Jordan is Palestine

hapo kwenye red nadhani pitia kamusi utapata tafsiri sahihi ya hilo neno, hiyo lugha ina wenyewe, sio ile ya maandishi ya kutoka kulia kwenda kushoto.

Kuandika kutoka kulia kwenda kushoto ni kumkubali mwenyezi mungu,hakika yeye ndie muumba mbingu na nchi, husema kuwa na ikawa!( kuna hekma kubwa na ishara kwa tendo hilo)
kuna viswali vidogo hapa halafu nakuachia home work!
1. Dunia inazunguka kutoka upande gani kwenda upande gani?
2. Machine zozote unazozijua wewe, haswa zenye motor, mzunguko wake huanzia upande gani kwenda upande gani?
3. ukianza kutembea, unaanza mguu gani unafuata upi?
4.Jua linachomoza Mashariki linazama Magharibi, ukiangali mashariki iko upande gani na magharibi iko upande gani?
5. Unajua moyo wako unavyofanya kazi ? uko upande gani? una pump damu kutoka upande upi kwenda upi?
6. Nani hapa elimu yake ndogo? (baada ya kujibu hayo maswali)
 
I agree totally with Mr Wilders. Palestinian state has never existed. There is no Palestinian Language.
70% of Jordanians consider themselves to be Palestinians, so it is natural that the the so called Palestinians could easily be assimilated in Jordan than in Israel..

So the two state solution should be the state of Israel and the Hashimite Kingdom of Jordan.

Exellent!!!!!
 
Even some part of West Jordan is traditional Jewish land since time immemorial. I'm longing to see Israel reclaim that land too from the bunch of Arab fanatic hiding in the name of Palestine.
 
Hoja kwa hoja au ni UBISHI WA SIMBA NA YANGA!? kuanzia juu mpaka chini sijaona "QUOTES" zozote ziwe za vitabu vya Dini au Historian ku justify mnayoyasema! ndio maana nikasema humu nina mashaka na Great thinkers..................otherwise haya mambo yamo katika QURAN na AGANO La KALE (Ubahatike ambalo halijachakachuliwa sana) utapata mpaka mipaka na Ramani!

Naomba unitumie kopi ya hilo ambalo halijachakachuliwa best.
 
actually, kati ya michoro ya ramani ambayo Mungu alikuwa anamuonyesha Ibrahim kuwa kizazi chake kupitia isaka na yakobo(yakobo ambaye ndiye israel) watamiliki, hata Jordan iko ndani yake, hadi kule Tiro(Tyre) na Sidon ya kule Lebanon, hadi mipaka ya Damascus kule syria..hivyo jordan yote ni mali ya wayahudi, hadi juu kule damascus/Dameski kule syria/ashuru. eneo walilochukua wayahudi hadi sasaivi tangu Tarehe 14 May 1948 ni dogo sana kulinganisha na mali yao ambayo Mungu aliwapa.

Hebron na Bethlehem ambayo ipo ukanda wa magharibi/westbank ambako ndo wanataka kufanya iwe nchi ya wapalestina ni miji aliyoijenga Daudi wakati ule anakimbizana na Saul kwa wale wasomaji wa Biblia...Nendeni mkasome Samuel wa kwanza na wa pili juu ya hili.

kwa habari ya mipaka ya israel, soma kitabu cha mwanzo...actually, wapalestina wanachokipigania pale si ardhi tu, wanapigania maeneo matakatifu, wao wanaamini kuwa Jerusalem haiwezi kuwa ya wayahudi tu kwasababu Muhamad anauhusiano na pale pia sijui, pia ile Temple mount, lile hekalu alilokuwa amejenga solomon mtoto wa Daudi mfalme wa israel, wao walikuja wakabomoa wakajenga msikiti kipindi wayahudi wamechukuliwa utumwani....na wayahudi kwa sasa wako kwenye mpango wa kulibomoa lile limsikiti, na kujenga sinagogi..na ikishatokea hivyo tu, ujue Kristo anashuka kuja kulichukua kanisa lake..Wale walio na macho ya rohoni changamkeni, msilale usingizi, Mfalme wa wafaleme na Bwana wa mabwana yuko malangoni anakuja kulichukua kanisa lake, HERI WALE WAZIOSHAO NGUO ZAO KWENYE DAMU YA MWANA KONDOO wasijekupatikana wauchi siku ile ya hukumu....Glory to God in the highest!
 
