joining instruction kwa wana sua

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by lugano5, Aug 24, 2012.

 1. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa wale mliochaguliwa sua joining instruction bado hawajaitoa kwenye website....lakini hii link ni ile ya mwaka jana sidhani kama zitakuwa na totauti sana na ya mwaka huu pitia hii itakusaidia kwa baadhi ya mambo.......ila nyie mnaanza orientation 8/10/2012...jiandae
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  thanx alot mkuu...
   
 3. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Asante ngoja tuifuatilie!,
   
 4. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Baro hapa wansema kua hostel ziko limited,vipi inaweza kua tatizo!
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  SUA? wanaume na akili zenu mnaenda kusoma majani
   
 6. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dogo hostel zipo hasa 1st year wewe BVM usihof utapata mimi mwenyewe nina wakika wa kupata chumba coz ni waziri na tunahostel zetu ila mimi nitaishi mtaaani usihof dogo kila kitu ni pouwa.....jiandae kupiga msuli usiokuwa na likizo kwani BVM...naipa salute ingawa napiga engineering
   
 7. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Haina noma!
   
 8. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na waswas na akili zako nahisi ni za kikimbizi........huijui sua ndo maana unalopoka
   
 9. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Jipange jamaaa pale wanakomaa wanaume wale laini laini ndo kwenye vyuo vya kata
   
 10. Dreson3

  Dreson3 JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 1,653
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 38

  Mbona hizi za mwaka 2011
   
 11. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  soma vizuri post na uielewe kama mwanachuo mtarajiwa
   
 12. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  So bro kuanzia mwaka wa pili hostel ndo ishu kupata?
   
 13. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapana wanapata ila wengne wanpenda kuishi kitaa........ukiomaa unapata ila kusubiria mpaka wte wapate ndo maana wengi wanaingia mtaani ila kubebana kama kawa
   
 14. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Hapo nimekuelewa mkuu!
   
 15. Z

  Ze Blessed JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanx e lot bro
   
 16. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 429
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 18
  Mimi niko chuo cha kata ila SUA naifagilia sana. Ebu jiulize, mara ya mwisho mgom sua ulikuwa lini? Unadhani kwa nini? Fikiri hili kwa kulinganisha na vyuo vingine vya public.
   
 17. K

  King Kalu G Member

  #17
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niko happy kuchaguliwa SUA vp kutoka hostel had chuo ni mbal san
   
 18. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu kama huna point kaa kimya!!!! KICHWA UMEPEWA CHA KUFIKIRIA SIO KUFUGIA NYWELE!!!! **** sana wewe...
   
 19. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ningekuona wa maana kama ungekuwa umem-quote mtu wa maana, lakini kum-quote huyu kiazi wa serikali hii zaifu aliyoyasema bungeni dhidi ya jembe letu Tundu Lisu umejidhalilisha zaidi.
   
 20. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu siko hapa kwa ajili ya siasa!! kwani huo usemi haukuwepo tokea b4...sasa mambo iko hivi..sitaki bishana sana na wewe kwa ni ujinga...KAULI ULIYOITOA SI YA KIBUSARA HATA KIDOGO..NAIMAN WEWE NI MTU MWENYE AKILI TIMAMU NA UMEIONA,,SASA TUMIA UTIMAMU WAKO KUIFUTA HII KAULI... KUMBUKA SIO LAZIMA ILA NI MUHIMU!!!
   
 21. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #21
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukimya pia una maana yake...nadhan umegundua makosa yako...ndugu usipende kutoa kauli mbaya na mbovu kama hizi katika mitandao kama hii..jua si mtu mmoja ataiona..wataona wengi na wengi watakwazika na kuudhika na maneno yako(wenda ukaaribu hata siku ya mtu kwa mambo ya kijinga)na huwez jua itakua na madhara gani kwa huyo mtu atakaye iona.. tumia akili na busara kama mtu aliye staarabika na sio KIBAKA au MLEVI..naiman hauko katika makundi hayo...FIKIRIA SANA UNAPOANDIKA KITU CHEKI FAIDA NA HASARA YAKE KUMBUKA USIPOANDIKA PIA HUTAPUNGUKIWA..WE NI MWELEWA BASI ELEWA...nawasilisha...
   

Share This Page