Joining and fee structure ya saint joseph university in tz

KENTUS

Member
Jan 24, 2012
88
8
Jama mwenye taarifa hizo hapo juu anisaidie kwan nahitaji nimepata nafasi ya kenda songea ila cjapata fees structure yao ilivyo please naomba msaada wenu
 
Fee according to prospectus yao ni 1,500,000.2wasiliane nkakuchukulie prospectus.
 
Inakuwa hv
1.tuition fee ni 2,750,000
2.registration fee 20000
3.stationery 100,000
4.id
card 10,000
5.refundable cation deposit 50,000
6.annaul medical insurerance 75,000.
Kwa jumla zinahtajika 3,005,000
PIA KWA KUONGEZEA USAJILI UTAFANYIKA SJCET CAMPUS TAR 18 SEPTEMBER,kama haupo dar inabidi ulitambue hilo.'UJE IN PERSON KWA UJILI YA USAJILI'
 
Inakuwa hv
1.tuition fee ni 2,750,000
2.registration fee 20000
3.stationery 100,000
4.id
card 10,000
5.refundable cation deposit 50,000
6.annaul medical insurerance 75,000.
Kwa jumla zinahtajika 3,005,000
PIA KWA KUONGEZEA USAJILI UTAFANYIKA SJCET CAMPUS TAR 18 SEPTEMBER,kama haupo dar inabidi ulitambue hilo.'UJE IN PERSON KWA UJILI YA USAJILI'

Asee mkuu medical examination form wapi naweza ipata mkuu, nimejaribu kutafuta kwenye web yao wiki ya pili sasa bila mafanikio! Naomba unisaidie hapo mkuu
 
mimi cjachguliwa hpo bt nilikwenda kumchukulia jamaa yangu,ukitaka kuipata mpaka uende palepale.kama haupo dar inabdi ufanye harakati kwan upo off time
 
Back
Top Bottom