Kwa Kuongezea: Mpaka halisi wa Waisrael huu hapa:

Genesis 15:17-21

17 Wakati jua lilipokuwa limeshatua na giza limeingia, tanuru la moshi na mwali wa moto unaowaka vikatokea na kupita kati ya vile vipande vya nyama.

18 Siku hiyo BWANA akafanya agano na Abramu na kumwambia, '‘Nitawapa wazao wako nchi hii, kuanzia mto wa Misri hadi mto ule mkubwa, Eufrati,

19 yaani nchi ya Wakeni, Wakenizi, Wakadmoni,

20 Wahiti, Waperizi, Warefai,
21 Waamori, Wakanaani, Wagirgashi na Wayebusi.''

My take:Wayahudi mbona hadi sasa wamechukua sehemu kidogo tu ya ardhi yao..hata walipoiteka Sinai walifanya vizuri maana ni yao. Hadi leo sijawaelewa kwa nini waliwarudishia Wamisri Sinai.
 
actually, kati ya michoro ya ramani ambayo Mungu alikuwa anamuonyesha Ibrahim kuwa kizazi chake kupitia isaka na yakobo(yakobo ambaye ndiye israel) watamiliki, hata Jordan iko ndani yake, hadi kule Tiro(Tyre) na Sidon ya kule Lebanon, hadi mipaka ya Damascus kule syria..hivyo jordan yote ni mali ya wayahudi, hadi juu kule damascus/Dameski kule syria/ashuru. eneo walilochukua wayahudi hadi sasaivi tangu Tarehe 14 May 1948 ni dogo sana kulinganisha na mali yao ambayo Mungu aliwapa.

Hebron na Bethlehem ambayo ipo ukanda wa magharibi/westbank ambako ndo wanataka kufanya iwe nchi ya wapalestina ni miji aliyoijenga Daudi wakati ule anakimbizana na Saul kwa wale wasomaji wa Biblia...Nendeni mkasome Samuel wa kwanza na wa pili juu ya hili.

kwa habari ya mipaka ya israel, soma kitabu cha mwanzo...actually, wapalestina wanachokipigania pale si ardhi tu, wanapigania maeneo matakatifu, wao wanaamini kuwa Jerusalem haiwezi kuwa ya wayahudi tu kwasababu Muhamad anauhusiano na pale pia sijui, pia ile Temple mount, lile hekalu alilokuwa amejenga solomon mtoto wa Daudi mfalme wa israel, wao walikuja wakabomoa wakajenga msikiti kipindi wayahudi wamechukuliwa utumwani....na wayahudi kwa sasa wako kwenye mpango wa kulibomoa lile limsikiti, na kujenga sinagogi..na ikishatokea hivyo tu, ujue Kristo anashuka kuja kulichukua kanisa lake..Wale walio na macho ya rohoni changamkeni, msilale usingizi, Mfalme wa wafaleme na Bwana wa mabwana yuko malangoni anakuja kulichukua kanisa lake, HERI WALE WAZIOSHAO NGUO ZAO KWENYE DAMU YA MWANA KONDOO wasijekupatikana wauchi siku ile ya hukumu....Glory to God in the highest!

