Jokes: Mahojiano ya Police na Gwajima

kintu

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
540
133
MPELELEZI:Hebu Soma Biblia Kitabu Cha TITO 3:2.
GWAJIMA:"Kwa Ujasiri" 'WASIMTUKANE MTU YEYOTE,WASIWE WAGOMVI,WAWE WEMA,WAKIONYESHA UPOLE WOTE KWA WATU WOTE.

MPELELEZI: Je Wakati Unapohubiri Huwa Unatumia Biblia Au Kuna Kitabu Kingine? GWAJIMA: Biblia.

MPELELEZI: Soma YAKOBO 4:11. GWAJIMA: Ndugu,msisingiziane,amsingiziaye Ndugu Yake Au KUMHUKUMU Ndugu Yake,huisingizia SHERIA Na Kuihukumu SHERIA. Lakini Ukiihukumu Sheria Huwi Mtenda Sheria Bali Umekuwa HAKIMU.

MPELELEZI: Endelea Mstari Wa 12.

GWAJIMA: Mtoa Sheria Na Mwenye Kuhukumu Ni Mmoja Tu, Ndiye Awezaye Kuokoa Na Kuangamiza, U NANI WEWE UMHUKUNUYE MTU MWINGINE?

MPELELEZI: Umeelewa Maana Ya Maneno Ya Vitabu Ulivyovisoma?Ambavyo Unatakiwa Kuvifuata Na Kuvifundisha?

GWAJIMA: Jamani sioni nguvu zinaniisha jaman,

MPELELEZI: NAKUPA DAKIKA MOJA UKEMEE HALAFU TUENDELEE NA MASHWALI HADI TUIMALIZE BIBLIA, GAFLA Gwajima "CHALI" .... Itaendelea Akizinduka.
 
Ufahamu wako wa biblia nauvulia kofia! Gwajima keshazinduka, endelea na
maswali ya Mpelelezi na majibu ya Gwajima.
 
Kwakweli nimecheka sanaaaaaaaa mkuu umebobea kwenye haya maswala nini?nasubiria mwendelezo.
Big up sana mkuu.
 
UMEFANYA VIZURI SAANA KUTUELIMISHA.Maswali kama hayo tutaulizwa sote kila mtu kwa wakati wake ifikapo hiyo siku.Viongozi na Wanasiasa hii inahusu saana...Mtoa mada ubarikiwe na naomba uendeleze hivyohivyo,kwani hata katika BMK kuna mjumbe alitumia saana maandiko matakatifu kuwafurahisha watawala na kuna siku Mch.Msigwa alikatazwa kutumia maandiko kwenye Bunge la jamhuri.
 
MPELELEZI:Hebu Soma Biblia Kitabu Cha TITO 3:2.
GWAJIMA:"Kwa Ujasiri" 'WASIMTUKANE MTU YEYOTE,WASIWE WAGOMVI,WAWE WEMA,WAKIONYESHA UPOLE WOTE KWA WATU WOTE.

MPELELEZI: Je Wakati Unapohubiri Huwa Unatumia Biblia Au Kuna Kitabu Kingine? GWAJIMA: Biblia.

MPELELEZI: Soma YAKOBO 4:11. GWAJIMA: Ndugu,msisingiziane,amsingiziaye Ndugu Yake Au KUMHUKUMU Ndugu Yake,huisingizia SHERIA Na Kuihukumu SHERIA. Lakini Ukiihukumu Sheria Huwi Mtenda Sheria Bali Umekuwa HAKIMU.

MPELELEZI: Endelea Mstari Wa 12.

GWAJIMA: Mtoa Sheria Na Mwenye Kuhukumu Ni Mmoja Tu, Ndiye Awezaye Kuokoa Na Kuangamiza, U NANI WEWE UMHUKUNUYE MTU MWINGINE?

MPELELEZI: Umeelewa Maana Ya Maneno Ya Vitabu Ulivyovisoma?Ambavyo Unatakiwa Kuvifuata Na Kuvifundisha?

GWAJIMA: Jamani sioni nguvu zinaniisha jaman,

MPELELEZI: NAKUPA DAKIKA MOJA UKEMEE HALAFU TUENDELEE NA MASHWALI HADI TUIMALIZE BIBLIA, GAFLA Gwajima "CHALI" .... Itaendelea Akizinduka.

safi saaaanaaaa, kumbe Gwajima ameikiuka hadi bibliaa!!!!
 
Back
Top Bottom