John tendwa(msajili wa vyama) atafuna million 56.9-cag

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Mkaguzi na mthibiti mkuu wa mahesabu ya serikali amezidi kutufumbua macho wizi na utapeli wa ruzuku za vyama vya upinzani kwa kutumia kodi za watanzania..wakati utouh akilalamiikia wizi na utapeli wa mabilion kuhusu ruzuku amemalizia kwa kusema

""sh million 56.9 zilitumiwa na na msajiliwakati hazikuhusuiana na maswala na shuguli za vyama vya siasa..mkuu huyo amesema ofisi ya msajili wameulizwa kuhusu matumizi haya na kushindwa kuyatolea majibu ..............,,,,............,,,,,.................,,,,,...........................................

Huyu ndie msajili baada ya kuona vyama vinajizoelea billion kadhaa bila mahesabu na yeye akaona ajipendelee jamani huu wizi utaisha lini na kwa nini wanaishia kuandikwa magazetini hatua za kisheria azichukuliwi hawa matapeli mnawalinda kwa nini???
 
Nafkikri CAG angepewa mamlaka ya kufungulia watu mashitaka kama ambavyo Takukuru wanayo. Ni wakati muafaka sasa kwa bunge letu kupitia wabunge wenye uchung kuanzisha mchakato wa kupata sheria itakayo mpa uwezo CAG.
 
kabisa mpwa huyu bwana wampe Rungu tu ..na securu=ity ya kutosha maana awachelewi kumsoko>>>>
 
Hapa patamu, yaani hii serikali yote ni gamba... inabidi kuvuliwa yote!!!
 
itabaki nini mpwa..tatizo toka juu labda hivi vizazi tunavyozaa sasa ..else mmh kazi ipo
 
Dr,

Huyu jamaa kapewa kazi NZITO na nzuri kwa sana kwa faida ya TAIFA.

Anafanya mahesabu kwa KUIKAGUA SERIKALI na baadaye anawasilisha riport na SERIKALI inaamua kama ijipe adhabu au lahh.....

Angelikuwa ni yeye kapewa uwezo wa kupeleka watu mahakamani, basi WANGELIFUTA hiki kitengo haraka sana.

I wish Tanzania ingelikuwa ni kama QATAR, watu wangelijiuzia nchi hii..... kwa pesa za BoT.
Kwani yeye hana MENO!!
 
Mkaguzi na mthibiti mkuu wa mahesabu ya serikali amezidi kutufumbua macho wizi na utapeli wa ruzuku za vyama vya upinzani kwa kutumia kodi za watanzania..wakati utouh akilalamiikia wizi na utapeli wa mabilion kuhusu ruzuku amemalizia kwa kusema

""sh million 56.9 zilitumiwa na na msajiliwakati hazikuhusuiana na maswala na shuguli za vyama vya siasa..mkuu huyo amesema ofisi ya msajili wameulizwa kuhusu matumizi haya na kushindwa kuyatolea majibu ..............,,,,............,,,,,.................,,,,,...........................................

Huyu ndie msajili baada ya kuona vyama vinajizoelea billion kadhaa bila mahesabu na yeye akaona ajipendelee jamani huu wizi utaisha lini na kwa nini wanaishia kuandikwa magazetini hatua za kisheria azichukuliwi hawa matapeli mnawalinda kwa nini???

Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.Akale wapi wakati wenzie wanazitafuna tu hapo jirani?
 
Back
Top Bottom