Ndugu yangu kwa taarifa yako tu........."Uyahudi" au "Judism" si DINI ni Kabila!!
naomba niulize maswali yafuatayo;
1. Yuda ni jina ambalo lilikuja kuwa ndio kabila kisha Dini, Je wakati wa Ibrahim , Mussa, Yakobo na Issa au Yesu dini ilikuwa ni ipi?
2. Ukristo una uhusiano gani na dini ya Wayahudi? (Judism)
3. Wayahudi na Dini yao, wanamtambua Yesu(Issah) kama nani?
4. Ikirudi Mwana wa Kondoo.......... atawatafuta kondoo gani waliopotea? (wayahudi au Wakristo? au wote wawili na kwa sababu gani?)
5. Je Unamfahamu Uzail ?
Nina hamu ya kujua majibu ya maswali hapo juu(ukijiamini weka andiko kama ushahidi)! isije ikawa wengine wanaingia kwenye sherehe isiyo yao!
 
Naomba unitumie kopi ya hilo ambalo halijachakachuliwa best.

Ndio maana nikasema bahatisha! kwani sisi tumeambiwa kuwa: Quran imekuja kubainisha ya kuwa "Neno hili limechakachuliwa na hili limesalimika" hivyo wenye kuleta, basi tutapima!:whoo:
 
Even some part of West Jordan is traditional Jewish land since time immemorial. I'm longing to see Israel reclaim that land too from the bunch of Arab fanatic hiding in the name of Palestine.

Barukh atah Adonai eloheinu melekh ha-olam, ozier Yisrael bigvurah.

"Blessed art thou, Lord our God, King of the universe, who girds Israel with might":rofl:.
 
Ndugu yangu kwa taarifa yako tu........."Uyahudi" au "Judism" si DINI ni Kabila!!
naomba niulize maswali yafuatayo;
1. Yuda ni jina ambalo lilikuja kuwa ndio kabila kisha Dini, Je wakati wa Ibrahim , Mussa, Yakobo na Issa au Yesu dini ilikuwa ni ipi?
2. Ukristo una uhusiano gani na dini ya Wayahudi? (Judism)
3. Wayahudi na Dini yao, wanamtambua Yesu(Issah) kama nani?
4. Ikirudi Mwana wa Kondoo.......... atawatafuta kondoo gani waliopotea? (wayahudi au Wakristo? au wote wawili na kwa sababu gani?)
5. Je Unamfahamu Uzail ?
Nina hamu ya kujua majibu ya maswali hapo juu(ukijiamini weka andiko kama ushahidi)! isije ikawa wengine wanaingia kwenye sherehe isiyo yao!
Nitakujibu maswali yako yote bila kukopesha:
1. uyahudi au judism si dini ni kabila?...jibu la hapa, ni kwamba, judism ni dini na ndiyo inayoabudiwa na wayahudi leo hii kule israel..cha kuelewa ni kwamba, haijalishi Juda/Yuda alikuwa kabila mojawapo la israel,cha maana ni kwamba, Yuda/Juda ndo uzao ambao Mungu aliuteua kuwa uzao utakaompitisha Kristo, ila Juda kama Juda alikuwa mmojawapo wa watoto wa Jacob/Israel kumi na mbili ambao walitengeneza makabila kumi na mbili ya israel.

kilichotokea ni kwamba, dola ya israel, even before the existence of the Palestinian/arabs, walishaingia kwenye civil war, walitengana sana kipindi cha mfalme Jeroboam na Yeroboam kwasababu ya dhambi aliyoifanya Solomon ya kuabudu miungu ya wafilisti ambao ndo wapalestina (kwasababu alienda kuoa wake huko)...kwa muda mwingi, israel iligawanyika kwenye dola mbili, juu kuliitwa israel na chini kuliitwa Yuda, na ndo Judea hadi leo....sasa kule Yuda walikuwa wanamwabudu Mungu wa kweli mara zote, ndo maana jina lao lilibakia kuwa wa imani hadi leo..kule kaskazini ambako walikuwa wamepakana nawa lebanon etc, waliiga kuabudu mabaal ambayo ndo walikuwa miungu ya waarabu ndugu zenu.

