisa background
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom