Jokate: Kuachana na Hasheem Thabeet kilikuwa ni kitu kibaya zaidi kutokea kwangu

Kusema hivi wakati umeshaliwa ni kijifariji na kututhibitishia kuwa ameliwa na daimond
Hapo haelewiki 'vitu vyakijinga'.wakati jamaa kaipuliza mashine. Tena demu kipindi hicho anadai alikuwa Ana stress za mapenzi
Sipati Picha jinsi jamaa alivyokuwa anafaidi
 
Hasheem Thabeet kwa mujibu wa Jokate
Mwegelo, alikuwa ni ‘first love’ na huenda
kuachana naye kilikuwa ni kitu kibaya zaidi
kuwahi kutokea katika maisha yake.
View attachment 425524

Mrembo huyo alikuwa akijibu swali la
PapiChulo_Chuly kwenye Twitter aliyeuliza, “Ni
tukio gani baya huwezi sahau maishani?”
“Kumwacha mtu ambaye nilikuwa nishapanga
vitu vingi sana nae kichwani. Very very
disappointing but it’s life,” alijibu Jokate.

October 2013, kwenye jarida la Vibetz,
alifunguka kuwa japo uhusiano wake na
Hasheem ulidumu kwa miaka mitatu,
walifanikiwa kuufanya usijulikane sana kwa
wengi na walikuwa wakipendana sana.

“With Hasheem, I think it was more than love.
He was my first real love,” aliliambia jarida hilo.
“Siku zote nilidhani he was my soulmate.
Kiukweli nilimpenda sana. He is like the only guy
I would drop anything at anytime for.

Nilikuwa tayari kufanya lolote kwaajili yake, that’s how
deep I loved that guy,” aliongeza.
“Nilimpenda kiukweli Hasheem, and yes kama
mwanamke mwenye kutaka kufanikiwa I’m
drawn to ambitious/successful men, you know
the go getters but my family haikunilea katika
maadili ya kujenga mahusiano yoyote katika
mhimili wa fedha,”

Jokate alieleza kujibu swali
kama aliamua kuwa na Hasheem kwasababu ya
fedha zake. “I had never wanted to use
Hasheem, all I wanted was to love him.”
Jokate alidai kuishi mbali na Hasheem ni moja
ya sababu iliyochangia kuvunjika kwa uhusiano
wao.

“Yes kuishi mbalimbali pia inaweza kuwa sababu
japo ndogo iliyochangia kuvunjika mahusiano
yetu cause sometimes I would hear a lot of stuff
and that would upset me. Nilikuwa naogopa
sana kumpoteza, I ended up doing vitu vya
kijinga kama dating Diamond.

I had issues with Hasheem na Diamond came in picture. It was a
very frustrating time for me. I was super
confused. I cried for a whole year. Like every
night I would just cry like crazy.”
Kwa sasa Jokate ana uhusiano na Alikiba.


She doesnt know/not sure what she really wants !!!!!!
 
mkuu si kasema hasherm ndo alikuwa first love wake ndo aliezindua mradi si wanasemaga wakwanza huwa hasauliki?
Si kwa maana hiyo!mradi ulianza kwa majaribio kwa muda mrefu ila Hasheem ndqio mwekezaji mkubwa wa kwanza kula vu.zi washapita sana kabla ya ngongoti hajatuliza kidoti
 
Urefu wake wake sidhani kama unahusiano na urefu wa maumbile ya jinsia.
Wewe piga proportional tu apewe kitu saiz ya urefu wake utaelewa watu wanazungumza nini.mfano demu akuwa mreefu unadhani arakywa na k fupi?
Yaani k inaishi kitovuni kwake mazee sasa kama we kibamia utapotea na mambupu yako!
 
Back
Top Bottom