2.wakati wa Ibrahim, Isaka na Yakobo...(sisi hatuna Issa)..issa lipo kwenye koran tu...hakukuwa na dini...jua kuwa dini ni chama tu ila haimfikishi mtu mbinguni...cha maana ni kwamba,wakati huo walikuwa wanamwabudu Mungu, ila hakukuwa na dini kama ukristo, uyuda au uislam...they were just worshiping God...dini kama vyama vya wafuasi wa mlengo fulani, zilikuja badaye kwa waisrael.

3. uelewe kuwa, waarabu wote, wafilist (walebanon) na wengine wote, kipindi israel inamwabudu Mungu, walikuwa wanaabudu miungu mingine, mabaal na miungu ya kuchonga kama wahindi...hadi kipindi cha Yesu bado walikuwa hivyo tu, ni waabudu mashetani. PIA WALIKUWA HAWATAHIRI...waisrael tu ndo walikuwa wanatahiri...watoto wa ishmael nao walianza kutahiri wakawaambukiza waarabu (jua kuwa si waarabu wote ni watoto wa ishmael mwana wa ibrahim).

4. wayahudi na dini yao wanamtambua Yesu kama mtu wa kawaida tu, nabii wa kawaida tu. hiyo si hoja...pili, point of correction, YESU HAITWI ISSA...isa ni jina la kuran ambalo mnalitaja kwasababu mnaogopa mkitaja Yesu mtaunguza majini...Yesu haitwi Issa...ukisema kwajina la issa majini toka hayatoki, ukisema kwa Jina la Yesu majini toka yanatoka mkuku, so msikitini nyie mkitaja Yesu, mnajitakia mabaya, majini yatawakimbia..ndo maana mnataja issa..hatuna issa sisi wakristo na hatumwamini issa wenu..tunamwamini Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai.
5.mwanakondoo anawatafuta kondoo wote duniani waliopotea, wakristo kwa waislam, wayahudi kwa wahindu, everybody. anakutafuta hata wewe.

6. simfahamu Uzail. kwenye Bible hayupo...anaweza kuwepo kwenye kuran..lakini kwasababu koran ni kitabu ambacho shetani alikitunga ili kuja kupotosha Bible,...mtakuwa mnaambiwa mengi huko misikitini..ila ukweli unajulikana...na kwa Jina la Yesu mtapiga goti tu. la sivyo, ninyi na majini yetu mtakweda motoni.
 
Barukh aba, bishem Adonai, blessed is he who comes in the Name of the Lord.
 
Nashukuru sana ndugu yangu kwa kunijibu, nimefarijika sana! Maswali yalikua yamsingi sana na umejitahidi. Pengine ni shereheshe majibu yako ili tuende sawa.
1. Umejibu ya kuwa kabla ya Dini ya Judism, hakukuwahi kuwepo Dini (Adam, Ibrahim, Musa, Yakobo wote walikuwa wapo wapo tu) Lakini sie Waislam tunaambiwa kuwa Dini yetu ndio mila ya Nabii Ibrahim na amerithi kutoka kwa Adam!
2. Ibrahim pia anatajwa kama Abraham, Yakobo anatajwa kama Yakub(Uislam) au Jacob, Mussa anatajwa kama Mosses, Daud ndio David, Suleiman au King Solomon, Nuhu ndio Noah, Yohana ndie Yahya au John, lakini Yesu ambaye ndio Issah au Jesus unakataa!
3. Kutahiri ni agano la milele alilopewa Ibrahim na Mwenyezi mungu, na aliambiwa atahiri watu wote wa nyumba yake (wakiwemo mpaka watumwa) pamoja na uzao wake na ni ishara kwa watu wanao mwabudu mungu wa kweli (huwezi kuwa Muislam bila kutahiriwa)
4. Wayahudi wanamfahamu Yesu kama mtu wa kawaida na Nabii au mwalim(Rabih), ni kweli umejibu vyema!
5. Hakutumwa ila kwa Kondoo wa nyumba ya Israel,............. na aliwaambia wanafunzi wake "katika njia ya mataifa msiende" (mie nimo kweli?)
6. Umesema humjui Uzail ! umejibu vyema, kwani huo ni msingi wa Judism (Judism Doctrine na Torah)
Nashukuru kwa kunijibu, maswali yalikuwa ni kipimo cha kujua kama wajua! kwani ukiyajibu kwa usahihi ............ bila shaka utakuwa miongoni mwa walio katika njia sahihi!
Ass'salaam aleikum!
 
2) Nona kasahau kusema kuwa America USA,Canada,Australia, NZ, wazungu wote warudi Ulaya. Na makaburu wa Africa ya Kusini pia warudi Holland.

3) Halafu tutaanza kufafanua Africa na Makabila gani ya Tanzania yarudi wapi yalikotoka.

Naon kasahua kusema wale wale Mayahudi kwa vizao zaidi ya 50 walikuwa wakindwa na WAISLAM na kupokelewa wakati Wakiristo wa Kizungu wakiwapiga na kuwatawanya.Pia kazau ni chini ya miaka 60 tu milioni 6 wa Kiyahudi waliteketea kwa Hitler- Mjerumani na jirani yake. Yeye na baba yake walikuwa wapi asiwalinde na kuwapokea? Nani aliyewpokea kisha wakageuka. Huo ndio unafiki na unajurikana tuliuisha usoma katika vitabu!. Hawezi kuubalisha ukweli haki na ubatil.

Sijui umefahamu kidogo?

wazungu na wacanada na wasauz kurudi ulaya kunauhusiano gani na israel? pili, kwani waisrael wamelindwa na wapalestina mwaka gani? ile ardhi waliyopewa waisrael na mungu waisrael walipotoka misri ni ipi? wapalestina na waarabu wengine walivamia pale israel baada ya nebukadnezer kuwasambaratisha waisrael lakini hiyo haimaanishi kua ardhi sio yao!
 
Nashukuru sana ndugu yangu kwa kunijibu, nimefarijika sana! Maswali yalikua yamsingi sana na umejitahidi. Pengine ni shereheshe majibu yako ili tuende sawa.
1. Umejibu ya kuwa kabla ya Dini ya Judism, hakukuwahi kuwepo Dini (Adam, Ibrahim, Musa, Yakobo wote walikuwa wapo wapo tu) Lakini sie Waislam tunaambiwa kuwa Dini yetu ndio mila ya Nabii Ibrahim na amerithi kutoka kwa Adam!
2. Ibrahim pia anatajwa kama Abraham, Yakobo anatajwa kama Yakub(Uislam) au Jacob, Mussa anatajwa kama Mosses, Daud ndio David, Suleiman au King Solomon, Nuhu ndio Noah, Yohana ndie Yahya au John, lakini Yesu ambaye ndio Issah au Jesus unakataa!
3. Kutahiri ni agano la milele alilopewa Ibrahim na Mwenyezi mungu, na aliambiwa atahiri watu wote wa nyumba yake (wakiwemo mpaka watumwa) pamoja na uzao wake na ni ishara kwa watu wanao mwabudu mungu wa kweli (huwezi kuwa Muislam bila kutahiriwa)
4. Wayahudi wanamfahamu Yesu kama mtu wa kawaida na Nabii au mwalim(Rabih), ni kweli umejibu vyema!
5. Hakutumwa ila kwa Kondoo wa nyumba ya Israel,............. na aliwaambia wanafunzi wake "katika njia ya mataifa msiende" (mie nimo kweli?)
6. Umesema humjui Uzail ! umejibu vyema, kwani huo ni msingi wa Judism (Judism Doctrine na Torah)
Nashukuru kwa kunijibu, maswali yalikuwa ni kipimo cha kujua kama wajua! kwani ukiyajibu kwa usahihi ............ bila shaka utakuwa miongoni mwa walio katika njia sahihi!
Ass'salaam aleikum!

