Joining instructions DUCE

Charles Elias

Member
Aug 14, 2012
61
4
Naomba msaada wa maelezo jinsi ya kupata joining instruction za chuo kikuu duce,maana website yao haifunguki kabisaaaa.Ahsanten!
 
ndani ya siku 3 zijazo kama bado hazifunguki basi nakushauri uende chuoni kabisa ili umalize dukuduku lako kabisa na uwasaidie wana JF wenzako..labda uwe mbali na Dar.
 
ndani ya siku 3 zijazo kama bado hazifunguki basi nakushauri uende chuoni kabisa ili umalize dukuduku lako kabisa na uwasaidie wana JF wenzako..labda uwe mbali na Dar.

Daa! Nko mbal xna na dar,cjui!,labda ningoje baada ya siku hizo tatu kama kitaeleweka! Ila nashukuru xna.
 
Back
Top Bottom