mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 623
- 430
Tokea jamaa E.A.Musiba amefariki sijui kama tutapata tena. ilifaa familia yake isimamie tena uchapaji wa vitabu ili visipotee. ni kweli alikuwaamejikita mwenye ukombozi wa afrika na hasa dhidi ya makaburu lakini maudhui yake hayapotei.daaaah, WILLY GAMBA, bonge la sterling! na visa vya mapenzi ndani! aisee natamani nitafute na kuzisoma tena!