mkuu mbona uko bize sana na majina, mwaga facts, kuambiwa kua dini yenu ni msingi wa dini ya wayahudi akina ibrahim, isaac , musa etc unashangaza mbona hamuwapendi? kumbe hao ndio wamewaletea dini kwa nini hamuwatukuzi mnawatukuza waarabu?

umeshawai jiuliza kua yote uliyoambiwa yanaweza kua si sahihi, kwa iyo kama umeambiwa ndio ukweli au?

kuna reference zaidi ya mia kwenye bible zinaonyesha kaja kwa ulimwengu mzima! usipende ku quote vitu visivyo na msingi au ndio maana aya za kishetan zimefutwa kwenye quran ili kuepuka kukosa waumini tukutajie alafu ukazitafute kweney quran na hutazipata?
 
ally kombo,
rudi ktk mada! Kama una maswali juu ya uyahudi ukristo et al bandika jukwaa la dini. Hebu turudi ktk mada: Jordan ni palestina!

Ushahid wa kutosha unaonesha taifa feki la Palestina limepandikizwa na opportunists wa kiarabu kupitia waislam swafi aka magaidi wa PLO ili kutimiza matakwa yao ya kuifuta Israel ktk ramani. Ushahidi upo tele, je unasemaje juu ya hilo?
 
Ushahidi namna gani?
Hujasikia ya kwamba Wakristo Wapalestina wengine (hata kama walikuwa wachache) walikuwa mstari wa mbele katika vyanzo vya harakati ya Palestina ? George Habash na wenzake? Unajua habari zao?

Umewahi kusikia habari za Wakristo wa Palestina walio wengi ambao siku hizi wanajitahidi kujenga amani na maelewano - je ungejiamini kusimama mbele yao na kuwaambia "Ninyi si Wakristo Wapalestina , jina lenu ni feki?"
Je, hii utawaambia kwa kutaja sababu gani?
 
Kihistoria ya siku za karibuni, hicho kipande cha dunia kimekuwa kikibadilishwa jina na kutawaliwa na watu mbali mbali. Mfano hii hapa chini ni bendera ya nchi iliyokuwa inaitwa "The British Mandate for Palestine" ambayo ndiyo iligeuzwa na kuitwa Israel ya sasa (mwaka 1948). Kabla ya hapo ilitawaliwa na Waturuki (ilikuwa ni sehemu ya Ottoman Empire). Ila siku zote wakazi wake asilia ni Wayahudi + pockets za Waarabu

Flag.png
 
mkuu mbona uko bize sana na majina, mwaga facts, kuambiwa kua dini yenu ni msingi wa dini ya wayahudi akina ibrahim, isaac , musa etc unashangaza mbona hamuwapendi? kumbe hao ndio wamewaletea dini kwa nini hamuwatukuzi mnawatukuza waarabu?

umeshawai jiuliza kua yote uliyoambiwa yanaweza kua si sahihi, kwa iyo kama umeambiwa ndio ukweli au?

kuna reference zaidi ya mia kwenye bible zinaonyesha kaja kwa ulimwengu mzima! usipende ku quote vitu visivyo na msingi au ndio maana aya za kishetan zimefutwa kwenye quran ili kuepuka kukosa waumini tukutajie alafu ukazitafute kweney quran na hutazipata?
Hatukuzwi mtu wala kabila lake! tumeumbwa kwa makabila tofauti ili tujuwane tu! Kila jina la nabii kama nilivyotaja hapo juu, sisi (waislam) tukilitaja basi mbele yake tunamuombe! Mfano: Mussa A.S (aliy salatu wasalaam), Issah bin Mariam ( Aliy salatu wasalaam) maana yake Amani ya mwenyezi mungu na iwe juu yake ! ATUKUZWAE ni MUNGU TU!! hatuna shughuli na kabila la mtu!
 
Back
Top Bottom