Joka na Majoka

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Nishaona na kusikia nyoka kajivua gamba
Lakini hili la majoka ya aina moja kujivua gamba kwa wakati mmoja na sehemu moja sijaona wala kusikia.

Kinachonisumbua zaidi ni tafsili yake nini na madhara ya majoka kujivua magamba kwa wakati mmoja ninini?

Na yakijivua yanakuwa na sura mpya au iliile yamwanzo?
Naomba wajuzi wakuanalyse wanisaidie mie tangu sikia kichwa uma hadi leo
 
mbona hueleweki?

Sijaeleweka nini mkuu?
Ok nishaona chama kikidai kuwa wafuasi wake wamevua magamba.
Sasa hawa wakuvua magamba kwa pamoja niaje?
Ninachojua kila nyoka anajivua gamaba kwa wakati wake na sehemu mbalimbali.
Sasa hili la kujivua kwa wakati mmoja na sehemu moja ndio silielewi tafsili yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom